September 30, 2008

Sunni wala idd leo

Waumini wa Answar Sunni wakiswali sala ya Idd ktk viwanja vya Mnazi Mmoja asubui hii.

NEC YASIKITISHWA TARIME

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imesikitishwa na kufadhaishwa sana sana na taarifa za kuwepo kwa matukio yanayoashiria vurugu na uvunjaji wa amani ktk kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge ktk jimbo la Tarime utakaofanyika Tarehe 12 Oktoba 2008

September 29, 2008

TANESCO YASITISHA MGAO.

TANESCO IMESITISHA MGAO WA UMEME BAADA YA WATAALAMU TOKA USA KUWASILI NA KUREKEBISHA KASORO ZLOJITOKEZA KATIKA MITAMBO YA KUZALISHIA UMEME YA SONGAS WIKI ILIYOPITA.

Mpiganaji aenda bondeni kwa matibabu

Mpambanaji au mpiganaji Athumani Hamis atimaye jana alifanikiwa kuondoka kwenda Bondeni kwa matibabu zaidi tokana na ajari ya gari aliyopata yapata zaidi ya wiki mbili sasa uko kibiti akielekea Kilwa, anatarajiwa kupatiwa huduma ktk Hospital ya Millpark ktk jiji la Jo'burg. KWA NIABA YA WADAU NA WAPAMBANAJI WOTE TWAKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU MATITABU HAYO YAENDE SALAMA UPATE KUPONA NA HATIMAYE UREJEE KTK URINGO KUENDELEA NA MAPAMBANO, TWAKABIDHI MAOMBI YETU KWA BABA MUNGU MWENYEZI TUKIAMINI YAKUWA KWAKE HAKUNA LISILOWEZEKANA NA KUWA TUKIOMBA NENO LOLOTE KWAKE HUKU TUKIAMINI BASI TUMEPEWA NALO LIMEKUWA LETU. Marko 11:24

September 27, 2008

WATOTO NA UKIMWI WALONGA

Above (L-R) Hanna Germa (Ethiopia), Keneuo Mphutlane (Lesotho) and Ntombizodwa (South Africa).
Kenyan participants Annmoureen and Nicholaus makes presentation.
The Southern Africa Regional Inter Agency Task Team on Children and HIV/ AIDS (RIATT) meeting begins today.
MKUTANO WA WATOTO WA WALIOADHIRIKA NA UKIMWI TOKA NCHI 9 ZA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA UMEANZA LEO JIJINI DAR KWA WATOTO HAO KUWASILISHA TAFITI ZAO MBALI MBALI KUHUSU YANAYOWASIBU KTK NCHI ZAO.

JK NA HALONEN

Rais Kikwete akifurahia jambo na Rais wa Finland Tarja Halonen

Mpiganaji Athuman kuondoka kesho

Mpiganaji Majeruhi Pascal Mayala na my wife wake wakimjulia hali Majeruhi Athuman Hamis ambaye halitarajiwa kuwa angeondoka mwanzoni mwa wiki hii kwenda SA kutibuwa lakini hadi sasa bado angalipo MOI, Athumani uenda akaondoka kesho kwenda bondeni kwa matibabu zaidi hii ni ikiwa mambo yote yatakuwa yamekamilika pale wizara ya afya na ubalozini bondeni,

September 25, 2008

Kitu hicho WAPIGANAJI

Leica pulled off the biggest surprise at this year's Photokina international trade show with the launch of a new 37.5 million pixel resolution camera - the S2. Olivier Laurent was given details in advance of the official announcement Leica has launched an entirely new digital camera system destined to bridge the gap between more versatile professional digital SLRs and medium-format high resolution models.

The S2, which has a 37.5 million pixel resolution, is the first of many future models that will form part of the S system. The first device sports a 30x45mm CCD sensor, which is 56% bigger than a typical 35mm sensor. It was developed by Kodak, which has been working with Leica since it introduced its first digital rangefinder, the M8, and the Modul-R digital back for the R system.

