November 30, 2009

Je kuna mdau yeyote aweza kumbuka lilikuwa wapi hili?

Hili ni tangazo katika mlango wa chumba cha mkutano katika moja ya ofisi nyeti hapa Jijini Dar enzi hizo simu zote za mkononi zilikuwa zaitwa mobitel,
swali la kizushi, Je kuna awezaye kutueleza lilikuwa ofisi gani?
Mshindi atapata zawadi nono na kumaliza mwaka huu meno nje.

Master Bedroom ya Mo Dewji

Mwanablog, Bizinezmen, Mwanamichezo na Mbunge Mo Dewji akiwa chumbani kwake Singida. mtembelee hapa.

Maafisa Habari walipozuru Ngorongoro Crater

Maofisa habari na Mawasiliano wa Wizara, Taasisi, Idara zinazojitegemea na Wakala wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya bonde la hifadhi ya Ngorongoro juma lililopita.

November 25, 2009

Watani zangu acheni wasichana nao wasome jamani!!!

Tarime — FELISTA Laurent (15) had not been admitted to hospital in her life, until November 4, this year, when she was attacked by his father, Laurent Nyonyo and hospitalised at Tarime District Regional Hospital, with serious wounds. This was after she refused to get married. Staff Writer MUGINI JACOB visited the young girl at the hospital and now reports...

SHE is young and plans to begin her secondary education next year. Sadly, her future stands in limbo because her father wanted to receive some cows in dowry, forcing her to accept early marriage and thus sacrifice education.

The decision by Felista to reject an offer for early marriage has denied her father nine heads of cattle, but she is now feeling the pinch of not becoming a mother as early as her father wished.

"I have never been admitted to a hospital since I was born, but I am now wounded and hospitalized for refusing to be married", Felista says.

Yaani hawa watani zangu wananiacha hoi, wanasema ukipata mtoto wa kike tayari ni mtaji kwao. chekini na hii post ya zamani muone wakurya wasivyo na masihara ndoa za lazima

Muraaa wacha watoto wasome bana

Are You Unapproachable to Men?

Je Vijana hawakupi kideiti??

Dear What Men Want: Recently (4 months ago, to be exact) I moved to Manhattan after graduating college and I have yet to score a date with any eligible bachelors in the city. In fact, I don't even think I've given my number out once. My roommates, on the other hand, both go on dates all the time, while I end up empty-handed weekend after weekend. I'm no Gisele, but from what I've been told, this isn't a question of my attractiveness. My roommates think I'm a little too picky in my choice of men (which I like to call "high standards") and think I shut down men too fast, but even so, why are no decent men approaching me when I'm out? Is it possible that I look intimidating to men, and if so, do men only approach the easy-looking girls at bars? How can I change my attitude so that men find me more approachable without throwing myself at them? Please help, WMW!

Sincerely,

Dating-Challenged

Wadau kuna mweneye jibu? cheki hapa

November 24, 2009

Stop Blaming and Rise Up

When Jesus saw him lying there, and knew that he already had been in that condition a long time, He said to him, “Do you want to be made well?” The sick man answered Him, “Sir, I have no man to put me into the pool when the water is stirred up; but while I am coming, another steps down before me” (John 5:6-7).

This guy was basically saying, “It's not my fault. I'm in this condition because of what someone else won't do for me, and because of what someone else has done to me.”

Think about it, “I have no man to put me in.” Paraphrased that says, “I'm stuck because of what someone won't do for me.” Or, “While I'm coming, another steps down before me,” which paraphrased says, “I'm stuck because of what someone else has done to me.” Either way, “It is not my fault.”

We need to make up our minds that we want to be free, then stop shifting the blame to others.

A friend of mine migrated from Mexico to the U.S. many years ago. He didn't understand the culture or the language and seemed to be hopelessly locked into a dead end job.

