November 28, 2008

Yona, Mramba warudi tena Keko

Wh. Basil Mramba na Daniel Yona wataendelea kusota tena rumande hadi Jumatatu pamoja na mahakama kuu kuwalegezea masharti ya dhamana.

Mahakama kuu katika uamuzi wake wa jana, ililegeza sharti la kuwataka washitakiwa hao kutoa fedha taslimu, badala yake ikawapa mbadala wa kuwasilisha hati za mali yenye thamani ya Sh bilioni 2.9 kila mmoja.

Uamuzi wa kuwataka washitakiwa waweke fedha taslimu ulitolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na Hakimu Hezron Mwankenja. Lakini sharti hilo lililegezwa jana na mahakama hiyo ya juu.

Uamuzi huo wa Jaji Njegafibile Mwaikugile licha ya ulipokewa kwa furaha na ndugu wa washitakiwa, haukuwasaidia sana kutokana na hati walizokuwa nazo kuonekana kuwa na dosari kadhaa ambazo zilihitaji uthibitisho kutoka kwa mamlaka zingine.

Mama Maria apata ugeni leo

Waziri Mkuu wa Msumbiji Luisa Diogo akimvisha zawadi ya nguo aina ya kikoi Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Msasani Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali na kutembelea bustani yake.
Ni wageni wachache sana wanaomkumbuka Mama Maria hata kumtembelea, kwa Mama Maria au mama wa Taifa kuna mengi sana ya kujifunza budi tuwe twamtembelea jamani.

November 27, 2008

TAHLISO WAIBUKA...

Tanzania Higher Learning Institutions Students Organization (TAHLISO) Chairman Christopher Ngubiagai (C) speaks during press brief. Others L – R Manyama George (Commisioner from SAUT), Iman Batenzi (Senator- Mzumbe), Nicholas Mtindya (Sectetary General – Tumaini), Pangani Peter (Treasury - TIA), Joram Malimi (Senator- UDOM) and Kapinga Angelus Senator – Ruaha).

UMOJA wa wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO)umesema unatambua na kukubaliana na madai ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu lakini hawaamini kama migomo ndiyo suluhisho la madai hayo.

Aidha ,wamesema sera ya uchangiaji wa elimu ya juu haiwezi kuepukika ila kinachotakiwa ni kufanya marekebisho katika kutambua mtoto wa tajiri na masikini mara wanapotaka kupewa mikopo.

Akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu msimamo wa umoja huo kuhusiana na migomo katika vyuo vya elimu ya juu nchini,jijini Dar es salaam jana,Mwenyekiti wa umoja huo Christopher Ngubiagai alisema Wanafunzi hao wanatakiwa utumia busara ,hekima ,maarifa na ujuzi wa kielimu walioupata na wanaoendelea kuupata katika kufanya maamuzi sahihi kwa njia ya majadiliano.

“TAHLISO inatambua na kukubaliana kuwa,madai yote ambayo wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu wanadai ni sahihi na ni halali kabisa na ndio maana iliyaainisha na kuyawasilisha serikalini Tangu mwezi Julai mwaka huu lakini haitambui migomo iliyofanyika na baadhi ya vyuo vichache vya umma”Alisema

Naye ,Katibu Mkuu wa Umoja huo Nicholas Mtindya alisema , madai yote ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu tayari yamepitiwa katika mchakato wa mazungumzo ambao uliishafanyika kati ya TAHLISO na serikali kupitia Waziri wa Elimu Oktoba 23,mwaka huu.

Waziri mkuu wa Msumbiji na Mtoto wa Mkulima

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Mgeni wake, Waziri Mkuu wa Msumbiji, Luisa Dias Diogo.

November 26, 2008

NENO LA LEO

My brethren, count it all joy when you fall into various trials, knowing that the testing of your faith produces patience. But let patience have its perfect work, that you may be perfect and complete, lacking nothing. James 1: 2-4

AfDB YAMWAGA Bn 192.9

Benki ya Maendeleo ya Africa imemwaga bilion 192.9 Tshs kwa ajili ya bajeti.
Treasury Permanent Secretary Gray Mgonja exchanges documents with African Development Bank Resident Representative Ms Sipho Moyo after signing 192.9 billion Tshs for the General Budget Support in Dar es Salaam today.

