August 11, 2011

Himba tribe walijua weye?




The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly Kaokoland).
Recently they have built two villages in Kamanjab which have become tourist destinations. They are mostly a nomadic, pastoral people, closely related to the Herero, and speak Otjihimba, a dialect of the Herero language.
Tanzania tunasema wamasai wanadumisha mila na utamaduni lakini duniani na hasa Afrika yako makabira mengi ambayo pamoja na kuwa tuko karne ya Sayansi na teknolojia na kuathiriwa na hii kitu inayoitwa utandawazi, lakini makabira haya yameendelea kudumisha mila zao za toka enzi, miongoni mwao ni kabila hili la Himba linalopatikana huko Namibia. 




Pata habari zao hapa..



Umri n nini bana? c nnamba tu hata kwenye magari zipo!

Mzee Joseph Lwere, 85, akimvisha pete Bi Sarah Nanfuka, 24,  katika kanisa la Mt. Paul’s, huko Mukono nchini Uganda hivi karibuni. Picha/Newvision

Picha MSETO II - NCHIMBI @ TMF


WORLD WIDE PHOTO WALK


Traditionally held in July, organizers moved the event to October 1-2, hoping for a more temperate walk and to allow more photographers the opportunity to participate.

On those days, photographers of all skill levels and backgrounds will take to their communities' streets around the world to document their cities and towns. According to the Worldwide Photo Walk website, "It’s a social photography event where photographers get together (usually in a downtown area or trendy section of town) to walk around, shoot photos, and generally have fun with other photographers."

Read more HERE

Wapiga picha wenzangu, je twaweza fanya chochote kuhusu hili??????? 

Kuuliza si ujinga jamani!!

Wahenga walisemaga "kuuliza si ujinga na aulizaye anataka kujua" kwa siku kadhaa nimekuwa naona tangazo hili magazeti, nimelisoma, nikajaribu kulielewa lakini sijafanikiwa, sijui labda wadau au Stanibic wenyewe mweweza nielewesha mimi na labda wenzangu ambao hawaelielewa kama mimi. 
Ukweli ni kuwa najua ama nasikiaga serikali imepewa mkopo, msaada nk, lakini sikumbuki kuona tangazo lolote, labda ndo zama za uwazi na ukweli au utandawazi ndo unavyotaka!! sijui. 

Duh, Tenda hiyo wadau

Kaaaazi kweli kweli, halikuwaga wapi huyu????
Mgomo ule una faida na hasara zake, na wakati mwingine yabidi tujifunze kiugumu ugumu, "learning the hardway" 

Gari ya Bilioni 2 toka Itali lazuiwa kuuzwa Marekani,

U.S. Blocks $1 million Italian Supercar



Jamani kama nyie hamulitaki si liletwe kwetu huku yanunuliwe na serikali waheshimiwa wetu watumie!!! just kidding.. 


Italian automaker Pagani was to begin selling its $1 million, 700 horsepower Huayra supercar in the U.S. later this year but federal safety regulators have said "Not so fast."

Pagani had applied for an exemption from federal auto safety rules requiring child-safe "advanced" airbags, arguing that complying with the rule would have caused "substantial economic hardship," according to documents from the National Highway Traffic Safety Administration.

 
NHTSA denied the request, essentially blocking the car from sale in the U.S., because Pagani failed to show that installing the airbags on the twin-turbocharged 12-cylinder carbon-titanium car would cause the company undue financial strain. Also, the Italian carmaker didn't show that serious efforts had been made to comply, the agency said.
 

The auto safety agency sometimes grants temporary exemptions from specific safety rules, especially for automakers that plan to sell only a small number of cars.
 

Pagani created the Huayra as part of the automaker's plan to break into the U.S. market. The car was engineered and crash tested to meet safety standards in both the U.S. and Europe.


Kaazi ni kwako..

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...