May 13, 2008

Nakaaya na Hashim

Jamani kijana huyu ni tall si mchezo, hapa nakaaya aonekana ka kachuchumaa vile.

Masaai

Hili yawezekana likawa ni kabila lililopigwa picha nyingi sana au laongoza.

Bush ateua msafara wa SULLIVAN SUMMIT VIII

THE WHITE HOUSE Office of the Press Secretary (Albuquerque, New Mexico) ________________ For Immediate Release May 27, 2008 President George W. Bush today announced the designation of a Presidential Delegation to Arusha, Tanzania to attend the Leon H. Sullivan Summit VIII on June 2, 2008. The Honorable Dirk Kempthorne, Secretary of the Interior, will lead the delegation. Members of the Presidential Delegation: The Honorable Mark A. Green, U.S. Ambassador to Tanzania The Honorable Jendayi Frazer, Assistant Secretary for African Affairs, U.S. Department of State The Honorable John A. Simon, Executive Vice President, Overseas Private Investment Corporation The Honorable Michael S. Steele, Former Lieutenant Governor, Maryland Chairman, GOPAC Mr. Edward W. “Ward” Brehm III, Chairman, U.S. African Development Foundation Ms. Melinda Doolittle, Singer

Kipanya leo

JK na Waziri Mkuu JAPAN

Rais Jakaya kikwete akisalimiana na Waziri mkuu wa Japan Mhe. Yasuo Fukuda kwa mazungumzo kwenye Hoteli ya Yokohama Grand Intercontinental ambapo Mkutano wa 4 wa TICAD unafanyika. Rais yuko Yokohama nchini Japan kwaajili ya Mkutano wa siku tatu.

Salaaam

Salamu toka kwa Mdau Nuru, anawapa hi wadau wooote.

AISEEE MATHAWE!!!! NI YUPI HASA?

MCHAGGA NI YUPI HASA? There is no Chagga tribe but just different groups of people living on the southern slopes of Mount of Kilimanjaro with the following characteristics: WAMACHAME (Business entrepreneurs) Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi "kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu" Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa kipimo. Ukiwa katikati mama anakwambia STOOOOOOP! Hapo shilingi Elfu 20 zako ndio zimekwisha; Ukitaka ongezandio uendelee. Yahye, unasikia nasema MKE WA NDOA! Wamachame hao! Uchumba tu, lazima upeleke Kapati la mbeho! WAKIBOSHO (Specialized bandits) Mama akiwa anapiga soga na mwenziwe utawasikia hivi"Yaani Dadangu, we acha tu yule Alex wangu siku hisi amepefuka kweli; Ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi, ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo. Binti naye, AKIOLEWA NA KYASAKA, baba na mama wanamwambia " Hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!! WAURU (The Elites)Very boring people, wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii. Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake wote: "Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea.Uzuri wao, wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita mchana utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.Wanapenda maparachichi hao! We acha tu!! WA OLD MOSHI (The Mechanics)!Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi we nenda kachague mwenyewe.Taabu, Wanaume ni wabishi! Kama mkia wa mbuzi!Wanakunywa kisusio hata cha Nguruwe!! Na Gongonyingiiiiiiiiiiiiiiiiii (Wenyewe waita Crysta-pen!) WAMARANGU (The handsome liars)!Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somola "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu.Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapamaisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumbainamshinda ni jambo la kawaida. WAROMBO: (The salesmen)!Kazi mtindo mmoja! Hawana tofauti ni kuruti wa Jeshi!Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani miaka ya 1970. Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Wahindi hawaoni ndani!Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya kupitia Tarakea.Ushauri wa bure! Rafiki yangu uamue mwenyewe lakini kwa ushaurimwepesi mwepesi nenda Uru (wasomi) au Rombo (wachapakazi). Chaguo ni lako.

Neno la Leo

“As you do not know the path of the wind, or how the body is formed in a mother's womb, so you cannot understand the work of God, the Maker of all things.”- Ecclesiastes 11:5

JK ELEVEN KIDEDEA!!

Mechi ya marudiano kati Tanzania na Uganda inachezwa mjini Kampala hadi mapumziko matokeo yalikuwa 1-1 hii inawapa nafasi ya kusonga mbele Vijana wa JK Boys ukizingatia matokeo ya mechi ya awali waliwachapa 2-0 mjini Dar. MPIRA UMEKWISHA NA MATOKEO NI 1-1 AGGREGATE 3-1 STARS YASONGA MBELE.