AZAKI 2008

TAMASHA NA KONGAMANO LA ASASI ZA KIJAMII (AZAKI) LAFUNGULIWA LEO.

KIPANYA LEO ana mambo!!

Yesuuuuuuu nyife siamini walai!!!!!!!

"Hii sirikali ya awamu ya nne ni chiboko yaani hata miye nalala selo hati kwa kukosa tubilioni tunne tu??? walai siamini, hebu kachukue lile VX langu pale kwa Hoseah kijana".
kwa kweli siami macho yangu au naota vile?
MAWAZIRI wawili wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona, wamelala rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana baada ya kushitakiwa kwa kosa la kuisababishia hasara serikali ya Sh bilioni 11.7. Washitakiwa hao ambao walipandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana saa 5:35 asubuhi, walishindwa kutimiza sharti la kila mmoja kuweka Sh bilioni 3.9 mahakamani. Walikana mashitaka yao 13. Wote wanatuhumiwa kutumia vibaya madaraka yao ya uwaziri hivyo kuipendelea Kampuni ya Alex Stewart (Assayers) ya Uingereza kwa kuipa misamaha ya kodi.
http://www.dailynews.habarileo-tsn.com/

November 25, 2008

Origino Comedy nao walikuwepo kisutu

Kundi la vichekesho la origino comedi likiigiza watuhumiwa mara baada ya Mramba na Yona kupandishwa kizimbani.
na

Daniel Yona na Basil Mramba kusota rumande...

Watuhumiwa Daniel Yona na Basil Mramba wamepelekwa rumande baada ya kushindwa masharti ya dhamana moja wapo likiwa ni kuweka pesa taslimu Bilion 3.9 kwa kila kichwa. Kuna jumla ya mashtaka 14 kwa watuhumiwa wote.

EPA NIUUZ BREAK!!!!

BREAKING NIUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUZ!!! Mawaziri wawili wa zamani kupandishwa kizimbzni leo hiiii. watch this blog for more.

November 24, 2008

Odemba arejea

Miss HEWA au AIR na mshindi namba mbili wa Miss Earth Miriam Odemba amereajea leo toka ufilipino na kurakiwa kama Malkia.

Makamu amtembelea Mzee Pinda

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakizungumza na Baba Mzazi na Mama Mzazi wa Waziri Mkuu Mh. Mizengo Peter Pinda, walipowatembelea kijijini kwao Kibaoni Wilayani Mpanda leo,

IFM WAGOMEA MITIHANI

Wanafunzi wa Chuo cha usimamizi wa ngawila IFM leo hii wamegomea mitihani ilokuwa ianze leo kwa madai kuwa ratiba imebadilishwa ghafla mno na hakukuwa na muda wa kutosha kujiandaa. kulingana na baadhi ya wanafunzi ni kuwa ratiba za mitihani chuoni hapo huwa ni siku za jumamosi kwa mtihani mmoja mmoja lakini siku ya Ijumaa chuo kilitoa ratiba ya mitihani mitatu mitatu kuanzia leo hii kwa wanafunzi wa miaka yote
.
Mhh Kasheshe hiyo...

November 23, 2008

Babu vipiiiiii

BABU ATAFUTA NINI TENA?

From:chemi

MNATO NA SENEMA PAMWE WADAU!!!!!!

WAPIGANAJI KITU KIPYA HICHO CHATARAJIWA KUINGIA SOKONI MWAKANI, KAMERA HII ITAKUWA INAFANYA KAZI ZOTE YAANI ZA MNATO NA SENEMA NA NI PROFFESIONAL HASA, WENYEWE WANADAI WAMETOA HII ILI KUUA HIZI TULIZO NAZO SASA ZA DSLR, SIJUI ITAKUWAJE TUSUBIRI TUONE.

'We believe, and are developing for late 2009, a replacement for DSLRs,' says Jim Jannard, founder of Red, which has just unveiled details of a groundbreaking hybrid camera system that some say will change the way we think about image capture forever. Simon Bainbridge reports.

After weeks of drip-feed information, a US-based company has unveiled details of its new camera system designed for ultra high resolution still and motion picture capture - which many experts think will revolutionise professional imaging.

