January 7, 2008
MWANGAZA KIDUCHU KENYA.........
Huu waweza kuwa ni mwangaza kidogo ktk kiza kikuu kilichotanda nchi jirani ya Kenya,
Kitendo cha Rais Kibaki kutuma ujumbe maalu kwa JK hapo jana na leo Katibu Mkuu wa ODM Prof Anyang'Nyongo kuja na Kuteta na JK na kuwa wako tayari kwa mazungumzo japo kwa masharti ni ishara tosha kuwa ikiwa diplomasia itatiliwa maanani yaweza kuleta amani ya kudumu Kenya na maisha kurudia kama awali.
Hakika Hakuna lisilowezekana.
TUZIDI KUMWOMBA MWENZEZI MUNGU ILI JITIHADA HIZI ZINAZOFANYWA NA PANDE ZOTE ZIWEZE KUZAA MATUNDA.
MUNGU BARIKI AFRICA, MUNGU BARIKI KENYA.
KUBANEA
JK amtembelea Saeed Kubanea Hospital Muhimbili, UMOJA WA VYAMA vya waandishi pamoja na wamiliki watoa tamko kali kupinga kupigwa na kumwagiwa tindikali kwa Mhariri huyo pamoja na Tegambwage, inadaiwa kuwa serikali ilisshapeleka malalamiko kwa baraza la habari MCT juu ya gazeti la MWANAHALISI na Wahariri hao wawili ndo waliolalamikiwa na serikali juu ya habari na makala zao.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Mgonjwa wa saratani akipata huduma Ocean Road Cancer Insititute (ORCI) asubuhi leo hii baada ya kununuliwa kwa vifaa vilivyokuwa vimeibwa y...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
HIGH COMMISSION OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA Telephone:012- 342 4371/93 Fax: 012 – 430 43 83 E-mail: t anzania@cis.co.za ...
-
LONDON (Dow Jones)--U.K. defense giant BAE Systems PLC (BA.LN) Tuesday was fined GBP500,000 for improper accounting in relation to the award...