November 1, 2006

Hii si ndege bali ni Godown la angani.
Dege ili lilileta sehemu ya pili ya mtambo wa kuzalishia umeme wa Richmond Development amboa utakuwa na uwezo wa kutoa Mega Watt 20 utapokamilika kati ya MW 100 ambazo wameingia mkataba na Serikali, jambo moja ni kwamba haijulikani iwapo mtambo huu ni mpya au la na haijulikani lini MW 80 zilizobaki zitawasili nchini hii ni kulingana na Zahor Gire ambaye ni Makamu Rais, Fedha na Utawala wa Richmond.
Latapika mizigo kwa mbele loli laingia na kupakia mizigo bila wasiwasi.
Dege la mizigo la kirusi Antonov 225 lakuweza kuwa dege kubwa kabisa kutua Bongo.
Mwanamziki Vicky Kamata alikuwepo kuburudisha pia, naye alituzwa pia.
Walioguswa ni wengi na waliotoa ni wengi, Mwongoza kwaya Mariam Hussein akikusanya kipato.
Kwaya ya Turiani iliwagusa wengi hasa wimbo wa yatima, ulitia uzuni sana.
Kwaya ya Turiani Shule ya Msingi ilikuwa kivutio ktk uzinduzi wa WAMA Foundation.
Mama Salma Kikwete na Mama Shadia Katume wake za Marais wa Tanzania na Zanzibar wakisakata midundo ya Wana Turiani Shule ya Msingi.
Uzinduzi wa WAMA Foundation (Wanawake na Maendeleo) mfuko maalumu chini ya Mwenyekiti Mama Salma Kikwete kwa ajili ya kuwakomboa wanawake.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...