Available in multiple configurations, Red's Digital Still & Motion Camera (DSMC) is based around one of two 'brains' - the Scarlet, or the higher-spec Epic - with sensor sizes available from a 'mini' 2/3-inch to 6x17cm, reportedly delivering still image resolutions ranging from 4.9 million pixels to a whopping 261 million, together with full-frame motion picture capability. There's even a 3D capture version planned.

The DSMC is due next year, capitalising on renewed belief that the convergence of still and motion picture capture is the new reality.

'DSLR killer' There is plenty of indication that Red will also target the high-end DSLR market next year. The DSMC system includes an SLR-like grip accessory, and one version of the Scarlet system includes a fixed 8x zoom lens. But the most intriguing comments came from Jannard earlier this year when he wrote on the reduser.net blog about a camera model he dubbed a 'DSLR killer'.

THE DSMC CAMERA IN BRIEF - The first truly hybrid still and motion capture system - Sensor formats from 2/3-inch to 6x17cm - Resolutions from 4.9 million pixels to 261 million - Modularity allows infinite customisation and 'future proofing' - Body prices $2500 up to $12,000 - Everything is subject to change, but expect arrivals in 2009.

November 20, 2008

MIEZI MINNE BILA MOYO?????????

MIAMI – D'Zhana Simmons says she felt like a "fake person" for 118 days when she had no heart beating in her chest. "But I know that I really was here," the 14-year-old said, "and I did live without a heart." As she was being released Wednesday from a Miami hospital, the shy teen seemed in awe of what she's endured. Since July, she's had two heart transplants and survived with artificial heart pumps — but no heart — for four months between the transplants. Last spring D'Zhana and her parents learned she had an enlarged heart that was too weak to sufficiently pump blood. They traveled from their home in Clinton, S.C. to Holtz Children's Hospital in Miami for a heart transplant. But her new heart didn't work properly and could have ruptured so surgeons removed it two days later. And they did something unusual, especially for a young patient: They replaced the heart with a pair of artificial pumping devices that kept blood flowing through her body until she could have a second transplant. Dr. Peter Wearden, a cardiothoracic surgeon at Children's Hospital of Pittsburgh who works with the kind of pumps used in this case, said what the Miami medical team managed to do "is a big deal." "For (more than) 100 days, there was no heart in this girl's body? That is pretty amazing," Wearden said.

ap.

KIPANYA LEO

Rangi adimu ipitapo uswazi..

Watoto wa TMK Mtoni P/S wakigombea kumshika japo mkono dada wa kichina raia wa Canada Yumimi, ni wazi rangi hizi ni adimu uku hata watoto hawa kuona ka ni bahati vile au ka kipofu kuona mwezi.

November 19, 2008

WOSIA WA BURE KWA WATUMISHI WA UMA.

Mfanyabiashara maarufu aliyepata kuwa Mkurugenzi, Mwenyekiti, Rais, nk wa mashirika na asasi mbalimbali Anald Kileo amewaasa watumishi wa umma kuandaa mazingira bora na safi na raini ya kuelekea kwenye sekta binafsi mara ajira zao zinapofikia ukomo ili watue uko huku wakikimbia kwani ndio kimbilio mara baada ya ajira ya umma. Wosia huu ilitokana na mada ya rais wa zamani wa TCCIA Elvis Musiba kuwa ukiritimba uriokithiri kwa watumishi wa serikali ni kiwazo kikubwa sana ktk sekta bibafsi kufanya biashara na kuwa utakapo kuanzisha biashara leo basi anza angalau miaka mitatu kabla kufatilia serikalini.

November 18, 2008

WALIMU MZIGONI TENA...

BAADA YA MAHAKAMA KUU KITENGO CHA KAZI KUZUIA TENA MGOMO WALIMU MAMEREJEA TENA DARASANI KUPIGA MZIGO WAKITUMAINI KUWA UENDA WIKI IJAYO WAKAPATA FWEZA ZAO BAADA YA KUWA SERIKALI IMEZITUMA VITUO HUSIKA.

MDUDU KAGODA NNANI???????

Mwenyekiti wa IPP R Mengi amemtaka DPP kupitia kwa Makamu wa Rais Dr Shein abaelezee baBongo huyu kitu au mtu mdudu alochota bilion 40 peke yake toka EPA alias "Kagoda" nnani hasa hata sasa hajafikishwa mahakamani?

