December 27, 2008

Origino COMEDY ndani ya UK

WASANII WA ORIGINO COMEDY WAKO UK WAMEKUTANA NA BALOZI NA KUPATA MSOSI PAMOJA.
picha: matukio uk.

TWAMFUNZA NINI MALAIKA HUYU?

Mtoto huyu ambaye anaonekana hajaanza hata darasa la kwanza akifakamia the Laga bila wasiwasi wowote ktk ufukwe wa Coco ktk kusherehekea sikukuu ya Krisimasi, mama yake hapo juu aonekana kuchekelea na kwa majisifu kabisa adai mwanae ana uwezo wa kunywa hadi chupa mbili na bado anaonekana fiti kabisa.
SWALI KWA WADAU..... MALEZI KAMA HAYA TWAWAFUNZA NINI WANETU? JE NI NANI WA KULAUMIWA WATOTO KAMA HUYU KUJA ARIBIKIWA BAADAYE? JE NI JAMII AU MZAZI?
Picha: Mroki.

DAILY NEWS, HABARLI KILELENI

Daily News na Habari Leo zapandishwa kilele cha Bara la Africa Kilimanjaro na Deo Sagamiko na Inoo Mfumu kati ya wafanyakazi kumi walioadhimia kupanda mlima huo.

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...