July 31, 2011

Tutarajie nini toka CC ya CCM?

Ni saa 5:40 usiku ninapopost thread hii, mpaka sasa hatujasikia chochote toka huko Dodoma ambako CC ya CCM inakutana katikati ya msamiati unaovuma sana kwa sasa wa "KUJIVUA GAMBA", wengi wanatarajia kuona labda magamba zaidi yanavuliwa ama kwa hiari au kwa lazima, je kikao hiki kitakidhi matarajio hayo? hakuna hajuaye, muda pekee ndio utasema. 

July 28, 2011

Ati wabunge wapimwe akili!!!!!!

Wabunge Mch Simon Msigwa, Godbless Lema na Tundu Lissu  (CHADEMA) wakisindikizwa nje ya ukumbi wa bunge na askari wa bunge mara baada ya kuamriwa na Naibu Spika Job Ndugai kwa madai ya utovu wa nidhamu. anayewasindikiza ni John Mnyika.


Akiharisha kikao jioni ya leo Mwenyekiti Jennister Mhagama alisema amepokea mwongozo wa spika toka kwa Job Lusinde akitaka waletwe madaktari wa akili ili kupima wabunge kwa madai kuwa yanayotendeka sasa ndani ya bunge si ya kawaida.  
Wadau hii imekaakaaje?

WINNERS Boulevard.: The First Principle in The Science of Getting Rich...

WINNERS Boulevard.: The First Principle in The Science of Getting Rich...: "THOUGHT IS THE ONLY POWER WHICH CAN PRODUCE TANGIBLE RICHES from the formless substance. The stuff from which all things are made is a subs..."

July 27, 2011

Mbona hakuna uwiano?

Hii ndo Country profile kwa mujibu wa BBC website
Mineral Occurrence in Tanzania by TMAA



Though it remains one of the poorest countries in the world, with many of its people living below the World Bank poverty line, it has had some success in wooing donors and investors.

Tanzania assumed its present form in 1964 after a merger between the mainland Tanganyika and the island of Zanzibar, which had become independent the previous year.

Unlike many African countries, whose potential wealth contrasted with their actual poverty, Tanzania had few exportable minerals and a primitive agricultural system. To remedy this, its first president, Julius Nyerere, issued the 1967 Arusha Declaration, which called for self-reliance through the creation of cooperative farm villages and the nationalisation of factories, plantations, banks and private companies.

But a decade later, despite financial and technical aid from the World Bank and sympathetic countries, this programme had completely failed due to inefficiency, corruption, resistance from peasants and the rise in the price of imported petroleum.


Maswali magumu:
1. Japo ni masikini sana lakini tuna utajiri wa kuvutia wafadhili na wawekezaji. Why? wanatusaidiaje hawa kuondoka na lindi la umasikini sana?


2. Hati Tanzania ina madini machache sana yauzwavyo nje? mbona ramani hii imesheheni Madini kila sehemu?  kilimo cha kizamani karne hii ya 21! WHY?


3. Hiyo para ya mwisho imeniacha hoi, NO COMMENT!


source: bbc website 

July 26, 2011

Buriani Mwakiteleko

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri Daniel Mwakiteleko kuelekea safari yake ya mwisho kijijini kwake Ndala, Mwakaleli katika Wilaya ya Rungwe, mkoani Mbeya, hii ni safari ya mwisho, mke na watoto hawatakuona tena, Ndugu jamaa na marafiki nao hawatakuona tena, pia wahariri wenzio na woote hawatakuona tena.
Woote tulikupenda sana, hasa mke na watoto, lakini Bwana amekupenda zaidi, Jina la Bwana na lihimidiwe.
Ulale salama Danny. 



picha kwa hisani ya Francis Godwin.

WINNERS Boulevard.: The Next Trillion Dollar Industry -

WINNERS Boulevard.: The Next Trillion Dollar Industry -: "Who is Paul Zane Pilzer? Paul Zane Pilzer is a world-renowned economist, a highly successful social entrepreneur, an adjunct professor..."

