December 31, 2009

Ondoka, Uangaze kwa maana nuru yako......2010

Kuanza na hatimaye kuumaliza mwaka ni neema ya MUNGU, hakika sisi binadamu hatuna cha kujivunia hapo, sote twajua na hata mzee wetu Simba wa Vita alipenda bila shaka kuuona mwaka 2010 lakini Bwana amempenda zaidi na hivyo amemuita kwake siku ya mwisho kabisa ya mwaka.
Kwa namna ya pekee napenda kuchuka nafasi hii kuwashukuru wadau wote ambao mmesafiri nami katika blogu kwa mwaka 2009, kabla ya kuwatakia heri ya mwaka mpya naomba kwanza kuwaomba msamaha wale wote ambao kwa namna moja ama nyingine niliwakosea ama kuwakwaza ktk jambo lolote lile, sisi ni binadamu na katika ubinadamu wetu hatukukamilika hivyo kukwaruzana hapa na pale ni vitu vya kawaida kabisa kwa kujua ama kutojua, jambo la msingi mara utambuapo umemkwaza mtu basi ni kuomba msamaha, nami pia nawasamehe wote ambao walinikwaza na zaidi na waombea pia.
KWA UPENDO MKUU NAWATAKIA WASOMAJI WANGU WOOOOOOTE HERI YA MWAKA MPYA WA NEEMA NA MAFANIKIO WA 2010,
Naomba kuwapa neno hili la kinabii toka kwa Nabii wa Mungu Isaya lituongoze mwwaka huu 2010. Naamini Neno hili litafanyika baraka kwetu sote bila kujali dhehebu au dini.
1 "Arise, shine, for your light has come, and the glory of the LORD rises upon you.

2 See, darkness covers the earth and thick darkness is over the peoples, but the LORD rises upon you and his glory appears over you.

Isaiah 60:1-22

Maombolezo ya Kitaifa siku saba

Rais Jakaya Kikwete ametangaza Maombolezo ya Kiataifa ya siku saba kufuatia kifo cha Waziri Mkuu msataafu Mzee Rashid Mfaume Kawawa ambapo bendera bendera zote zitapepea nusu mlingoti.
Mipango wa mazishi wa mpendwa Mzee wetu bado inaendelea na taarifa zitatolewa muda si mrefu.

Neno la leo

“This is what the LORD says— he who made a way through the sea, a path through the mighty waters, "Forget the former things; do not dwell on the past. See, I am doing a new thing! Now it springs up; do you not perceive it? I am making a way in the desert and streams in the wasteland.”- Isaiah 43:16, 18-19

Simba wa Vita hatunaye tena.

Taarifa zilizotufikia ni kuwa Waziri Mkuu Mstaafu al maarufu Simba wa Vita amefariki leo asubui ktk Hospitali ya Muhimbili alikolazwa jana baada ya kuzidiwa, viongozi mbalimbali walipata nafasi ya kumtembelea jana hiyo wakiongozwa na Rais JK na Mama Salma. Mungu ilaze Roho ya marehemu mahala pema peponi.
Wasifu wa Mzee Kawawa:
Mzee Kawawa alizaliwa tarehe 27 mwezi Mei 1926 ktk Kijiji cha Matepwende, Songea, Mkoani Ruvuma. Alikuwa Waziri Mkuu wa Pili wa Tanganyika 1962 baada ya Mwalimu Nyerere na Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanzania 1972 - 77, akifuatiwa na marehemu Sokoine.
soma wasifu hapa
Mr. Kawawa was born on 27th May, 1926 in Matepwende, Songea Ruvuma Region. He was the 2nd Prime Minister of Tanganyika (1962) and the 1st Prime Minister of Tanzania (1972-77). He was preceded by Mwl. Nyerere and succeded by Mr. Sokoine. Kawawa was the effective ruler of the country from January to December 1972 while Julius Nyerere toured the countryside. Kawawa was a strong advocate of economic statism. Kawawa remains a behind-the-scenes influence on the Tanzanian political process.