His employer took advantage of him and it seemed like he had no way out. But instead of blaming others for his situation (which would have been easy for him to do), he decided to get unstuck and do something with his life.

It took several years, but today he has several businesses and is quite wealthy.

Do not get caught in the trap of blaming others. Instead, make the decision to rise up (something we will be talking about in our next devotional.)

Mtumishi huyu Bayless Conley uwa ananibariki sana, hebu mtembelee hapa ili nawe ubarikiwe pia.

AINA MPYA YA KINYONGA YAGUNDULIWA BONGO.

Snake spits out new species of chameleon at scientist's feet

It was so nearly known as dinner. Instead, a small and not terribly impressive chameleon has become the newest discovery of the natural world, after a startled Tanzanian snake spat a still-undigested specimen at the feet of a British scientist, who identified it as a previously unknown species.

Dr Andrew Marshall, a conservationist from York University, was surveying monkeys in the Magombera forest in Tanzania, when he stumbled across a twig snake which, frightened, coughed up the chameleon and fled. Though a colleague persuaded him not to touch it because of the risk from venom, Marshall suspected it might be a new species, and took a photograph to send to colleagues, who confirmed his suspicions.

Kinyongia magomberae, literally "the chameleon from Magombera", is the result, though Marshall told the Guardian today the fact it wasn't easy to identify is precisely what made it unique.

"The thing is, colour isn't the best thing for telling chameleons apart, since they can change colour for camouflage. They are usually identified based on the patterning and shape of the head, and the arrangement of scales. In this case it's the bulge of scales on its nose."

ISOME ZAIDI HAPA

November 23, 2009

Wanakijiji wanapolazimika kuomba DK 10 za Mtoto wa Mkulima

Wananchi wa Kijiji cha Mkunya wilayani Newala wakiwa wamebeba bango kubwa linalomuamba Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyekuwa anapita kijijini kwa akilekea kwenye kituo cha maji cha Mkunya kusimama na kuwasikiliza.

Maofisa Habari wapigwa msasa A town

Naibu Waziri wa Habari Joel Bendera akiwa na Mkurugenzi wa MAELEZO Clement Mshana na Mkurugenzi wa AICC Bw Kaaya mara baada ya kufungua semina ya Maofisa Habari Mjini A Town Leo hii.
Posted by Picasa

Citi Bank wanywa uji na yatima Kigamboni

Wafanyakazi wa Benki Citi ya jijini Dar wikend hii waliamua kuitumia kwa stahili yao kwa kwenda kutembelea kituo cha yatima cha Tuamoyo huko kigamboni na kunywa nao uji kabla ya kukabidhi misaada yenye thamani ya milion 3.5 shilingi za Bongo.

November 20, 2009

Obama amjibu mwana blog

President Obama's Responses to Yoani Sanchez's Questions

Thank you for this opportunity to exchange views with you and your readers in Cuba and around the world and congratulations on receiving the Maria Moore Cabot Prize award from the Columbia University Graduate School of Journalism for coverage of Latin America that furthers inter-American understanding. You richly deserve the award. I was disappointed you were denied the ability to travel to receive the award in person.

Your blog provides the world a unique window into the realities of daily life in Cuba. It is telling that the Internet has provided you and other courageous Cuban bloggers with an outlet to express yourself so freely, and I applaud your collective efforts to empower fellow Cubans to express themselves through the use of technology. The government and people of the United States join all of you in looking forward to the day all Cubans can freely express themselves in public without fear and without reprisals.

