May 31, 2007

Udaku uandokwao humu hauchagui raisi wala mfalme, hapa mwana wa mfalme wa Denmark alifumwa laivu casino akijirusha, Malkia asema ajali sana hiyo, Je Bongo kwa ujumla wetu twauya nakara ngapi kwa siku? ikiwa hawa wauza nakara 4Mil peke yao je wengine wauza mangapi? na kuna magayeti zaidi ya 100.
UDAKU Hili gazeti kubwa la udaku udachi linauza nakara million nne kwa siku na kila nakara ni euro sent 50 karibu sawa na shiling 1000 za madafu.
Mhariri mkuu wa picha wa dpa Frank Baumghart akitoa maelezo za namna idara yake yenye wapiga picha wapatao mia moja inavyofanya kazi kwa wanafunzi wa kozi ya upigaji picha za habari toka chuo cha International Institute of Journalism Berlin au IIJB, kwa siku moja upokea picha zaidi za elfu na hutumia picha mia nne hadi tano kwa aijri wa wateja wake ambao ni makampuni za uchapishaji magazeti yapatayo mia na hamsini.
Leo hii tulipata nafasi za kutembelea shirika la habari hapa Udachi au DPA yaani dutch press agency na kuona jinsi shirika hili kubwa lilianyishwa 1947 mara baada za vita kuu za dunia.

May 30, 2007

Jokes!!! Potential & Reality A kid comes home from school with a writing assignment. He asks his father for help. "Dad, can you tell me the difference between potential and reality?" His father looks up, thoughtfully, and then says, "I'll demonstrate. Go ask your mother if she would sleep with Robert Redford for a million dollars. Then go ask your sister if she would sleep with Brad Pitt for a million dollars. Then come back and tell me what you've learned." The kid is puzzled, but decides to ask his mother. "Mom, if someone gave you a million dollars, would you sleep with Robert Redford?" "Don't tell your father, but, yes, I would." He then goes to his sister's room. "Sis, if someone gave you a million dollars, would you sleep with Brad Pitt?" She replies, "Omigod! Definitely!" The kid goes back to his father. "Dad, I think I've figured it out. Potentially, we are sitting on two million bucks, but in reality, we are living with two sluts." Nimipata huku ughaibuni japo sijui wanasemaje hawa..
Watu wa Bwiiiiii hawakosekani bwana, huyu jamaa kapiga kinywaji hadi chakali yaani treni zapita kila baada ya dkk kumi lakini jamaa hata dkk mbili nying ile kukaa usingizi na mweleka juu. wengi ya wanafunzi wanaweza ifahamu stesheni hii kwani ni karibu na hostels za wanaotoka nje ya German na pia kuna huduma ya simu kwa bei poa kulinganisha na bei za sehemu nyingine za Jiji hili kubwa duniani.
Hapa ni mmoja ya mtaa kijijini Hoppergartenn, huku kwa wenzetu hakuna udokozi wala nini ndo maana mjumba yao hayana magriri wala amkuta ka gerezani na magari yao ya kifahari yana lala nje au mtaani tu na hakuna polisi wala sekyurite gadi wa kulinda ni amani tupu. Je kule mbezi beach, masaki na mikocheni mwaweza acha vi-BMW au vi-Benzi nje namna hii?
Macho ya panzi huku ndo taxi zihudumiayo Jiji la Berlin na vitongoji vyake.
Hapa ndo Berlin Movenpick ka yetu za Disismu, mwaonaje bomba sio bomba?
Usafiri wa Biketaxi watumiwa na watalii kuuna mji wa Berlin, Hivi wale vijana wa pale njia panda ya Africana au Kunduchi hawaweyi kutengeza ka hivi kisha wakawa wanapata dolali? sijui au Maguta hayawezi tengezwa hivi?
Hata mwenzeji wetu ingawa kazaliwa hapa lakini bado haachani na ramani, na kila kituo na ndani za basi au treni za kasi ka hii kuna ramani zimebandikwa.
Huu mji haijalishi we ni mwenzeji au la wote wanaishi kwa ramani hasa ka unataka kuunganisha usafiri, kwani kuna matreni mengi ka vihiace vya Dar.
Tukiachana na hayo za huyo Mjinga mmmoja tuendelee na ziara zetu Udachi. tukate mitaa kuona kunani kwa wenzetu hawa wa Dunia za kwanza.
Dunia yaelekea wapi? wawezaje kusema eti wamtamani mtoto wako wa kumzaa tena mdogo hivo hata kutamani kulala naye? Father `defiles` own 11-year-old daughter Ayub Wariel Nnko (38), a resident of Arumeru in Arusha City, is in police custody on allegations of defiling his own 11-year-old virgin daughter. Arusha Regional Police commander Basilio Matei told reporters here yesterday that Nnko is alleged to have committed the offence on his biological daughter because of his belief that `love doesn`t ask why.` According to Matei, Nnko told the law enforcers that he mysteriously `fell in love` with his own 11-year-old virgin daughter and that, for quite some time, he had vainly looked forward for an opportunity to fulfill the dream of having sexual intercourse with her. Matei said Nnko at last fulfilled his dream of having sexual intercourse with his own daughter who is in class six at Manyata Primary School in Arumeru District on Monday. It is alleged that the suspect returned home after sipping local brew and found his young daughter taking a rest after coming back from school. Nnko is alleged to have forced his way into a shameless act of sexual intercourse, subjecting the poor girl to agonizing pain which she had never experienced before. The RPC said the helpless young girl was not in a position to defend herself before her strongly built father, and painfully went through the ordeal. The girl, who was threatened not to disclose the matter to her mother, could not endure subsequent pain thus duly informed her mother. Amid tears, she narrated the ordeal to the mother who immediately reported the matter to the police, said Matei The young girl is currently nursing her injuries at Mount Meru Hospital. SOURCE: Guardian
Yale mabasi yaendayo kasi tunayohaidiwa yatakuwa kama haya? sijui naomba mnisaidie
Ni wakati wa kutalii jiji kubwa la Berlin

