December 12, 2009

Hoseah na Feleshi, nani atwambii ukweli?

Katuka mila nyingi za kiafrica ama kibantu ni utovu wa nidhamu kumwita mkubwa wako MWONGO ni kitendo cha dharau, nami nisingependa kabisa kuwa mtovu wa nidhamu, sipendi niwakosee heshima wakubwa zangu, lakini pamoja na ukweli huo bado nahisi kwa haya yaliyojili hivi karibuni kati taasisi nyeti nchini yaani PCCB na DPP na majibizano yaliyolipotiwa, nahisi kuna mtu atwambii ukweli hapa, sijui yupi na sababu ip lakini hii ndo hisia. MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP), Eliezer Feleshi, amekanusha tuhuma kuwa ofisi yake imekalia mafaili 60 ya kesi zinazohusu rushwa na kueleza kwamba kamwe hafanyi kazi kwa shinikizo. Feleshi alikuwa akijibu taarifa zilizoandikwa jana na vyombo vya habari zikimkariri Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, akiituhumu Ofisi ya DPP kwa kukalia mafaili hayo ya kesi za rushwa. “Ni kweli napokea mafaili mengi kutoka vyanzo mbalimbali ikiwemo Takukuru na Polisi, siwezi kueleza ni mangapi kutoka Takukuru yapo katika ofisi yangu, lakini jambo moja muhimu la kuzingatia ni kwamba sifanyi kazi kwa shinikizo, tunaongozwa na sheria na ndizo zinazozingatiwa,” alisema DPP. SOURCE. HABARI LEO

No comments:

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...