January 4, 2008

BONGOSALAAM Hapa ni wapi ktk Bongo yetu hii? wengi twapita hapa au kupata kuishi kwa muda fulani hapa na hasa wengi wao wa mlioughaibuni mlipata pita au ishi hapa kwa kipindi fulani kwa shughuri fulani. Je mwaweza patambua kwa kupiti picha hii ilopigwa kwa juu?
Kicheko na Kilio...... Wakati Mgombea Urais wa Marekani mwenye asili ya Kenya Baraki Obama atakuwa na furaha kwa kuwashinda wagombea wenzake katika kinyanganyilo hicha ktk jimbo la Iowa ambalo uchukuliwa kuwa ni muhimu sana, nduguze huko kenya bado mambo si shwari, Je kijana wa kiafrika ataukwaaa upresidaa wa Taifa Kubwa hilo? si ajabu kwani miujiza bado yatokea ati...
mchu**** mkubwa waokoa nyumba isiteketee....
A family home was saved from burning down when a pair of giant knickers were used to put out a fire. Jenny Marsey's size 18-20 cotton pants were a lifesaver when they were grabbed to cover a frying pan fire at her home in Meryl Gardens, Hartlepool, Teesside.
by TZUKNET
TPA BADO HAKIJAELEWEKA!!!!1 Sakata la vibarua Bandari ya Dslaam bado bichi kabisa, leo viongozi walifungiwa wasitoke hadi kieleweke, askari wanalinda lango na vibarua wanalinda management wasitoke.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...