July 21, 2011

breaking Nyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuzi! Jairo apewa Likizo ya MALIPO

Habari zilizotufikia punde ni kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Madini na Nishati David Jairo amepewa likizo ya malipo kupisha uchunguzi kuhusiana na tuhuma za kuchangisha pesa ili kuonga wabunge kupitisha bajeti ya wizara hiyo.

Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo amekaririwa na TBC wakti akiongea na waandishi wa habari hivi punde.



Katuni na Said Michael

July 20, 2011

JK in JOZI

Mawaziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na Tanzania Bernard Membe na Bi. Maite Nkoana Mashabane wakibalishana mikataba ya kuanzishwa kwa Tume ya Ushirikiano (Bi-National Commission) kati ya nchi hizo mbili muda mfupi baada ya kusaini katika ikulu ya Afrika ya Kusini jijini Pretoria jana huku marais Jakaya Kikwete na Jackob Zuma wakishuhudia.Picha na Ikulu.

"King of the Night"- is it World's fastest lens?


No-one appreciates the value of a 50mm prime lens better than a Leica M user. The camera maker has four to choose from that are anything but standard, including the f/2.5 Summarit, the f/2 Summicron and the f/1.4 Summilux, along with the lens it dubbed “king of the night” when it was unveiled three years ago, the Noctilux f/0.95, which comes with an eye-watering price tag of £7348 +VAT.
Pamoja na kuwa ni ghali sana Steering Pound 7348 mara 2600 na ushee jamaa ndo wanaigombania, msikie mwenyewe..

According to Stefan Daniel, Leica’s director for product management, “The Noctilux 0.95/50 is one of the most demanding lenses currently in production, and we can only assign production and assembly to the most experienced and skilled people in the whole company”. It is also the most expensive lens in the M and S ranges. It may therefore come as a bit of a surprise to learn that it’s also one of the most in-demand lenses, with a waiting list of up to a year

Read more: http://www.bjp-online.com/british-journal-of-photography/test/2072011/light-the-night-testing-leicas-noctilux-095-lens#ixzz1SewoqGeG 

WINNERS Boulevard.: Is Opportunity Monopolized????

WINNERS Boulevard.: Is Opportunity Monopolized????: "N O ONE IS KEPT POOR BECAUSE OTHER PEOPLE HAVE MONOPOLIZED THE WEALTH and have put a fence around it. You may be shut off from engaging in b..."

July 18, 2011

Breaking nyuuuuuuuuuuz!! Ngeleja akwaaa kisiki

Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini imekwama kupita na kusogezwa mbele kwa muda wa wiki tatu ili  kutoa majibu muafaka kuhusu mgao wa umeme pamoja na mambo mangine.

Hoja ya kuhairisha bajeti hiyo imetolewa na Kiongozi wa Serikali Bungeni Waziri mkuu Mizengo Pinda, bunge bila kujari itikadi za vyama limepitisha kwa kauli moja hoja hiyo.

Pengine hii yaweza kuwa dalili njema kwa siasa za Tanzania kwa Wabunge kuungana kwa pamoja na kuwa na sauti moja katika mambo au matatizo yanayohusu taifa na kugusa wananchi moja kwa moja.


Huu ni ukomavu wa kisiasa unaotakiwa kuoneshwa katika mijadala yote.

July 13, 2011

21st CENTURY BUSINESS.: Sayansi ya utajiri

21st CENTURY BUSINESS.: Sayansi ya utajiri: "WHATEVER MAY BE SAID IN PRAISE OF POVERTY, the fact remains that it is not possible to live a really complete or successful life unless one ..."

JAMANI TUMSAIDIENI KIJANA HUYU. ANATESEKA SANA


ABBAS Abdalaah (31) aliapoanza kuvimba uvimbe mdogo katika mguu wake wa kulia hakujua kuwa ulikuwa ni mwanzo wa ugonjwa ambao hatimaye ungemfanya ashindwe kutembea.Ugonjwa huo ambao mpaka sasa haujulikani, umemfanya Abbas kulala kitandni muda wote akilazimika kubebwa na watu watano kumpeleka nje kujisaidia.
 
