November 24, 2008

Odemba arejea

Miss HEWA au AIR na mshindi namba mbili wa Miss Earth Miriam Odemba amereajea leo toka ufilipino na kurakiwa kama Malkia.

Makamu amtembelea Mzee Pinda

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakizungumza na Baba Mzazi na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu Mh. Mizengo Peter Pinda, walipowatembelea kijijini kwao Kibaoni Wilayani Mpanda leo,

IFM WAGOMEA MITIHANI

Wanafunzi wa Chuo cha usimamizi wa ngawila IFM leo hii wamegomea mitihani ilokuwa ianze leo kwa madai kuwa ratiba imebadilishwa ghafla mno na hakukuwa na muda wa kutosha kujiandaa. kulingana na baadhi ya wanafunzi ni kuwa ratiba za mitihani chuoni hapo huwa ni siku za jumamosi kwa mtihani mmoja mmoja lakini siku ya Ijumaa chuo kilitoa ratiba ya mitihani mitatu mitatu kuanzia leo hii kwa wanafunzi wa miaka yote
.
Mhh Kasheshe hiyo...

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...