KATAA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE..............

Kampeni ya kataa ukatili dhidi ya wanawake, watoto na albino kwa njia ya SMS kupitia mtandao wa Voda imezinduliwa na Waziri Mama Sitta. Kampeni hii ina lengo la kukusanya saini za KATAA zipatazo million1 au zaidi ifikapo mwezi desemba na kuwasilishwa kwa katibu mkuu UN.

November 15, 2008

Msaada tutani ktk Bongo pix

Habari ya kazi mkubwa wa Bongopix, Sisi hapa ni Dullonet ni wanamtandao wenzako katika ulimwengu huu wa mawasiliano.

Kutoka Dullonet tunatuma ombi letu kwako kwa kuomba kupewa links katika blog yako ili nasi tuweze kufahamikazaidi na kupata wasomaji wa Website yetu ya www.dullonet.com ambao tunajihusisha na mambo ya habari mchanganyiko na kutoka vyombo mbalimbali duniani.

Zaidi tunategemea kusikia toka kwako mwanamtandao wenzetu na pia tunatanguliza shukrani kwako kwa kuchukua muda kusoma email hii.

Dullonet Team.

BP Haina noma na hilo karibuni sana.

Mama mbavu zangu weeee,

Dear Uncle Barrack,

Congrats on your assumption to the throne of US. We your Nigerianfamili are very happy for you and for ourselves. It is our turn now tochop US national cake and our enemies cannot do anything about that.

I was to come to see you personally at Wite aus but I was not allowedat the airport because of say no fisa. I told them I am Obama kosinbet they refuse me.

Your new elesion is a very good news for the Obamaclan in Kenya and the famili in Nigeria. When I fest went to thefamily aus in Kenya to tell dem we are one famili they did not agreebut my pastor from my church make 3 days dry fast and give me aspecial sponge to baf in barbitch after this they accept me. Becosthey don't remember the sister of your granfada mother dat went toNigeria and mari a shief live near Lagos in 1956 which is also my ownpersonal great grandfada.

Now the famili has choose me to diskus some important matas with you.You know you have been long in Amrica and have forget our traditionsbut tank God we, your famili are hia to guide you to be rill Africanman.

As a president, you must have a male son in office who will takeover after you die and since ya wife Mitchell has not able to do that,we have find a wife for you from your fada village. The famili havealready chose a good girl from de village not like Amrica or lagosgals who are too stubborn to obey the famili. She is a humble wellbehave and edicated gal who study sewing and fasion disine so she canhelp with sewing your suit wen e tia and also unifom for ami and soja.

I hope ya waif will assept famili shoice becos we have fogif her forher winchcraft wich dont allow her to have a male son but if not, shecan go back to her fada. Even my pastor has say your younger thotermay need a deliverance becos her granmoda want to give her winsh andogbanje spirit to chop. Please don't wori about what dis will costbecos I will do it with my own pusonal moni becos we are one famili.

I also want to tell you that I want to set up NGO for hades unfans inKenya and I can be the leader of the NGO. I have a good standard sixdegree and also studied computa at Iyana Ipaja so am well qualify fordis. Please I need your help for this.

I hope you will consider my request. I will also like your personalmobile so I can call you. Please greet Auntie Minchel and the shindrenfor us. God bless you and may all your enemies fall down and die, inJesus' name!

Til I hear you,

I amYours amiable

cousincalista obama

November 14, 2008

EPA - MAHAKIMU WAOMBA ULINZI

JEETU PATEL, JOHNSON RUKAZA NA KETAN CHOHAN at KISUTU COURT

MAHAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ambako kesi za ufisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinasikilizwa, wamehofia usalama wao; hali iliyowalazimu kuomba kupatiwa ulinzi wa polisi.

Mahakimu hao wanadai wamepewa dhamana ya kuendesha kesi hizo kubwa wakati usalama wao ni mdogo kutokana na kutokuwa na usafiri, hali inayowalazimu wakimaliza kuendesha kesi hizo wapande daladala.

MWANAFUNZI AJIUA KWA MSIBA WA NYAULAWA.

