Siri za kuwa mfanyabiashara aliyefanikiwa.
Na NABII BG MALISA.
Mafanikio yoyote yana siri kubwa. Hakuna mtu aliyefanikiwa
kama hakuwa na SIRI. Wafanya biashara wengi wanafanya biashara kwa kubahatisha
tu, hawana siri zitakazo fanikisha biashara zao. Kwenye ulimwengu wa biashara
hakuna neon “BAHATI” Kila mafanikio utakayoyapata yanatokana na siri au kanuni
ulizonazo.
UTANGULIZI
Wafanyabiashara wengi sana siku hizi wanavilio vikubwa sana
juu ya biashara zao, kwani hali za biashara siku hizi zinazidi kuwa mbaya kila
kukicha.
Wengi wanachukua mkopo kwenye mabenki na wanashindwa
kurejesha na huku wengi wao wakiwa wameweka rehani mali zao za thamani. Wengi
wanaishia kufilisiwa mali zao na hizo benki na wanaishia kwenye maumivu makubwa
sana.
Wafanyabiashara wengi wamejitahidi sana kuziombea biashara
zao lakini ni kama maombi yao hayaleti matokeo, sababu ni kwamba hawajui kanuni
za kufuta kwa ajili ya kuziombea biashara zao, ndio maana maombi yao hayaleti
matokeo makubwa kwenye biashara zao.
Biblia inatufundisha kuwa mtu anaweza kuomba vibaya
Soma Yakobo 4:3 “Hata mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya…”
Ni kweli kabisa, wafanyabiashara wengi hawajui kuziombea
biashara zao. Hawana kanuni wala ufunuo wa maombi kwa ajili ya kuziombea
biashara zao, ndio maana pamoja na kujitoa sana kwenye maombi hawapati matokeo
waliyoyakusudia.
Maombi yana kanuni zake, ili upate matokeo kwenye eneo
lolote, lazima ufuate hizo kanunin au ufunuo, ndivyo ilivyo hata kwenye eneo
hili la biashara. Ni lazima ufuate kanuni zote zilizoandikwa ndani ya kitabu
hiki, ndipo utaanza kuona maombi yako yanavyoanza kufanya maajabu kwenye
biashara yako.
Pia ndani ya kitabu hiki utajifunza maarifa mengi
yatakayokusababisha upige hatua kubwa kwenye biashara zako, kwani ujinga ndicho
chanzo kimoja cha watu wengi kushindwa ki-biashara. Ni maarifa pekee yatakayokufanya kila siku upate FAIDA kwenye
biashara zako.
Isaya 48:17, “BWANA, Mkombozi wako, mtakatifu wa Israel,
asema hivi; Mimi ni BWANA, Mungu wako, nikufundishaye ili upate faida,
nikuongozaye kwa njia ikupasayo kuifuta.”
NDANI YA KITABUHIKI UTAJIFUNZA MAMBO MENGI, KAMA VILE
Ø
Maombi ya kuhita wateja na pesa.
Ø
NGUVU YA JINA NA KUONDOA GIZA KWENYE JINA.
Ø
IMANI YA KUTAJIRIKA.
Ø
VIPENGELE VYA MAOMBI YA UPENYO.
Ø
SIRI 25 ZA KUFANIKIWA KI-BIASHARA
Ø
SIRI YA NYOTA YA UTAJIRI.
Ø
SHUHUDA ZA WALIOFANIKIWA KI – BIASHARA.
YALIYOMO.
1.
UPAKO WA KUVUTA WATEJA
2.
OMBEA MIKONO YAKO.
3.
UPAKO WA KUZIDISHA.
4.
MAOMBI YA KUVUTA WATEJA.
5.
OMBEA NYOTA YAKO.
6.
OMBEA BIDHAA ZAKO.
7.
OMBEA MTAJI WAKO.
8.
OMBEA JINA LAKO.
9.
UPAKO WA KUKUBALIKA.
10.
AINA ZA PESA.
11.
IMANI YA KUTAJIRIKA.
12.
IMANI YA MATENDO.
13.
SIRI ZA KUFANIKIWA SANA KWENYE BIASHARA.
14.
VIKWAZO VYA MAFANIKIO KWENYE BIASHARA.
|
Mtu wa Mungu Nabii BG MALISA |
Mwandishi wa kitanu hiki ndiye mwanzilishi wa KANISA LA
UKOMBOZI MINISTRIES FOR ALL NATIONS lenye makao yake makuu Mwanza, Tanzania. Ni
kanisa linalokua kwa kasi, kiasi kwamba kwa miaka michache tu limefikia maelfu
ya watu.
Pia ni mhubiri anayerusha kipindi cha “Televion
kinachoangaliwa na mamilioni ya watu kila wiki maarufu kwa jina la “SAA YA
UKOMBOZI”
KITABU HIKI NA VINGINE VIGI VILIVYOANDIKWA NA MTU WA MUNGU
NABII BG MALISA WAWEZA KUVIPATA KATIKA MAENEO YAFUATAYO”
-
ARUSHA – Mama Mchungaji simu…………………………………………
0766 920393
-
MOSHI – Mr Gerald Yesse Msuya, simu…………………………………
0754504272
-
DAR – Dada Ester
simu…………………………………….. 0654272024/0757115051
-
DAR – Mr Patrick simu
…………………………………………………………….0752 468879
-
MBEYA – Mama Mchungaji ……………………………………………………0764 097899
-
SINDIDA – Dada Viviani ……………………………………………………0764 421304
-
SINDIDA -
Dada Happy ……………………………………………………… 0768
154372
-
MWANZA – Dada Joyce ……………………………………………………..0763
710426/0717 505014
-
MWANZA – Mwl Theodora ……………………………………………………0755
008642
-
KAHAMA – Mama Dickson ……………………………………………………..0766
466085
-
SENGEREMA – Mchungaji Imani
……………………………………………..0753964384
Kama uko mbali na mikoa hii, wasiliana nasi kwa namba 0763
710426/0717 505014/0755008642/0737210778/ 0784475576