The camera incorporates a new dual shutter system with in-body focal-plane shutter for fast lenses, and in-lens leaf shutters for high flash sync speeds. It also sports a high-precision autofocusing system, and Leica's Maestro image processing system, claimed to deliver twice the speed of comparable medium-format backs. It's also said to reduce power consumption. The S2 has a one-point autofocus, which can be overridden at any time.

CHEKI BEI YAKE

The S2 will retail at around EUR20,000, and is aimed primarily at fashion and commercial photographers who want medium format quality combined with a DSLR's speed and versatility.

September 24, 2008

ODINGA ATUA DAR

Mtoto wa Mkulima Mizengo Kayanza Peter Pinda akimkaribisha Raila Jaramogi Oginga Odinga kuanza ziara ya siku tatu bongo.

September 23, 2008

NMB ngoma bado mbichi

WAKATI WATEJA WAKIKUTANA NA BANGO LA KUOMBA MSAMAHA LISILO NA TAREHE YA LINI LIMEWEKWA AU TATIZO HILI LITAKWISHA LINI, WAFANYAKAZI WAMEENDELEA KUKUTANA KTK UKUMBI WA MSIMBAZI CENTRE WAKISUBIRI KUITWA ILI KUTIA SAINI MAKUBALIANO, PIA VIONGOZI WA TUICO AMBAO NDIO WALIORATIBU MGOMO HUU LEO HII WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI ZAIDI TUTAWAJULISHA KADIRI TUNAVYOZIPATA. MAHAKAMA KUU KITENGO CHA KAZI KIMETENGUA MGOMO UNAOENDELEA WA NMB NA KUAMURU WAFANYAKAZI WOOTE KURUDI KAZI MARA MOJA, HII NDO MPYA

Congrat, Ally

It is every designers dream to be part of the London Fashion Week, and this year Ally Rehmtullah, a 22 year old Tanzanian designer was given this honour. On the 19th of September Ally Rehmtullah launched his new African Couture at the Museum of London during the London Fashion Week. Ally was also part of fashion diversity whereby as an established designer he was an inspiration to the young and upcoming designers in London. Ally Rehmtullah's couture was modelled by MAHOGANY MODELS from London. NILIPATA KUSEMA KTK BLOGU HII KWAMBA KIJANA ANAKUJA JUU SANA HUYU NI MMOJA KATI YA CHIPUKIZI KABISA KTK ULIMWENGU WA MITINDO LAKINI ANA NDOTO KUBWA SANA, HONGERA SANA ALLY.

September 22, 2008

Jirushe na ZAIN

Mtandao wa simu za mkononi wa Zain umeanzisha huduma mpya ya JIRUSHE ambapo mtu aweza kupiga simu kutwa nzima kwa gharama ya 1500 tu.

NMB "WABWAGA MANYANGA"

Wafanyakazi wa Benki ya Makabwela ya NMB yenye matawi zaidi ya 120 na tegemeo pekee kwa wafanyakazi serikalini hasa walimu na wanajeshi, leo hii wameanza mgomo ambao wanasema utachukua siku kadhaa hadi pale uongozi utakapokubali kusaini mkataba wa hiyari nao.

September 21, 2008

September 19, 2008

Mpiganaji Pascal aendelea vyema

Mpiganaji mwingine Pascal Mayala ambaye naye alipata ajari huko Dodoma mwezi wa nane anaendelea vizuri, blog hii ilipata nafasi ya kumjulia hali nyumbani kwake Mbezi Beach.

