January 28, 2010

HII SASA HATARI

Hii sasa ni hatari sana wadau, hivi ni tamaa gani hii ya pesa hata hatuhurumiani? tumekuwa tukiwalaumu wachina kwa kila bidhaa feki lakini hebu tujiulize je sio sisi wabongo na hasa ndugu zetu wafanyabiashara ambao ndo wananunua bidhaa hizo ama pengine wanawashawishi wao wachina kutengeza mabidhaa feki na hatimaye kuziingiza sokoni?
Hii ni tamaa gani ya pesa hata ufikilii ndugu zako? je bidhaa hizo feki si ni ndugu zako ndo wanatumia? na je si ni hao pia ndo wanadhurika?
Hii inasikitisha saaana.

· Polisi wakamata za Shilingi milioni 60

· Za Arusha zaletwa Dar kwa hatua zaidi

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata malori manne yakiwa yemesheheni taulo za usafi za wanawake feki (Always) zenye thamani ya Sh. milioni 60 zinazodaiwa kuingizwa kinyume cha sheria.

Malori hayo aina ya Fuso moja na Canter tatu, yalikamatwa juzi eneo la Jangwani, jijini Dar es Salaam yakiwa na shehena za bidhaa hizo ambazo zilikuwa katika makasha madogo 2,750

Dr Shein ziarani Kenya.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakiangalia uandaaji wa huduma mbalimbali za mauwa wakati walipotembelea katika kiwanda cha mapambo mjini Nairobi jana.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dk. Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakiangalia huduma za utafiti wa mazao kwa kutumia teknologia ya kisasa walipotembelea katika kituo cha utafiti wa Kilimo Gigiri Nairobi Kenya jana.

Mac waja na ipad

KAZI KWENU WAPENDA KUJINAFASI.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...