MWATEMBEAJE NAVYO HIVI?

Kina dada mna kazi kweli sasa hapa mwatembeaje jamani?????
dada Chemi asema.
"Naona Akina Dada wanaovunjika miguu watakuwa wengi huko Emergency Room. Hivi unatembeaje na hivi viatu? Eti hivi viatu vimekuwa fesheni Japani."

ICT DAY, SIKU YA TEKNOHAMA

Leo ni siku ya kimataifa ya TEKNOHAMA na ujumbe wa mwaka huu ni KUWAUNGANISHA WATU WENYE ULEMAVU: TEKNOHAMA NAFASI KWA WOTE.

Bye Bye kuajiliwa!!

"Asante sana bwana mdogo" Naibu Waziri miundombinu Eezekiah Chibulunje akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Mshare Commission Agent kukubali kukoposha madereva taxi. Madereva taxi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu nyerere wapatao 50 wataondokana na kuajiliwa na kuanza kujiajili baada ya kukoposhwa magari toka kampuni ya Mshare Commission Agent iliyopo karibu na jengo la vijana jijini Dar. Huu ni Mkopo nafuu ambapo utalipwa kwa muda wa miezi 30 dhamana ikiwa ni umoja wao wa ATACOS au Airport Taxi Cooperative Society.

ZANTEL Yaipiga jeki TBF

Meneja wa promosheni na Matangazo wa kampuni ya simnu za mkononi ya Zantel William Mpinga, katikati, akimkabidhi Rais wa shirikisho la mpira wa kikapu nchini(TBF),Richard Kasesela, mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 6.8, zitakazotumika katika ligi ya Muungano inayoanza leo,(may 17)Visiwani Zanzibar,hanayeshuhudia kushoto ni katibu wa shirikisho la mpira wa kikapu nchini, Laurence Cheyo.

"Dr Slaa ashinda"

Habari zilizotufikia punde ni kwamba Mbunge wa Karatu Dr Wilbroad Slaa (CHADEMA) ameshinda ktk kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2005. THE High Court of Tanzania TODAY declared Dr Wilbrod Slaa of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) party the dully elected member of parliament for Karatu constituency, refuting a petition filed last year by three Chama Cha Mapinduzi (CCM) members.

Karamagi Bye Bye TICTS

Nazir Karamagi ametolewa Uenyekiti wa Kampuni ya TICTS na nafasi yake kuchukuliwa na Mkurugenzi wa kundi la makampuni ya Hutchinson Port Holding Ltd, John Merodin. Hakuna taarifa zaidi zilizotolewa na msemaji wa HPH ambao ndo wanahisa kubwa zaidi ktt TICTS.