Pole "Kamanda"

Rais JK jana alienda kumfariji na kumjulia hali Mpiganaji Kamamda Athuman ambaye alipata ajari ya gari yapata wiki sasa, alimtakia apone haraka na kuwa ataangalia na kufanya kila linalowezekana ili apate matibabu stahiki, pamoja naye ni Mchumba Miriam Kinunda aliyefunga safari toka USA kuja uguza. Kamanda Athuman blog hii na wadau kwa ujumla twakuombea kwa MWENYEZI MUNGU ambaye kwake YOTE YAWEZEKANA upone haraka na hatimaye urudi mstari wa mbele ktk mapambano.

September 18, 2008

JK aendelea na ziara Manyara

Rais JK akitoka ktk nyumba ya kabila la wabarbaig huko manyara leo.

PM Pinda aendelea na ziara Mpanda

Karume amkaribsha mwakilishi mpya wa UNFPA

Rais wa Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi Mpya wa Shirika la Umoja wa Matifa Linaloshughulika na Idadi ya Watu (UNFPA) Dk. Julitta Onabanjo wakatui mwakilishi huyo alipokwenda kujitambulisha Ikulu Zanzibar.

September 17, 2008

LUKU KIZAAZAA JIJINI

HAPA NI KITUO CHA KAWE NA CHINI NI KITUO CHA MAKAO MAKUU YA TANESCO ZAMANI SASA NI WIZARA YA MADINI NA NISHATI. WATUMIAJI WA UMEME WA LUKU TOKA TANESCO KWA MUDA WA ZAIDI YA SIKU ZIPATAZO TATU WAMESHINDWA KUPATA HUDUMA HII TOKANA NI KILE KINACHOELEZWA KUWA NI MATATIZO YA MTANDAO AU NETWORK.

September 16, 2008

Wajapan waja kuwekeza Bongo

Msafala wa wafanyabiashara toka Japan wamewasili leo jijini kuangalia maeneo ya kuwekeza nchini.

Dar Mswano

Hii ni Shule ya Mpigi Magoe yapata kilometa 25 toka site senta. madarasa na nyumba za walimu zinahatarisha maisha,

Makubaliano haya yadumu.

Dunia nzima imeshuhudia mkitia saini na kukubaliana kufanya kazi pamoja kwa lengo la kuijenga zimbabwe njema ya baadaye, Japokuwa yemeshakuwa ivyo twasema yalopita si ndwele tugange yajayo lakini hatunabudi kujiuliza, Je huu ni utaratibu sahihi? na hasa kwa waafrika maana twaona mara ya pili watawala wanavulunda uchaguzi kisha wanakaa kujadili na hatimaye kufikia hapo. Je huu hautakuwa ugonjwa wa bara hili laAfrika? na kama sio ni nini kifanyike kuondokana na kadhia hii? Nawasilisha wadau.

September 13, 2008

Athuman apata ajali

Mpiga picha maarufu na mwanablogu Athumani Hamis alipata ajali jana huko kibiti akielekea Kilwa akiwa na wanahabari wenzie

Michuzi Lady JD wateuliwa mabalozi wa ZAIN

Mwanablogu na mwandishi maarufu Issa Michuzi wameteuliwa mabalozi wa ZAIN, Pichani wakiwa na meneja masoko wa ZAIN Magavila Hongereni sana waheshimiwa mabalozi.

September 12, 2008

Lucy Kihwele aachia Multichoice

Hi all Tomorrow is my last day as Publicity & Public Relations Manager with Multichoice Tanzania. It's been a great eleven (11) years with MultiChoice Tanzania and I am happy that within the period together we managed to achieve many goals and set new bar levels. I received great opportunity that I could not resist; therefore I will join Standard Chartered Bank as Head of Corporate Affairs. I will advise my new contact details as soon as I have them. I’ll miss you all so much and I do hope our paths cross again someday. If you wish to stay in-touch, my email address and my cell number will remain the same. Thank you to all of you for touching my life in a wonderful way. I’m blessed to have worked with you all and thanks MultiChoice for having connected me to you all. Please note that Furaha Samalu / Marketing Manager for MultiChoice Tanzania will be taking over my responsibilities as an interim measure and until my successor has been confirmed .I am sure you will all give her support as always. Lastly and most importantly, thank you very much guys for all the support during my stay at MultiChoice Tanzania. Take care and be blessed

September 10, 2008

ULINZI KWA MAJAJI WASTAAFU VIPI?