December 30, 2009

Salam toka Kilosa

Mwezi wa nane TMA walitabiri kuwa kutakuwa na mvua za El nino mwezi unaofuatia, hazikunyesha, nadhani pengine ndo hizi, nasema pengine kwa sababu utabiri ule ulikuwa wa mwezi September nafikiri labda ndo umeendelea hata leo. nini kinafuatia??

December 29, 2009

UMEME BEI CHINI MWAKANI

Government reduces power tariffs

Electricity consumers will start off the New Year on a happy note after the government on Monday announced a reduction in power tariffs by an average 8 per cent across the board. The new tariffs are expected to take effect on January 1, 2010.

According to the new schedule, domestic tariffs will reduce by 9.5 per cent from Shs426.1 to Shs385.6 shading off Shs40 per unit, commercial tariffs will reduce by 10 per cent from Shs398.8 to 358.6 per unit, medium industries by 9.9 per cent from Shs369.7 to Shs333.2, large industries will decrease by a marginal 1 per cent from Shs187.2 to Shs184.8 and street-lights from Shs403 to Shs364.6.

“The worse days are over, even if there is increasing demand it cannot be to the extent it was before and with the construction of the Karuma and Bujagali, [electricity dams] we will be on top of the game,” the State Minister of Energy, Eng. Simon D’ujanga, said yesterday.

ni UG sio bongo bandugu

December 28, 2009

Kitoweo kutonesha kidonda cha MUUNGANO??

Nimemsikia waziri mmoja wa Visiwani akilalamika kuwa tani 80 walizopewa Zenji si sawa na kuwa wanapaswa kupewa tani takribani 120 ya samaki wa al maarufu "Samaki wa Magufuri" ambazo ni sawa na aslimia 40% ya samaki hao waliokamatwa yapata miezi zaidi ya nane iliyopita huko bahari kuu.
Habari ndo hiyo.

MWISHO KUSAJILI SIMU SASA JUNI 30, 2010

Tanzania(TCRA) imeongeza muda wa usajili wa kadi za simu kwa muda wa miezi sita mingine ambapo sasa mwisho itakuwa ni Juni 30, mwakani.
Akizungumza na waandishi wa habari leo asubuhi Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka hiyo, Profesa John Mkoma, alisema wamelazimika kuongeza muda huo kutokana na changamoto mbalimbali zilizojitokeza wakati wa usajili ikiwamo tatizo la umeme vijijini.
“Kutokana na tathmini iliyofanyika na kwa kuzingatia maslahi ya watumiaji pamoja na watoa huduma, TCRA imeongeza muda wa kusajili namba za simu kwa muda wa miezi sita mingine hadi Juni 30, mwakani,” alisema Profesa Mkoma.
Alisema pamoja na kwamba tangu usajili huo uanze Julai mosi, mwaka huu hadi Desemba 20, watumiaji milioni 6.3 ambao ni sawa na asilimia 43 wameshajisajili na kuingizwa kwenye data, lakini utaratibu huo umekuwa ukikabiliana na changamoto mbalimbali ambazo zimekwaza usajili huo hasa vijijini.
TCRA iliamua kuanzisha utaratibu wa kusajili namba za simu Mwaka huu ili kulinda watumiaji na matumizi mabaya ya huduma hiyo ya mawasiliano , kuwezesha kutambua watumiaji wa huduma za ziada za simu kama huduma za kibenki nakadhalika, kuimarisha usalama wa taifa na kuwawezesha watoa huduma kufahamu wateja wao na kuwahudumia.