JK on MWAFAKA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sasa wakati wa kurudi mezani, Rais aviambia CCM and CUF Asema vyama hivyo vinakubaliana kimsingi na kuwa tofauti ni utekelezaji RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa baada ya vyama CCM na CUF kuwa vimeweka misimamo yao kuhusu Mwafaka hadharani, sasa ni wakati wa kurudi mezani kuendeleza majadiliano. Rais pia amesema kuwa anaamini kuwa majadiliano hayo hatimaye yatazaa matunda mazuri kwa mustakabali wa Tanzania. Rais ameyaeleza hayo kwa nyakati tofauti leo katika majadiliano na wageni ambao alikutana nao Ikulu, mjini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yake na Waziri wa Nchi wa Ufaransa anayeshughulikia Mahusiano ya Kimataifa na Nchi Zinazozungumza Kifaransa, Alain Joyandet, Rais ametumia muda kumwelezea mgeni historia ya majadiliano ya mwafaka na sababu za msingi zilizopelekea kuanzishwa kwa majadiliano hayo. “Naamini mambo yatakwenda vizuri. Hatimaye tutafanikiwa katika hili la mazungumzo la Mwafaka,” amesema Rais Kikwete na kuongeza kuwa, kimsingi, CCM na CUF vinakubaliana kuhusu mambo ya kufanyika juu ya Mwafaka, na kuwa tofauti ni katika utekelezaji wa hayo yaliyokubaliwa. “CCM wanataka suala hilo kubwa la msingi liamuliwe moja kwa moja na wananchi. CUF wao wanataka wanasiasa kuamua kwa niaba ya wananchi. Hivyo, tofauti iko katika namna ya kutekeleza yaliyokubaliwa,” amesema. Rais pia amemweleza Waziri huyo kuwa uamuzi wa kuwa na Serikali Shirikishi katika Zanzibar ulichukuliwa miaka saba iliyopita, mwaka 2001, wakati wa majadiliano yaliyozaa Mwafaka wa Kwanza kati ya CCM na CUF. Rais amesisitiza kuwa uamuzi wa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM katika kikao chake cha karibu cha Butiama, Musoma haukubadilisha makubaliano ya msingi kati ya vyama hivyo. “Kilichofanyika ni CCM kuongeza mapendekezo mawili ili nayo yajadiliwe na timu za vyama hivyo viwili.” Amesema kuwa pendekezo moja ni kuwashirikisha wananchi kuamua utekelezaji wa mwafaka kati ya vyama hivyo, na la pili ni kuweka utaratibu wa ukomo wa utekelezaji (sunset clause) wa mwafaka huo. Amesema “mwafaka unalenga kuitoa Zanzibar katika matatizo ya sasa ya kisiasa. Hauwezi kuwa utaratibu wa daima dumu na kuwa ukifika wakati kuwa mfumo huo wa utawala wa kisiasa umekamilisha kazi yake, basi unaweza kuondolewa na Zanzibar ikarudi katika ushindani wa kawaida wa kisiasa.” Amesema kuwa hivyo ndivyo ilivyokuwa katika nchi za Afrika Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), na sasa katika Kenya. Katika mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Kenya, Adam Woods, Rais amesisitiza kuwa bado iko nafasi ya kuokoa mazungumzo hayo ya Mwafaka. “Wote sasa wamezungumza kiasi cha kutosha. Sasa ni wakati wa kukaa chini na kuendelea na mazungumzo,” Rais amemweleza Balozi huyo. Amesisitiza: “Maamuzi ya CCM hajabadilisha jambo lolote la msingi katika makubaliano ya Mwafaka –no deviation on fundamental agreement – Tulichofanya sisi ni kuongeza jambo la kuwashirikisha wananchi na kuwataka wanaoendesha majadiliano kulifikiria na hili.” Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, DAR ES SALAAM. 15 Mei, 2008

Majaribuni!!!

Mbunifu anaye kuja juu Ally Remthulah anakuja ni kitu chaitwa "MAJARIBU" MHHH si mchezo kazi kweli kweli.

JUMA LA TEKNOHAMA

WADAU WA BLOG HII SIMON NA JULIANA WANAWAPA HI WADAU WOTE KTK JUMA HILI LA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO AU ICT NDANI YA DIAMOND JUBILEE.

CRDB yachangia Sullivan Summit

CRDB Leo imetea mshiko wa dola laki moja kwa ajili ya maandalizi ya mkutano wa Nane wa Leon Sullivan au 8th Leon H Sullivan Summit utakaofanyika mkoani Arusha mwezi ujao,
Pia bank hii itatoa huduma za kibenki ktk faranga zote pia kwa wataanzisha huduma mpya kabisa ya MOBILE Banking ambapo kutakuwa na magari maalumu ya kutuoa huduma hiyo ambayo ni ya kwanza kabisa nchini.

Waziri Membe amewataka wafanyabiashara nchini kujiandaa vilivyo ikiwa ni pamoja na kutengeneza vipeperusha, makabrasha, brochure na bizinez card za kueleweka ili kuweza kushawishi wafanyabiashara wakubwa toka US wapatao 3,000 kuweza kufanya biashara nao.

NI NAFASI YA PEKEE KWA WAFANYABIASHARA WA BONGO KUWIN BINGO HILI, VINGINEVYO ZIRANI ZETU WATATUPOLA NAFASI HII.

Exim wachangia Rotary Club

Exim Bank wametoa dola 10,000 kwa ajili ya mkutano wa Rotary Club District 83 unaoanza kesho jijini.

JK ZIARANI MZ,

Rais JK akizindua kivuko na barabara mkoani Rocky City.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...