Jaji Mstaafu Robert Kisanga akionyesha tundu ktk fensi ambalo wakola walitengeza ili kuingia kwa nia ya kuiba RAV 4 yake ambapo hata hivyo hawakufanikiwa kwa mzee wa watu alistuka na kuwakulupua. hii ni mara ya pili kwa Mhe Jaji kuvamiwa mara ya kwanza ilikuwa kwenye miaka ya tisini jamaa walikuja na siaraha lakini pia hawakufamikiwa kwani walidhibitiwa na askari polisi aliokuwa akimlinda. Majaji kwa kawaida uwa na ulinzi wa polisi wanapokuwa bado ofisini lakini mara baada ya kustaafu ni UTAJIJU au na Lwako, jee ni sawa? fikilia umesweka fisadi miaka 30 ndani na baada ya siku kadhaa unastaafu, je itakuwaje? patakalika hapo maana mafisadi twajua jinsi walivyo na vijisent vya kumwaga je si atawapa jamaa wakumalize?

Hofu "GHOROFA LIMEPINDA"

Leo hii ilikuwa ni kituko mtaa wa zanaki ambapo wakazi wa jiji walikusanyika ktk jengo moja la ghorofa 11 wakidai limepinda na kulalia lingine la ghorofa tatu jirani kabisa na jengo lililobomoka likiwa lajengwa hivi karibuni na kuua mmoja. wengine wanadai si kweli bali wamezidiwa na swaumu tu. tusubiri tuone.

Mambo ya ndoa

MAMBO YA MAHUSIANO KANTUMIA MDAU JUBE JE NIKWELI? ANGALIA TOFAUTI YA MAJIBU UKISOMA TOKA CHINI KWENDA JUU. Before marriage.....
  • He: Yes. At last. It was so hard to wait.
  • She: Do you want me to leave?
  • He: No! Don't even think about it.
  • She: Do you love me?
  • He: Of course! Over and over!
  • She: Have you ever cheated on me?
  • He: No! Why are you even asking?
  • She: Will you kiss me?
  • He: Every chance I get.
  • She: Will you hit me?
  • He: Are you crazy! I'm not that kind of person!
  • She: Can I trust you?
  • He: Yes.
  • She: Darling!

After marriage....

Simply read from bottom to top

Halmashauri kuu ya CCM yaanza DOM

Mwenyekiti Rais JK akisalimu wajumbe,
Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Nape Nnauye na Dr Emmanuel Nchimbi wakijadili jambo wakati wa kikao cha Halmashauri kuu ya CCM inayofanyika mjini dodoma leo

September 9, 2008

Mwadui yauzwa tena

Mgodi wa Almasi wa Williamson umeuza tena kwa mwekezaji mwingine kwa bei ya billion kumi na ushee sawa na zaidi ya mara kumi na tatu ya pesa wajanja walichukua BOT al maarufu EPA.
Petra Diamonds buys 75pct of De Beers Tanzania mine
LONDON, Sept 9- AIM-listed miner Petra Diamonds Ltd (PDL.L: Quote, said it had acquired a 75 percent stake in Tanzania's Williamson diamond mine for $10 million in cash from Cheviot Holdings, a unit of De Beers. "Williamson will add a further major mine to our portfolio, with the potential to deliver considerable value to our shareholders," Petra Chief Executive Johan Dippenaar said in a statement on Tuesday. "This acquisition also marks Petra's entry into Tanzania, further diversifying the Group's geographical spread across Africa," he added. The Government of Tanzania owns the remaining 25 percent of the mine. De Beers is 45 percent owned by mining group Anglo American. reuters

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...