The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly Kaokoland).
Recently they have built two villages in Kamanjab which have become tourist destinations. They are mostly a nomadic, pastoral people, closely related to the Herero, and speak Otjihimba, a dialect of the Herero language.Tanzania tunasema wamasai wanadumisha mila na utamaduni lakini duniani na hasa Afrika yako makabira mengi ambayo pamoja na kuwa tuko karne ya Sayansi na teknolojia na kuathiriwa na hii kitu inayoitwa utandawazi, lakini makabira haya yameendelea kudumisha mila zao za toka enzi, miongoni mwao ni kabila hili la Himba linalopatikana huko Namibia.
Pata habari zao hapa..
No comments:
Post a Comment