April 28, 2009

Kesi ya Zombe, Mshtakiwa wa 12 adai kushuhudia mauaji.

MSHITAKIWA wa 12 katika kesi inayomkabili aliyekuwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Rukwa, Abdallah Zombe na wenzake wanane, Bakari Rajab, ameeleza alivyoshuhudia mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini na dereva mmoja katika msitu wa Pande, Dar es Salaam.
Mbele ya Jaji wa Mahakama ya Rufani, Salim Massati, jana Rajab alidai kuwa alishuhudia askari mwenzake Koplo Saad akimpiga risasi mmoja wa watuhumiwa Januari 14, 2006. more.

Lipumba - "Mengi anajipendekeza kwa JK"

Tangu Mwenyekigoda atamke hadharani au aamue kuliita jembe ni jembe kwa kutaja majina ya anaowaita"Mafisadi MAPAPA" watu mbali mbali wamekuwa wakitoa maoni yao kuhusiana na hatua hiyo ya Bw. RM.
Leo hi Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kitendo cha Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi kutaja wafanyabiashara na viongozi watano wenye asili ya kiasia kuwa ndio mafisadi papa na kumsifia Rais Jakaya Kikwete, ni ubaguzi na kujipendekeza kwa Rais.
Mwanasiasa huyo alisema kauli hiyo ya Mengi, haisadii katika vita dhidi ya rushwa, badala yake anacheza karata ya ubaguzi wa rangi wakati tatizo la ufisadi limetokana na mfumo wa kutokuwa wawazi kwenye uamuzi. pata zaidi

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...