January 9, 2008
BOT Mambo moto...
Hatimaye yale madai ya ubadhilifu ktk libenk la BOT wadhiirika na Uongozi wabadilishwa na amri yatolewa kwa wale wote waliohusika kuchukuliwa hatua za kisheria
aliyekuwa Naibu Gavana Prof Benno Ndullu kateuliwa kuwa Gavana na Dr Enos Bukuku aliyekuwa PS Miundombinu kawa naibu gavana
Fagio la JK ndo laanza kutenda kazi 2008?
more 2 come.
wakati hayo yakijili ex gavana Daud Balali bado yuko nje ya nchi kimatibabu.
Mtaani kama kawa....MWANAHALISI LIKO MTAANI NA NONDO KAMA KAWAIDA.
Pamoja na kupigwa, Kukatwa mapanga na kumwagiwa tindikali kwa Wahariri wake wakuu bado limetoka mtaani hii yaonesha kuwa si kazi ndogo kuwafumba watu midomo kwa vitisho ama vipigo kama vile zaidi ndo limepandishwa chati. nathani leo nakara laki zitauzwa.
Nimekuwa nikipata jumbe hizi za kutia moyo na kufariji sana toka kwa mtumishi wa Mungu
Bayless Conley kama Weekly Devotional nathani si vibaya wadau nikawa nawamegea baraka hizi.
zaidi waweza kubofya hapa na kupata zaidi
The Heart of the Issue
In Matthew 6:19-21, Jesus deals with matters of the heart,
“Do not lay up for yourselves treasures on earth, where moth and rust destroy and where thieves break in and steal; but lay up for yourselves treasures in heaven, where neither moth nor rust destroys and where thieves do not break in and steal. For where your treasure is, there your heart will be also.”
How do you lay up treasures in heaven? Jesus told the rich young ruler, “Sell what you have and give to the poor, and you will have treasure in heaven.” So giving to help people, giving to the poor, giving to ministry, giving to God’s work instead of hoarding it up, giving to God—that is the way you lay treasure up in heaven.But notice that Jesus goes on to say, “Where your treasure is, there your heart will be also.” Jesus hasn’t really changed the subject. The heart of the issue is the heart. That is the theme of Jesus’ teaching.A right heart attitude—a proper heart motive—is what God cares about most. That is true whether you are giving, you are praying, or you are fasting. He wants you to do these things for the right reasons. Those right reasons include your desire to help people. Your desire to express your love for God and His Kingdom. Those are the right reasons.Jesus said, when you are motivated by the right reasons, you are laying up treasure in heaven. He says, “Where your treasure is (in heaven with God), there your heart will be also.”His point? The heart of the issue is your heart.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...
-
On Tuesday, 7th July we witnessed the peak of the Saba Saba festivities. I never go to the Dar es Salaam International Trade Fair, these day...
-
HII NI HOSTEL YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI WANAPOISHI WATAALAMU WETU WA AFYA WA KESHO.
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...