December 24, 2009

YANGA OYEEEEEEEEEEEE

HATIMAYE MPAMBANO WA WATANI WA JADI NUSU FAINALI KOMBE LA TUSKER UMAMALIZIKA BAADA YA KUCHEZWA KWA DAKIKA 120 NA YANGA KUIBUKA KIDEDEA KWA KUIFUNGA SIMBA BAO MBILI KWA MOJA 2 - 1, MABAO YA YANGA YAMEFUNGWA NA JERRY TETEGE NA SHAMTE ALLY NA LA KUFUTA MACHOZI LA SIMBA LILILOPATIKANA KWA NJIA YA PENATI LIMEFUNGWA NA HILAL ECHESER. HABARI NDO HIYO ANGALAU SIKUKUU INAKUWA NZURI AU MWASEMAJE, POLENI SANA WEKUNDU WA MSIMBAZI HUO NDO MPIRA

Kufungwa mtu ni lazima leo.

Mpambano wa watani wa Jadi utachezwa muda c mrefu, mashabiki na wapenzi wa timu zote viroho viko juu kwa mpambano huu, japo ni wa kombe la Tusker lakini wakutanapo watani hawa wa jadi huwa hakuna cha mechi ya kirafiki wa cha nini kwa timu mbili hizi ni kama fainali tu. Yetu macho tu na Dakika tisini ndo mwamuzi, tofauti na mechi zote hii ni lazima afungwe mtu, yaani hakuna droo hapa. kaaaaaazi kweli kweli.

December 21, 2009

Cheka uongeze siku duniani teh! teh! teh!

Picha hii yashika nafasi ya tano duniani.

Shirika la habari la Uholanzi Radio Netherlands Worldwide limeipa shavu picha hii na kushika nafasi ya tano katika shindano lake la hivi karibuni.

An international jury of leading journalists has evaluated all the eligible entries, and the winner is Veena Krishna (39) from Mumbai. Her entry ‘To make the girl-child live’, consisting of a photograph and accompanying text, tackles the issue of child policy in India, where girls are considered inferior to boys. Her prize is an all-expenses-paid week’s internship at RNW’s international newsroom in the Netherlands.

RNW received 535 entries from around the world in response to the question ‘Share your world with the world... What do you want to change?’. The majority of entries came from Arabic and English-speaking countries and from Indonesia. The international jury of leading journalists awarded the second prize to Bai Xiaoci from China and the third prize to Eric Barrantes Garcia from Peru.

Jury chairman Rik Rensen, RNW’s editor-in-chief, commented that Veena Krishna’s seemingly simple photograph reveals an entire hidden world: “Her entry made a powerful impression on me, because it conceals a dramatic story.”

Other prizes Second prize, a digital video camera, goes to Bai Xiaoci from China for his photograph of a man carrying a huge load of chemical drums on his bicycle. Xiaoci’s photograph reminds us that China’s economic development has often taken place at the expense of the environment.

Eric Barrantes Garcia from Peru won the third prize, the choice of a reference book in the field of journalism. The jury noted that his photograph addresses three issues: the problem of poverty and its social consequences, social injustice and the precarious condition of this kind of construction in case of heavy rainfall caused by climate change.

The other nominees are:

December 18, 2009

Timu ya Eritrea yaingia mitini

Wachezaji wapatao 12 wa timu ya Eretrea iliyokuwa nbchini Kenya kushiliki michuano ya Challange yasemekana wameingia mitini au hawajulikani walipo. isome hapa.

Dr Shein ahutubia COP 15

Mamaku wa Rais Dr Shein akihutubia Mkutano wa Kimataifa wa Tabia Nchi huko Copenhagen jana usiku.

December 15, 2009

Dr Shein awasili Copenhagen

Wakti jana mkutatano wa mazingira huko Denmark ulipata kwikwi kwa muda baada ya nchi za Dunia ya tatu zikiongozwa na Africa kugomea kutoa ushirikiano, leo viongozi mbalimbali wameanza kuwasili kwaajili ya mkutano wa viongozi wa dunia kuhusu mabadiliko ya tabia nchi ambao utafanyika kesho.
Tanzania inawakiliswa na Makamu wa Rais Dr Ali Mohamed Shein ambaye ndo anawasili muda huu.