WAKATI MAREHEMU NYAULAWA ANALAZWA KTK NYUMBA YAKE YA MILELE, KUNA HABARI YA KUSIKITISHA SANA TOKA HUKO MBEYA KWA MWANAFUNZI KUJIUA BAADA YA KUSIKIA KIFO CHA MFADHILI WAKE HUYO.

A form two student of Imezu Secondary School in Mbeya District, Ambrosi Mwantambo (23) has hanged himself death for what is said to be a shock for the death of Mbeya Rural MP, Richard Nyaulawa. Information from the village said the student reached the decision after learned that, MP Nyaulawa who was paying his school fees died and he lose hope of going on with studies. Mbeya Regional Police Commander, Zelothe Stephen confirmed the death of the Mwantambo, were he said the incident occurred in November 13, at Inyala village around 9 am.

MOI YAPIGWA TAFU...

Daktari! ama no!!, Doctor ohh no!!! Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsabahi mtoto mwenye umri wa miaka minne Catherine Paul aliyelazwa katika taasisi ya MOI katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo mapema wiki hii.Rais Kikwete alikwenda hospitalini hapo kupokea vifaa vya upasuaji mishipa na Ubongo vilivyo tolewa msaada na Kampuni ya Synthes Spine yenye makao yake makuu nchini Uswisi, kupitia hospitali ya Chuo Kikuu cha Weill Cornell kilichopo New York nchini Marekani.Vifaa hivyo vilikabidhiwa na Daktari Bingwa wa Uapsuaji Mishipa na Ubongo Dr.Roger Hartl.

EPA - JK ATUZWA KONDOO

JK POKEA JAPO KIDOGO NDO UWEZO
Mbunge wa jimbo la Same Mashariki,Anne Kilango Malecela akiwa ameshika kondoo aliyekabidhiwa na wananchi wa jimbo hilo kwa ajili ya kumpongeza Rais Jakaya Kikwete kwa hatua alizochukua dhidi ya watuhumiwa wa ufisadi wa fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje ( EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania. Kilango alikabidhiwa juzi kondoo huyo.

Mgomo wa walimu wiki ijayo..

Baada ya mahakama ya rufaa kubatilisha pingamizi la mgomo wa walimu la mahakama kuu ya kazi sasa mgomo kuendelea kama kawa nchi nzima.
Rais wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) Bw. Gratian Mukoba (kulia) akiwa na Katibu Mkuu Ezekiah Olouch akiongea juu ya mgomo wa walimu utakaoanza wiki ijayo.

November 13, 2008

Tausi

TAUSI LIKOKOLA MAMBO HADHARANI.
Mwanamitindo wa kimataifa toka Bongo Tausi Likokola ataelezea historia ya maisha yake toka Bongo hadi kuwa kinara wa mitindo mpaka sasa mama watoto huko aliko majuu ktk kipindi cha Club 700 ktk CBN Tv.
'You can step out of God's plan but never out of God's love, God's love is perfect and His grace is sufficient. Promises from those you love might fail, but God will never fail you' Watch Tausi's journey from Tanzania to the world of fashion to motherhood. Tausi's story will air December 1st 2008 on the 700 Club -- you can check local show times here: http://www.cbn.com/700club/ShowInfo/Schedule/program_air_times.pdf You can also download it off the web as well after it airs at: http://www.cbn.com/media/?WT.svl=PgmMedCenButton BLOG HII INAKUPA HI SAAAAAANA.

November 12, 2008

NATAMANI NIJUI WANACHOFURAHIA!!

MWENZENU NATAMANI NIJUE KILE WALICHOKUWA WAKITETA WAHESHIMIWA HAWA HATA KUMWAGA BATASAMU LA NGUVU MSIBANI KWA NYAULAWA..............

Nyaulawa aagwa Dar

RAIS Jakaya Kikwete pamoja na mkewe Mama Salma leo wameongoza mamia ya waombolezaji wakiwamo viongozi wa serikali, wabunge na wananchi kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Vijijini, Richard Nyaulawa (57) aliyefariki dunia Jumapili nyumbani kwake, Kawe Beach, Dar es Salaam. Mwili wa marehemu Nyaulawa umeagwa kwa Ibada ya Misa iliyoongozwa na Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Martha, Mikocheni, Padri Paul Haule na kisha heshima hizo za mwisho.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...