November 14, 2008

EPA - MAHAKIMU WAOMBA ULINZI

JEETU PATEL, JOHNSON RUKAZA NA KETAN CHOHAN at KISUTU COURT

MAHAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ambako kesi za ufisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinasikilizwa, wamehofia usalama wao; hali iliyowalazimu kuomba kupatiwa ulinzi wa polisi.

Mahakimu hao wanadai wamepewa dhamana ya kuendesha kesi hizo kubwa wakati usalama wao ni mdogo kutokana na kutokuwa na usafiri, hali inayowalazimu wakimaliza kuendesha kesi hizo wapande daladala.

MWANAFUNZI AJIUA KWA MSIBA WA NYAULAWA.

WAKATI MAREHEMU NYAULAWA ANALAZWA KTK NYUMBA YAKE YA MILELE, KUNA HABARI YA KUSIKITISHA SANA TOKA HUKO MBEYA KWA MWANAFUNZI KUJIUA BAADA YA KUSIKIA KIFO CHA MFADHILI WAKE HUYO.

A form two student of Imezu Secondary School in Mbeya District, Ambrosi Mwantambo (23) has hanged himself death for what is said to be a shock for the death of Mbeya Rural MP, Richard Nyaulawa. Information from the village said the student reached the decision after learned that, MP Nyaulawa who was paying his school fees died and he lose hope of going on with studies. Mbeya Regional Police Commander, Zelothe Stephen confirmed the death of the Mwantambo, were he said the incident occurred in November 13, at Inyala village around 9 am.

MOI YAPIGWA TAFU...

Daktari! ama no!!, Doctor ohh no!!! Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsabahi mtoto mwenye umri wa miaka minne Catherine Paul aliyelazwa katika taasisi ya MOI katika Hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kufanyiwa upasuaji wa moyo mapema wiki hii.Rais Kikwete alikwenda hospitalini hapo kupokea vifaa vya upasuaji mishipa na Ubongo vilivyo tolewa msaada na Kampuni ya Synthes Spine yenye makao yake makuu nchini Uswisi, kupitia hospitali ya Chuo Kikuu cha Weill Cornell kilichopo New York nchini Marekani.Vifaa hivyo vilikabidhiwa na Daktari Bingwa wa Uapsuaji Mishipa na Ubongo Dr.Roger Hartl.

EPA - JK ATUZWA KONDOO

JK POKEA JAPO KIDOGO NDO UWEZO
Mbunge wa jimbo la Same Mashariki,Anne Kilango Malecela akiwa ameshika kondoo aliyekabidhiwa na wananchi wa jimbo hilo kwa ajili ya kumpongeza Rais Jakaya Kikwete kwa hatua alizochukua dhidi ya watuhumiwa wa ufisadi wa fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje ( EPA) ya Benki Kuu ya Tanzania. Kilango alikabidhiwa juzi kondoo huyo.

Mgomo wa walimu wiki ijayo..

Baada ya mahakama ya rufaa kubatilisha pingamizi la mgomo wa walimu la mahakama kuu ya kazi sasa mgomo kuendelea kama kawa nchi nzima.
Rais wa Chama Cha Walimu Tanzania (CWT) Bw. Gratian Mukoba (kulia) akiwa na Katibu Mkuu Ezekiah Olouch akiongea juu ya mgomo wa walimu utakaoanza wiki ijayo.

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...