February 28, 2007

Mmoja ya vinyago ndani ya Mikono Handcrafts iliyozinduliwa upya baada ya ukarabati mkubwa leo hii.
Hatimaye watoto warejea ndani ya nyumba.

February 27, 2007

"Its tools down" mpaka kieleweke?
SHOPRITE Staffs in all its Dar stores laid down their tools. Demanding salary increase and better working conditions. Such a BIG STORE kumbe yawapunja wafanyakazi hata wafikia kugoma mmhhh.

February 24, 2007

Mzee Shaban Zakaria Msenga anajuta kununua nyumba hii, je ni watoto na wajane wangapi wamepoteza haki zao na hakuna msaada wowote? bila shaka ni wengi ni jukumu letu na hasa vyombo vya habari kufichua uovu huu.

February 23, 2007

Hatimye Dalali wa mahakama wakapewa kazi ya kumuondoa Mzee Msenga ndani ya nyumba na kukabidhi nyumba kwa yatima wale wanne.
Bwana huyu alijiita Seif Ngwinye aliyeuza nyumba kisha wakili wa ngwinye baada ya watoto kudai kuwa siye ngwinye. huyu ndo alikuwa mshauri wa mnunuzi Shaban Msenga.
Mahakama ya wilaya Temeke iliamuru kurudiwa tena kwa shauri la Mirathi ktk Mahakama ya Mwanzo na kuwa nyumba irudie ktk hali iliyokuwa mwanzo au "Status Quo". tatizo likaja kwa mnunuzi kuhama, paomja na amri ya mahakama ilichukua siku zaidi ya tano kumuondoa pamoja na kwenda na polisi.
kila mara Sunday News gazeti dada na Daily News lilifuatilia kwa karibu majariwa ya yatima hawa baada ya kutupwa nje ya nyumba yao.
Sunday News iliamua kufanya follow up kwa kutoa habari hii ili jamii ione na itambue yaliyofanyika hasa dhuruma kwa watoto na wajane, hatimaye mahakama ya wilaya iliamua kuitisha shauri ili na kupitia upya.
Habari hii haikuwafuraisha wengi hasa mwanaharakati Mama Mwenda ndipo akaviarifu vyombo vya habari na kuanza kuandika habari hii, hasa Daily News, RTD na Uhuru.
Mama huyu alijitolea kuishi na mmoja wa wajukuu wa Bibi Hidaya mbali ya kuwa hakuwa na nafasi ya kutosha ktk chumba hiki.

February 22, 2007

Yatima hawa walitupwa nje ya nyumba kulala na kula yao ilitegemea misaada ya waisani.
Mirathi ilifunguliwa na hatimaye kupewa usimamizi wa mirathi Seif Ngwinye na watu wengine hatimaye kuamua kuuza nyumba baada ya kukana kuwa marehemu hakuacha watoto wala wajukuu. hii ndo hati ya mauzo.
Afisi hii ndipo barua ya kwenda mahakamani kufungua mirathi ilipatikana badala ya afisi ya mtaa wa Sandali ambako ndipo nyumba ilipo na hati ya wasia wa marehemu pia.
Bibi Hidaya kabla ya kufariki aliacha hati hii inayoonyesha wamiliki halali wa nyumba yake mbele ya majirani kadhaa ambao walishuhudia wasia huu ukiandikwa na nakala kupewa mjumbe wa shina na ofisi ya mwenyekiti wa Mtaa wa Sandali.

February 20, 2007

Wajukuu wa Marehemu Hidaya ambao walilithishwa nyumba no 87 mtaa wa sandali na kisha kudhulumiwa, Said, Jerry, Jackline na Hidaya wanaishi kwa kubaatisha toka Dec 27/06, hawajaweza kuudhuria darasani toka kufunguliwa shule. sare na daftari zao zilipotea wakati wa kutomuliwa ndani ya nyumba.
Vitu vya Yatima waliotupwa nje ya nyumba yao ya urithi na aliyenunua nyumba hiyo toka kwa aliyejiita mjomba wa Marehemu Hidaya na msimamizi wa mirathi viliwekwa ktk chumba hiki ambocho kililipiwa na mnunuzi kodi miezi 6. hata hivyo yatima wale waligoma kuamia humo.
Nyumba no 87 Mtaa wa Sandali Temeke Mikoroshin Dar iko ktk mgogolo mkubwa wa umiliki kati ya watoto yatima wanne ambao ni wajukuu wa marehemeu mama Hidaya toka kwa wanae wawili wakike waliofariki na kumwachia kila mmoja watoto wawili aliyowaridhisha kwa maandishi, baada ya kufariki bibi huyo akatokea aliyejiita mjomba wa marehemu na watu wengine wakauza nyumba baada ya kukana kuwa marehemu akuacha watoto wala wajukuu hivyo kuuza nyumba na watoto kuwatupa nje kwa amri ya mahakama ya mwanzo Temeke trh 27/12/06.
Mtoto Abdalah (3) wa Temeke akielekea bombani Kuchota maji. Hali ya Maisha uwafunza hata watoto kama hawa kuanza kazi za kuisadia familia. Hapana shaka watoto kama hawa kama wanapata elimu bora (nasema kama)wanaweza kuwa viongozi wazuri wa baadaye. Je lipi jukumu letu kwa kizazi iki?
Archbisop of Australia Philip Aspinall briefs journalists on The Primates 2007 meeeting just ended yesterday at one of the Beach Hotel in Dar TZ.

February 19, 2007

Some of the International journalists covering The 2007 Primates Meeting in Tanzania on the boat from Zanzibar.
Director Changing Attitute Davis akiwa pamoja na baadhi ya maaskofu wakuu wa Anglican Zanzibar jana.
Guide Raphael Fereji (c)shows Dr Williams and His Host Archbishop Donald Mtetemela some chains used to chain together slaves at underground slaves cage at Christ Churh Catherdral at Mkunazini in Zanzibar.
Archbishop of Canterbury Dr Rowan Williams inside the what was slave cage feels how it was by then. slaves were chained inside this underground cage waiting to be shipped to abroad.
Arcbishop of Canterbury Dr Rowans William akipata historia ya utumwa
Skofu Mkuu wa Kanisa la Anglican Duniani, Dr Rowans William wa Canterbury akipata historia ya kanisa la Kristo Mkunazini Znz ukomeswaji utumwa toka kwa guide Raphael Fereji

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...