Matumaini aliyokuwa nayo ya kupata tiba ya ugonjwa wake, yameanza kutoweka baada ya msamaria aliyejitokeza kumpeleka Hospitali ya Seliani mjini Arusha kushindwa kutimiza ahadi yake.
 
Abbas ambaye ni Mkazi wa Kijiji cha Kiru Ndogo, anasema vurugu za wananchi na wawekezaji wa Bonde la Kiru, Wilaya ya Babati mkoani Manyara, ndizo anaona zimesababisha mpaka sasa asipate msaada.
 
“Vurugu hizi zilizoaanza Machi mwaka huu , ndizo zilizosabisha leo niwe bado hapa sina msaada, kwani mmoja wa wawekezaji katika Bonde hili alikuwa ameaahidi kunisaidia kunipeleka hospitali ya Seliani," anasema kwa uchungu akiwa amelala katika kitanda chake kilichopo sebuleni kwenye nyumba ndogo ya nyasi ya Bibi yake, Zuhura Abdalah.
 
Akisimulia historia ya ugonjwa wake huo, anasema alianza kuvimba kiumbe kidogo katika mguu wake mwaka 2005, wakati huo akiwa mchezaji mzuri wa mpira wa miguu kijiji hapo.
 
Anasema hakuwa na wasiwasi kwamba huo ungekuwa ugonjwa mkubwa ambao ungemfikisha hapo alipo.
 
Taratibu mguu ulianza kuvimba, hali ambayo ilimfanya baba yake mzazi, mzee Abdallah Juma  mwaka 2008, kumpeleka Hospitali ya Hydom, Wilaya ya Mbulu ambako baada ya kumchunguza hawakuona ugonjwa, ingawa mguu ulikuwa umevimba.
 
“Hydom hawakuona ugonjwa, nikawauliza mbona bado mguu umevimba kwa nini hamuoni tatizo, wakanishauri nirudi nyumbani, “ anasimulia kwa uchungu kijana huyu mchangamfu.
 
 Ingawa madaktari katika hospitali hiyo hawakuona tatizo lolote katika mguu wa Abbas, lakini mguu mzima ulizidi kuongezeka unene, mwaka 2009 wazazi wake wakaamua kumpeleka Hospitali ya Mission ya Dareda, Wilaya ya Babati mkoani Manyara.
 
Huko waligundua alikuwa na matatizo katika seli za mwili hivyo wao hawakuwa na uwezo wa kumtibu na kumshauri aende Hospitali ya Rufaa ya KCMC iliyopo Moshi mjini mkoani Kilimanjaro.Anasema mwaka uliofuatia alikwenda KCMC ambako alifanyiwa uchunguzi na matokeo yalionyesha kwamba alikuwa na matatizo ya maji kujaa katika mguu na pia alikuwa na tatizo la nyama kuongezeka katika mguu wake.
 
Abbas anasema baada ya kungulika tatizo hilo aliuzwa na daktari wake kama ana uwezo wa kulipia matibabu ya ugonjwa wake nje ya nchi, lakini alisema hana uwezo.“Baada ya kueleza kuwa sina uwezo, basi huo ukawa ndio mwisho wa uwezo wao kunisaidia, nilirejea nyumbani nikiwa bado nina uwezo wa kutembea mwenyewe,” anasema.
 
Hata hivyo akiwa amekata tamaa ya kupata matibabu aliendelea kuishi huku akifanya shughuli zake za kila siku kwani mbali ya mguu kuendelea kuvimba , lakini hukuwa akisikia maumivu.Machi mwaka huu ndio mwezi ambao utabaki katika kumbukumbu zake zaidi kijana huyu, kwani ndipo aliposhindwa kutembea na kuwa mtu kulala kitandani.
 
Tangu wakati huu kasi ya mguu kuvimba iliongezeka huku akiwa hawezi hata kusimama kwani akitaka kutoka nje ya nyumba anatakiwa kubebwa na vijana watano wenye nguvu. Mbali ya kuvimba sasa ana kidonda ambacho kinamsumbua katika mguu huo.
 