May 29, 2007

Flaviana Matata, Miss Tanzania 2007, takes the boat from the El Jardin restaurant in the Cañon del Sumidero National Park in Sumidero, Chiapas.......... Jamani Dada Flaviana ni mzuri hata kama hakushinda namba mmoja lakini bado ni bomba, jitunze na uzuri wako wa asili dada,
Mwakilishi wa Tz ktk Miss Universe Flaviana Matata amemaliza uwakilishi na kuwamo ktk kumi bora, hongera sana dada Flaviana, hii ni mara ya kwanza kwa Tanzania kuwa na mwakilshi ktk mashindano haya makubwa ya urembo, umejitaidi sana kuiwakilisha nchi yako dada Matata.

May 28, 2007

Waghana walikuwepo pia ktk tamasha hilo. Sikuona mbongo hata mmoja sijui hatupo Udachi.
Hii ni Baiskeli inayoendeshwa na watu sita yaaani nyote mnapiga pedal mmoja ndo anashika usukani. angalia usiunganishe jina, NI KLIMA ukiunganisha L NA I ni kasheshe......
Tamaduni ni nying sana
Huyu ni Mtailand
Brazil wanavyopenda soka ni balaaaa, wana hadi cap za uwanja
Mcarebeani wa watu anaonyesha utamaduni wake eti Mdachi anaona amwaga radhi!!!! wakti kwao hii ndo kawaida.
Ni balaaa lakini salama.
Hili ni Tamasha la utamaduni lifanyikalo Berlin kila mwaka, na huu ni mwaka wa 12, tamaduni toka mataifa mbali mbali yaishio Udachi upata nafasi ya kuonyesha tamaduni zao hawa ni wacarebiani.

May 27, 2007

Japo kuwa wanasema ni moja ya mji Tajiri duniani, na wadogo pia wamo kama huyu anaishi kwa kburudisha watalii ka sisi na kamziki kake.
Kaustaarabu ka usafi kwa kweli wanako sana, shabiki huyu wa Stuttgart aenda angalia fainali, hawa ndo wanasemikana ni wahuni lakini kwa usafi wa mji hakuna cha uhuni wala nini
Chingas hata ulaya wapo, ila wametengewa maeneo maalumu ya kufanya biashara zao.
Hapa ndipo Chansela wa Udachi Mama Anjela anaishi na kufanya kazi au kwa kule home hapa ndo Magogoni. Ikulu.
Inahudumia aina zote za treni hapa Berlin pia ina level tano, yaan ngazi 5 za reli matreni yapishana kuliko vihiace vya Dar bila Ajri.
Hii ndio stesheni kubwa kuliko zote ulaya, imefunguliwa mwaka jana Mei.
Tuangalie mji wa Berlin kwa kifupi Jii ni moja ya usafiri wa jumuiya ambao nyia zake zimepita ktk barabara za magari, yaani ni reli katikati ya barabara.
Usalama huko imara hapa