yasome hapa

Karibu sana Mo Dewji ktk Ulimwengu wa Ku-Blog

Leo ktk vinjali yangu huku na huko mtandao ni niemebahatika kukutana na Blog ya Mh Mo Dewji, huyu ni Mbunge wa Singida Mjini Mjumbe wa CCM NEC, Mfanyabiashara maarufu, Mwanamichezo na Mmiliki wa timu pia, pamoja na shughuri nyingi zote hizi bado kaona umuhimu wa kuwa na jukwa la kubadilishana mawazo yaani Blog, akiwa na lengo kubadilisha na mawazo na wabongo na wana blog woote duniani hakika ulimwengu wa blog si mdogo kama baadhi ya watu wanavyodhani, bali njia hii ya upashanaji habari, uelimishanaji na burudani ni mpana na wahusisha watu wengi sana na ni njia rahisi sana ya kufikisha ujumbe kwa jamii inayo kuzunguka.
Rais wa Marekanai Barack Obama juzi alichukua muda kumjibu mwanablog Yoani Sanchez wa Cuba (angalia post hapo juu), baada ya dada huyo kupost maswali kadhaa kwa Obama kwenye blog yake. (sina hakika kama hicho chawezekana kufanyika hapa Bongo pia)
Karibu sana Mo Dewji, lakini jambo mmoja (sijui ni tatizo au) la kublog ni kukubali kuwa mtumwa wa blog au wadau maana haka ni kama kaulevi fulani hivi kila siku wahisi wawiwa na kitu iwapo inapita bila kupost au kutyembelea bloguni kuona watu wame-coment nini au kuna kitu gani kipya.

FIFA YAWATOSA WA-AIRISH

Fifa has refused the Football Association of Ireland's request for a replay of France's World Cup play-off win over the Republic of Ireland.

The Republic were beaten 2-1 on aggregate after France won with a goal from William Gallas, after Thierry Henry handled the ball in the build up.

A Fifa statement read: "The result will not be changed and cannot be replayed."

And the French Football Federation (FFF) has no intention of proposing a replay, BBC sport has learned.

With Fifa having rejected the Republic's plea, it was thought Ireland's only hope was if France themselves came forward and backed plans for a replay - but the FFF believes such a notion to be laughable, BBC Sport understands.

The Fifa statement continued: "As is clearly mentioned in the laws of the game, during matches, decisions are taken by the referee and these decisions are final."

A Fifa source had earlier said: "There is no way the game can be replayed. To do so would cause absolute chaos for football. If it was replayed, then every match in the future would also be subject to these calls for a replay any time a referee misses an incident.

"You have to have a rule that says the referee's judgement is always right."

November 19, 2009

New Life Band kuwakilisha Califonia Jumapili

A band from Tanzania known for its wide range of music, from traditional African drum rhythms, close harmonies, to modern western style instruments with an African flair, will give concerts at a Palm Desert church Saturday and Sunday.
The New Life Band will perform at 5:30 p.m. Saturday, and at 8 and 9:30 a.m. Sunday at Hope Lutheran Church.
Over the past 25 years, the New Life Band has developed an active and vibrant ministry to youth in Tanzania through school visitations, national youth camps and conferences, outdoor Christian rallies, concerts and performances, and one-on-one counseling and guidance, a church spokesman said in a release.
“Their ministry has been deeply committed to reaching out to help today's youth of Tanzania often caught up in an atmosphere of poverty, unemployment, substance abuse and lack of direction for their lives,” the spokesman said. Their youth camps, held two to three times per year, are typically attended by more than 1,000 young people. The musicians reach more than 600,000 people each year through concerts and outdoor rallies.
The church is at 45-900 Portola Ave.

November 17, 2009

Mtoto wa Mkulima zizrani Kusini

Mama Tunu Pinda akimkagua macho mtoto Nasra Muhidin wa Kituo cha yatima na waathirika wa ugonjwa wa ukimwi cha UWAVITA cha Liwale wakati alipokitembelea akiwa katika ziara ya Waziri Mkuu mkoani Lindi.
Posted by Picasa

November 13, 2009

Mama Migiro katika soka

Naibu Katibu Mkuu UN Dr Asha Rose Migiro akionesha karufundi ka danadana.

November 11, 2009

Siku Bendera ilipofika Kileleni.