 Wakati akiendelea kuwaza tiba ya ugonjwa wake, Mei mwaka huu mzazi wake alikwenda kumwomba mmoja wawekezaji katika Bonde lenye mgogoro la Kiru kumsaidia hela za matatibu katika Hospitali ya Selian Arusha, alikubali.Hata hivyo, kama waswahili wanavyosema ng’ombe wa masikini hazai , wakati akijindaa kumsaidia mgogoro mkubwa ukaibuka kati wa wananchi wenzake na wawekezaji  19 waliopo katika bonde hili, uliosabisha kuibuka vurugu.
 
Vurugu hizo zilizosababisha watu wawili kuuawa na mali za wawekezaji yakiwamo mashamba ya miwa na magari kuchomwa moto, zilifuta matumaini ya kupata msaada huo.“Naona huyu mwekezaji amekasirika kutokana na mgogoro au naye kakimbia makazi yake kutokana na vurugu hizi, sasa sina msaada mwingine,” anasema kwa masikitiko.
 
Anaomba mtu yeyote mwenye uwezo amsaidie kumpa hela za matibabu ili apone na kurejea katika hali yake ya kawaida.“Ninaomba watu wenye uwezo wanisaidie kunipatia hela niende hospitali  ili nami niwe kama watu wengine jamani, nateseka,” anasema.

 
Anayetaka kumsaidia awasiliane kwa namba 0786272409 au 0655304336



Bongo Pix inakupa pole sana Abas kwa maradhi hayo yanayokusumbua na tutatoa kamchango kidogo kulingana na uwezo wetu, pia tunakaribishwa wadau ambao watakuwa wameguswa kama sisi tulivyoguswa na wangependa kuchangia wanaweza kupitisha michango yao kwa 
M-PESA No 0764 927070 nasi tutaiwasilisha kwa muhusika mara moja au wawasiliane moja kwa moja kwa namba zilizotolewa hapo juu. Asanteni Sana.


Source: Mwananchi 

July 12, 2011

Haki yako ya kutajirika

The RIGHT TO BE RICH

WHATEVER MAY BE SAID IN PRAISE OF POVERTY, the fact remains that it is not possible to live a really complete or successful life unless one is rich. No one can rise to his greatest possible height in talent or soul development unless he has plenty of money, for to unfold the soul and to de-velop talent he must have many things to use, and he cannot have these things unless he has money to buy them with.

A person develops in mind, soul, and body by making use of things, and society is so organized that man must have money in order to become the possessor of things. Therefore, the basis of all advancement must be the science of getting rich.

The object of all life is development, and everything that lives has an inalienable right to all the development it is capable of attaining.

A person’s right to life means his right to have the free and unrestricted use of all the things which may be necessary to his fullest mental, spiritual, and physical unfoldment; or, in other words, his right to be rich.

In this book, I shall not speak of riches in a figurative way. To be really rich does not mean to be satisfied or contented with a little. No one ought to be satisfied with a little if he is capable of using and enjoying more. The purpose of nature is the advancement and unfoldment of life, and everyone should have all that can contribute to the power, elegance, beauty, and richness of life. To be content with less is sinful.

The person who owns all he wants for the living of all the life he is capable of living is rich, and no person who has not plenty of money can have all he wants. Life has advanced so far and become so complex that even the most ordinary man or woman requires a great amount of wealth in order to live in a manner that even approaches completeness.

Every person naturally wants to become all that they are capable of becoming. This desire to realize innate possibilities is inherent in human nature; we cannot help wanting to be all that we can be. Success in life is becoming what you want to be. You can become what you want to be only by making use of things, and you can have the free use of things only as you become rich enough to buy them. To understand the science of getting rich is therefore the most essential of all knowledge.
There is nothing wrong in wanting to get rich. The desire for riches is really the desire for a richer, fuller, and more abundant life — and that desire is praiseworthy. The person who does not desire to live more abundantly is abnormal, and so the person who does not desire to have money enough to buy all he wants is abnormal.
There are three motives for which we live: We live for the body, we live for the mind, we live for the soul. No one of these is better or holier than the other; all are alike desirable, and no one of the three — body, mind, or soul — can live fully if either of the others is cut short of full life and expression. It is not right or noble to live only for the soul and deny mind or body, and it is wrong to live for the intellect and deny body or soul.