May 26, 2007

Ndani ya treni ya ardhini ni raha tupu. waweza kuishi mwanza au Bukoba na kufanyakazi Dar, wadachi hawa hakuna anayewasukuma kulipa nauli hakuna konda wala mpiga debe, ni ama unakata tiketi za msimu ambao ndio wengi wanatumia au ukifika kituoni unatumbukiza pesa ktk mashine na tiketi yatoka kulingana na safari uendayo kwa pesa uliyotoa, waweza pia enda bure,,,,,,ila ukikamatwa walipia tiketi ya mwaka ambazo ni euro 800.
Wenzetu wadachi wamejijenga sana hasa katika usafirishaji, kuna aina nne za usafiri wa jumuhiya, kuna tren, za chini ya ardhi ka hii, za juu, za juu za haraka na mabasi ya kisasa na kila baada ya dkk kumi treni yapita kituoni. bongo tutafikia lini hapa walipofika wenzetu?
una urefu wa mita 2.5 kwenda juu na unazunguka eneo la mkutano kilometa kumi na tatu ikiwamo eneo la bahari ya Baltic kwa robo tatu na Inakadiliwa umegharimu Euro million 12.5 sawa na ela za madafu billion ishirini na usheee, nguzo za zege zina uzito wa kilo 800!!!!!!! si mchezo hawa jamaa wako seriazi kweli.
Uzio huu umejengwa maalumu kwa ajiri ya kudhibiti waandamanaji na wote wasiousika ktk mkutano huu kukaribia eneo la mkutano, hapa ni karibu kilometa kumi toka hotelini ambapo mkutano Wa G8 utafanyika.

May 25, 2007

Hii ni moja ya HOTEL za daraja la juu hapa Udachi ambapo mataifa makubwa manane yalioendelea yatakutana kutujadili gharama iliyotumika kuaanda ni kubwa sana kiliko maelezo.
Ujurumani ndio wenyeji wa mkutano huu utaofanyika ktk mji huu uliokando ya bahari hapa Germany, maamerika wameshaleta meri zao za kivita kwa ajili ya ulinzi.
Hapa ndipo wakuu wa G8 watakutana mwezi ujao kutujadili sisi masikini ukwasi wetu. Mungu akijalia nitaweletea live mkutano huu wa nchi nane Tajiri Duniani.

May 12, 2007

UDSM VC PROF MUKANDALA. NI 41%NA NUKTA YA WANAFUNZI 16,000 WALOWEZA KUTIMIZA MASHARTI NA KULIPA 40% WALOTAKIWA, ASILIMIA KUBWA WAMECHEMSHA. HATA HIVYO CHUO KITAWARUDISHA WOTE KUENDELEA NA MASOMO BAADA YA KUSAINI FORM YA KUJITIA KITANZI NA TAFANYIKA UHAKIKI WA WALE WASOWEZA KULIPA KABISA KUKOPESHWA 100% KUFIKIA MWISHO WA MWAKA. WOTE 16,000 KASORO 56 AMBAO WANASEMEKANA NDIO VIONGOZI WA MGOMO AKIWEMO RAIS NA WAZIRI MKUU WA DARUSO.
HATA KAMA KAPONZO NI KA SIKU NYINGI KAPO HAPO SI VIBAYA KURUDIA KUKASOMASOMA KAMA WAPENDA KUSOMA KWANI HAKUNA KITU KINGINE UBAONI.
Mbao za matangazo za UDSM zikiwa tupu, VC asema bila wanafuzi hakuna cha kubandika.
"Hatukuona rushwa kabisa" PCB yaisafisha Richmond Comp. juu ya mkataba wake na TANESCO, Pia hakuna kigogo yeyote mwenye hisa ktk kampuni iyo. Ndivyo asemavyo mkurugenzi mkuu wa TAKURU kwa Taifa kupitia wanahabari.
Wapo baadhi ya wamiliki wa vyombo vya ambao wanajali waamdishi kwa angalau usafiri wa uhakika kwenda tafuta habari. Na wengine si vibaya mkiiga.

May 10, 2007

Mbunge wa Musoma (V)N Mkono akikambidhi Waziri wa Elimu magari 2 na computer 10 kwa shule za secondari za kisasa zilizojengwa jimboni kwake, pia anataka walimu wenye digrii 20 wakafundishe huko. Je tunao walimu wangapi kwa sasa wenye degree na ambao wako tayari kwenda kijijini?
Jana ndio ilikuwa mwisho kwa wanafunzi wa chuo kikuu waliotimuliwa kulipia asilimia 40 ili waweze kurejeshwa tena kuendelea na masomo, leo ndio barua zao zitafunguliwa. je ni wangapi wameweza kutimiza masharti? tusubiri muda utatueleza.

May 5, 2007

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...