Wako wapi hawa Jiang?

Jiang aka Mama na mwana wawakumbuka hawa? na story yao je? na hivi sasa wako wapi?

Finished my course......

I have fought a good fight, I have finished my course, I have kept the faith.

2 Timothy iv. 7

December 12, 2009

Hoseah na Feleshi, nani atwambii ukweli?

Katuka mila nyingi za kiafrica ama kibantu ni utovu wa nidhamu kumwita mkubwa wako MWONGO ni kitendo cha dharau, nami nisingependa kabisa kuwa mtovu wa nidhamu, sipendi niwakosee heshima wakubwa zangu, lakini pamoja na ukweli huo bado nahisi kwa haya yaliyojili hivi karibuni kati taasisi nyeti nchini yaani PCCB na DPP na majibizano yaliyolipotiwa, nahisi kuna mtu atwambii ukweli hapa, sijui yupi na sababu ip lakini hii ndo hisia. MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP), Eliezer Feleshi, amekanusha tuhuma kuwa ofisi yake imekalia mafaili 60 ya kesi zinazohusu rushwa na kueleza kwamba kamwe hafanyi kazi kwa shinikizo. Feleshi alikuwa akijibu taarifa zilizoandikwa jana na vyombo vya habari zikimkariri Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, akiituhumu Ofisi ya DPP kwa kukalia mafaili hayo ya kesi za rushwa. “Ni kweli napokea mafaili mengi kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo Takukuru na Polisi, siwezi kueleza ni mangapi kutoka Takukuru yapo katika ofisi yangu, lakini jambo moja muhimu la kuzingatia ni kwamba sifanyi kazi kwa shinikizo, tunaongozwa na sheria na ndizo zinazozingatiwa,” alisema DPP. SOURCE. HABARI LEO

Membe amwita Balozi wa Canada

Kufuatia tukio la Afisa ubalozi wa Canada kuwatemea mate Askari Polisi na Mwandishi wa habari hivi karibuni kitendo ambacho kimechukuliwa kuwa ni cha dharau kubwa si tu kwa watendewa bali kwa Taifa pia, Waziri wa Mambo ya Nje amwemwita balozi wa Canada ofisini kwake.
The Tanzanian Foreign Ministry has summoned the Canadian High Commissioner after a Canadian diplomat allegedly spat at a policeman and a journalist.

A Tanzanian ministry spokesman condemned the incident, saying that his country is considering whether to expel the diplomat concerned. Reporters say the diplomat, angered by a traffic jam, wound down his window and spat at the policeman on duty.
The Canadian High Commission in Dar es Salaam said it was investigating. Tanzania's foreign ministry says the incident was a humiliation not just for the police officer and journalist concerned, but for the entire country.

December 7, 2009

Rais anaposafilia daraja la tatu.

President Yoweri Museveni flew back home from the US on Saturday night on a commercial airliner in the economy class.
According to Tamale Mirundi, the president’s spokesman, Museveni’s decision to fly on a British Airways flight in economy class was a signal to the Government officials that undertaking official trips in business and first class may be no more.
“If the President can travel economy class, it is an indication that spending colossal sums of money by Government officials on business and first class is going to stop. He wanted to find out the difficulties travellers face in flying economy class and why Government officials complain about the economy class,” said Mirundi.
The President’s spokesman stressed that there was no problem with the presidential jet. “We don’t have any problem with the jet. He just wanted to travel as an ordinary passenger.”

Sherehe za miaka 10 ya Nile Basin zaanza rasmi Dar

Makamu wa Rais Dk.Ali Mohamed Shein akiwa ktk picha ya pamoja na mawaziri wa maji wa Bonde la Mto Nile mara baada ya kufungua mkutano wa siku tatu wa Nchi Shiriki za Bonde la Mto Nile (Nile Basin Initiative) ulioambatana na sherehe za kutimia miaka 10 tokea kuundwa kwa Ushirika huo, mkutano huo utakaojadili juu ya mafanikio yaliyopatikana tokea kuanzishwa kwake, changamoto pamoja na matarajio ya baadae leo katika kituo cha mikutano cha Mlimani City jijini.

