August 9, 2008

BINTI ASKOFU AJITOA MISS REDDS.

Miss Redds au Balozi wa kinywaji cha Redds Angela Lubala yasemikana amejivua taji hilo leo hii. Angela ni Binti wa Askofu Lubala

UBUNIFU

PICHA HII YAWEZA ONEKANA YA KAWAIDA SANA NA HATA UKIWAPA WASANIFU KURASA WETU AU WATENGENEZA KURASA (PAGE MAKERS) KWA KUTOELEWA LENGO LA MPIGAJI WATAISHIA KUIKROPU NA PENGINE KUNAKIZA BENGERA TU, NA HATA MSOMAJI AIONAPO GAZETINI HATOELEWA VILE ILIKUWA KWANZA.
LAKINI HEBU ANGALIA NI JINSI GANI YAPENDEZA VILE ILIVYO?
NI PICHA NYINGI SANA ZAARIBIWA NA WATENGENEZA KURASA KWA KUDHANI WANATENGENEZA AU WANABORESHA, AU KWA KUFIKIRI KUWA MPIGA PICHA KAKOSEA, UKWELI NI KUWA MPIGA PICHA (KWA MAANA YA PROFESSIONAL) KILA KITU ANACHOKIWEKA KTK PICHA AU KOMPOZI UWA AMEKIDHAMILIA.
Posted by Picasa

RAIS WA OLYMPIC

Posted by Picasa

Bongo ndani ya Beijing

Posted by Picasa

KIOTA NI KIBOKO

KWA KWELI PICHA NI KTU BOMBA SANA, ANGALIA JINSI MPIGA PICHA HUYU ALIVYOKOMPOZI PICHA HII NA MOMENTI VILIVYOENDANA.
Posted by Picasa

KIOTA SWAAAAFI

Posted by Picasa

KOTA CHAPENDEZA SANA

NIMEPENDA SANA JINSI WAPIGA PICHA HAWA WALIVYOPIGA PICHA HIZI, YAANI SI KWA NAMNA YA UWAZI, LAKINI JINSI KILA MMOJA ALIVYOJARIBU KUWA MBUNIFU.
Posted by Picasa

BIRDS NEST, KIOTA

Posted by Picasa
Posted by Picasa

KIOTA

WASANII WAKICHINA WAKITENGENEZA MFANO WA UWANJA UNAOTUMIKA KWA MICHEZO YA 2008 YA OLYMPIC MJIJI BEIJING.
WAITWA KIOTA CHA NDEGE.
Posted by Picasa

KIOTAS

Posted by Picasa

KIOTA

Posted by Picasa

BONGO KTK OLYMPIC 2008

Posted by Picasa

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...