August 2, 2010

Breeeeaking Newzzzz - Jidulamabambasi Afariki!, Shibuda apoooza

Habari zilizotufikia muda si mrefu zinadai kuwa Amani Jidulamambambasi amefariki ghafla leo hii na Mbunge anayemaliza muda wake Magare John Shibuda amepoooza mdomo ama stroke. Wakati matokeo ya kura za maoni zilizopigwa jana zikizidi kutolewa hari imekuwa ndivyo sivyo kwa baadhi ya wagombea wa Jimbo la Maswa Mkoani Shinyanga.

2010 Presidential race begins

Jakaya Kikwete akiwa na mgombea mwenza Mohamed Gharibu Bilali mara baada ya kuchukua fomu za kuwania Uraisi kwa kipindi cha pili, Uchaguzi Mkuu 2010 unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba.

Kura za maoni ni kitimtim,

Vituko, vimbwanga, na hata kupigana vimeonekana kutawala kura za maoni ndani ya CCM na ata kufikia kuairishwa kwa baadhi ya maeneo, Vyombo mbalimbali nchini vimeripoti mapungufu haya kwa namna yake lakini pia na matoleo kwa baadhi ya sehemu huku yakionesha vigogo kadhaa kupigwa mweleka, DAILY NEWS ( Irregularities mar CCM pollsIrregularities mar CCM polls), habarileo ( Uchaguzi CCM wavurugika) Mwanachi (Malecela, Karamagi,Selelii, Chiligati hoi, SITTA, KILLANGO,MWAKYEMBE JANUARY, NCHIMBI WANG'ARA), The Guardian ( Delays and irregularities affect voting exercise), Nipashe (Kura maoni CCM Vigogo wangoka), Tanzania Daima (KURA ZA MAONI: Moto wawaka CCM • Mchuano wa ubunge watoa matokeo magumu)

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...