December 6, 2009

Wizara inapogeuzwa mradi wa familia

Education ministry turns family affair THE Government is investigating the education ministry permanent secretary, Francis Lubanga, over allegations of nepotism, fraud, malicious dismissal of subordinates and abuse of office levelled against him. The report accuses Lubanga of replacing several employees in key positions with his relatives. It lists 30 employees at the ministry who are related to Lubanga, the majority of whom are said to have been irregularly hired or promoted. Among those he allegedly hired are his sister, son, daughter, wife, uncle, nephew, as well as in-laws and other close family members. The 14-page dossier says Lubanga’s relatives have been put in charge of multi-million projects in different departments within the ministry. source : Sunday vision

Kagame akutana na CEO wa TIGO

President Paul Kagame yesterday held talks with the Chief Executive Officer of Millicom International Cellular (MIC), Mikael Grahne, the parent company of Tigo, a telecom service provider.

Kanisa USA lateua Shoga mwingine kuwa Askofu

Dayosisi moja mjini Los Angeles, Marekani, imemchagua askofu, na ambaye waziwazi inafahamika anahusishwa na mapenzi ya jinsia moja.

Huyu ni askofu wa pili katika kanisa la Anglikana na anayehusishwa na mapenzi ya jinsia moja, jambo ambalo limesababisha mgawanyiko mkubwa katika kansia hilo.

Mchungaji Mary Glasspool, kutoka Baltimore, alichaguliwa kama askofu msaidizi, ingawa anahitaji kuungwa mkono na kanisa la Episcopal (Anglikana) nchini Marekani ili kikamilifu kukabidhiwa mamlaka hayo.

Gene Robinson (pichani) alikuwa wa kwanza kuchaguliwa kama askofu wa mapenzi ya jinsia moja, katika dayosisi ya New Hampshire, miaka sita iliyopita, na jambo hilo likasababisha mgawanyiko katika kanisa Anglikana.

source: BBC

December 3, 2009

Watanzania wanaisaidia Al Shabaab??

Gazeti la leo la New Vission linataja Tanzania kuwa ni moja ya nchi ambazo Al Shabaab imechukua ama kusajiri Wabongo ili kuiangusha serikali ya Somalia kulingana na Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Afrika Wafula Wamunyinyi.
UGANDANS are among the foreigner militants fighting alongside Al Shabaab to overthrow the Somali government, the African Union Mission in Somalia has said.
The AU special representative for Somalia, Wafula Wamunyinyi, also listed Pakistan, Afghanistan, Bangladesh, America, Tanzania, Kenya and Sudan as countries where Al Shabaab has recruited.
Speaking at the opening of a confidence building workshop for the Somali peacekeeping mission, dubbed AMISOM, yesterday, Wafula pointed out that the presence of Al Qaeda in Somalia is real and the world should be put on notice.
He observed that the managers and operational commanders of Al Shabaab belong to Qaeda.
“If we don’t put our hands together, Al Qaeda will take over Somalia considering the grip they have on the country,” Wafula said

December 1, 2009

Familia ya Kingunge kunyang'anywa maegesho ya jiji

THE Dar es Salaam City Council is to take over operations of the National Parking System after expiry of the contract of the current operator, in a move aimed at studying the trend of the business, the City Director, Mr Bakari Kingobi, said.

The announcement comes shortly after the City fathers took over operations of Ubungo Bus Terminal (UBT), following the expiry of the Smart Holding Company's contract.

Owners of the Smart Holding Company are linked with the National Parking System.

Owners of the two companies are also connected to another company which is alleged to have won the tender to run Machinga Complex in the city.

source: Daily News

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...