Hii ni sehemu tu ya kitabu ambacho nimetumiwa na Collins all the way from France na kiko katika mfumo wa digitali, ikiwa wapenda kupata nakala nijuze tafadhali!

Dada zetu mwataka nini???

Kuna msemo usemao kuwa ukistaajabu ya musa utaona ya filauni, nimeamini, katika post moja hapo chini "sababu hii pekee au zaidi?" nilihoji sababu za kina dada kutopenda kuvaa kanguo kadogo na kupenda ama kufanya makusudi ili mtu mwingine ajue kuwa hanako kanguo kadogo,

Hapo juu hiyo picha ni halisi imefanyiwa ufundi ktk photoshop ionekane ya kuchora, mdada anaoneka ni mcheza shoo katika ukumbu fulani na bila shaka mbali na watazamaji lakini alijua kuwa kuna wapiga picha, hivyo pamoja na kuvaa nguo inayoonekana ni ndefu lakini alihakikisha havai kanguo kadogo na watu wengine wapate salam, kaanika utupu wake hadharani, hana chembe ya aibu wala woga.


Dada zetu mwatupeleka wapi, ni nini mwataka hasa?

July 10, 2011

Find your own mountain

Nimeipata hii toka kwa Mtaalamu na Mkufunzi wa MLM Business Dave Virdee, nikaona ni vyema kuwashirikisha wadau, sina shaka itafanyika msaada kwa wengi na kuanza leo kuweka malengo makubwa kama mlima Kilimanjaro.



If two people are trying to climb a mountain together what's
the most important thing they need to get to the top?
Is it equipment? Or training? Or teamwork? Or favourable
weather conditions?

Well, they need all these for sure. But the most important thing is the mountain itself. They need a clear goal!

Too often we get obsessed with the equipment and the training but have no clear goals. The best mountain climbing equipment is of no use if you don't have a mountain to climb.

We need to have our own mountains, our own goals. Once
you have them, you get a sense of purpose. You become
disciplined, you get up early, you brave the cold, you watch
your diet, you seek out experts, you read the books. All because
you now have a mountain to climb. A peak to conquer.

So instead of complaining about your equipment or your training and worrying about buying more sophisticated equipment, set your own goals first.

Find your own mountain. That could be the first step towards transforming your whole life.

Go ahead. Write down your goals. Today!

July 9, 2011

Success Day in A town


 Mhadhiri wa UDOM na mumewe Esther na Selestin wakitoa ushuhuda jinsi gani wamefanikiwa kupitia biashara ya mtandao ya FLP,



 Mzee Baltazari toka Usa River akitoa ushuhuda jinsi gani Aloe Vera Gel imemponya na ugonjwa wa kisukari ambao alikuwa nao kwa muda mrefu na kujaribu kila gharama kubwa katika tiba bila mafanikio, Mzee huyu anamshukuru binti yake ambaye ndiye aliyemshauri kuhusu bidhaa hiyo.


FLP Success Day huwa ni siku muhimu sana kwa Network Marketers wote pitia kampuni hiyo kusherehekea  mafamikio ikiwa ni pamoja kutambua rasmi waliopanda ngazi za mafanikio, huwa siku ya furaha na vicheko ambapo waweza kaa bila kujua muda umeendaje,

This time ilikuwa zamu ya Mkoa wa Arusha, shughuri imefanyika katika ukumbi wa AICC ukumbi wa Simba, imeshuhudia wanamtandao kadhaa wakitambuliwa kama Supervisors, Assistant Managers, Managers, Soaring Managers, Eagle Managers NK.

July 3, 2011

Today's thought


  • It’s not important to hold all the good cards in life.  It`s important how well you play the cards which you hold.


  • Often, when we lose all hope & think this is the end, God smiles from above and says, `Relax dear, it's just a bend. Not the end'.  Have Faith and have a successful life.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...