April 3, 2009

Kifo cha Lema, Je ni mwisho wa kesi ya Zombe???

MTUHUMIWA wa 11 katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa Mahenge mkoani Morogoro inayomkabili aliyekuwa Kamishna Msaidizi wa Polisi, Abdallah Zombe.Rashid Lema,amefariki dunia leo Alfajiri.
Lema anayedaiwa kuchangia kukamatwa kwa Zombe kutokana na kutoa maelezo yanayomhusisha,amefariki katika Taasisi ya Saratani Ocean Road na mwili wake umehifadhiwa katika chumba cha maiti cha Hospitali hiyo.
Marehemu Lema na Watuhumiwa wenzake 12 wanadaiwa kuwaua Ephraim Sabinus Chighumbi, Sabinus Chighumbi, Alias Jongo, Mathias Lung’ombe na Juma Ndugu ambaye alikuwa dereva teksi na mkazi wa Manzese Dar es Salaam, Januari 14, mwaka 2006 katika msitu wa Pande, Mbezi Lusi wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam. Je kifo hiki chamaanisha nini ktk kesi hii iliyovuta hisia kubwa kwa jamii? Taarifa zasema ushaidi wake ulikuwa muhimu sana katika kesi hii, je kwa kufa kwake ina maana na ushaidi wake umekufa au vipi??? Wadau wataalamu wa sheria naomba michango yenu katika hili??

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...