Mwanamichezo Elly Gerald Minja siku alipoifikisha kileleni mwa Mlima wa Kilimanjaro Bendera ya taifa katika kuhitimisha mbio za kinywaji zilizobeba kampeni ya "Fikisha Tanzania Katika Hatua ya Juu" ikishirikisha wamariadha nyota zaidi ya 70 waliokimbiza bendera kwa zaidi ya kilomita 567 kwa siku tano kuanzia Dar es Salaam hadi Marangu, Moshi mkoani Kilimanjaro.

Rupert Murdoch awachimbia mkwala GOOGLE

Rupert Murdoch to take news off Google
Rupert Murdoch, the media czar who heads prime news sources like The Wall Street Journal, The New York Post, 20th Century Fox and Fox News, has threatened Google that he will soon pull the plug to make his sites disappear from Google listing.
In an interview with Sky News Australia, Murdoch accused Google, Microsoft, and others of "stealing" his company's content. When asked why he doesn't pull his web sites from Google's search results he replied, "I think we will. But that's when we start charging."

November 6, 2009

Kamati ya Mzee Mwinyi kuibua mengi CCM.

MALUMBANO makali yameendelea kuitikisa Kamati ya rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi baada ya makombora ya juzi kuelekezwa kwa Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango na mumewe, mzee John Malecela.
Kamati hiyo imekuwa ikipokea mashambulizi makali baina ya wabunge ambao wanaonekana kuwa vinara wa vita dhidi ya ufisadi na wale ambao wanaona kuwa vita hiyo inawalenga, kiasi cha kurushiana tuhuma nzito zilizo na mwelekeo wa kuchafuana.
Baada ya kulipuana Jumanne, juzi ilikuwa zamu ya Mama Kilango na mumewe Malecela wakati Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora), Sophia Simba alipotoa tuhuma nzito akidai kuwa wawili hao pia wamekula fedha za ufisadi.
Habari kutoka vyanzo vyetu zilieleza kuwa Simba alidiriki kudai kuwa hata harusi ya makamu huyo wa zamani wa CCM na Kilango ilifadhiliwa na mtuhumiwa wa ufisadi, Jeetu Patel. Patel kwa sasa ana kesi katika Mahakama ya Kisutu akituhumiwa kuiibia Benki Kuu (BoT) kwa kuchota takribani Sh11 bilioni kutoka katika Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA).
Akijieleza kwenye kamati hiyo, Simba alimtuhumu Malecela, ambaye aliwahi kuwa waziri mkuu katika serikali ya awamu ya kwanza, kuwa wakati akiwania kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya CCM mwaka 2005, Jeetu Patel alimpa Sh200 milioni kwa ajili ya kampeni zake.

November 3, 2009

PCCB or HOSEAH vs WABUNGE, picha laendelea

The Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) Chief, Dr Edward Hoseah, yesterday came out to defend himself and the agency over investigations into MPs alleged pocketing of double allowances. Besides, the PCCB Director General said he would not bow to pressure and resign as demanded by the MPs who have also called on the government to sack him over his perceived defence of the infamous Richmond power generating company. Addressing his first press conference following a scathing attack on the PCCB and himself by a section of the MPs under investigation, Dr Hoseah reiterated that the anti-corruption agency will be undeterred in pursuing its investigation.

Wengine waukumiwa kunyongwa kwa kuuwa ALBINO

Tanzania's high court has sentenced four men to death by hanging for killing a 50-year-old albino man, local media reported late on Monday.

Television footage showed the men, who killed Lyaku Willy and removed his head and legs, leaving the courtroom in Shinyanga region under heavy police escort.

Willy's killing was one of a spate of attacks on the country's estimated 200,000 albinos in the past two years, mostly in the remote northwest of the country near Lake Victoria, where superstition runs deep.

Their body parts are prized in some regions of Tanzania, where witchdoctors say albinos -- who lack pigment in their skin, eyes and hair -- bring luck in love, life and business.

MOREEE

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...