February 2, 2009

Hisapepe yazinduliwa

TOVUTI INAYOLIPA WANACHAMA WAKE YAZINDULIWA, JIONGEZEE KIPATO SASA!
Hongera kwa shughuli ngumu unayoifanya ya kuelimisha, kuburudisha, kuhabarisha na kukutanisha jamii. Ningependa kukiri kazi yako ni muhimu kwa kuinufaisha Tanzania na dunia kwa ujumla. Ningependa kuokoa muda na kuchukua anafasi hii kuifahamisha jamii ya Tanzania kuwa sasa kupata kipato kwa njia pepe au tusema e-business/e-commerce si jambo gumu tena. Hisapepe.com imekuja kuibadili Tanzania, inalipa wanachama wake kwa kila wakifanyacho katika tovuti ama website hii. Nia kuu ni kuanza kujenga utamaduni biashara pepe (e-bussiness, ni vyema kuanzia hapa) Ni wakati sasa wa kufanya kazi mtandaoni! Ni wakati wa watanzania kushuhudia pesa ya shilingi kutoka mtandaoni na si zile njia tumekuwa tukizisikia ambazo haziwezekaniki…kitakwimu kumwambia mtu awe na zile kadi za malipo ya intaneti hapa kwetu bado ni tabu sana. JINSI YA KUSHIRIKI UWEZE KULIPWA bofya hapa kwa taarifa zaidi>>>>>

GTV muflisi!! Who's next????????

Wateja wa GTV wakilalama nje ya ofisi hizo pasi na jibu lolote la maana, kulingana na mlizi wa KK anayelinda hapo ni kuwa siku ya Jumamosi ilipigwa simu toka majuu zilipo ofisi zao kwenda kwa bosi wa hapa kwamba wanatakiwa kufunga ofisi ndani ya dakika kumi na kila mtu atoke nje kwani kampuni imefilisika.
Hili ni tangazo lililopo katika website yao.

"HIVI NDIVYO TULIVYOMUUA ALBINO"

SIMULIZI YA KUSIKITISAHA MUUAJI WA ALBINO SHINYANGA

Akisimulia tukio zima lilivyokuwa, Bw. Mawe alidai siku ya tukio akiwa na wenzake sita, walipanga kumuua Bw. Nkanyabilu kwa kushirikiana na shemeji yake, Bw. Sayi Gamani.

Alidai Bw. Gamani alimdanganya Bw. Nkanyabilu kuwa anampeleka hospitali kumtibu maradhi yaliyokuwa yakimsumbua kabla ya kushirikiana kumkamata na kwenda kumuua. "Ilipofika saa saba usiku, tulimkamata Bw. Lyaku (Nkanyabilu) na kumpeleka mtoni, tulipofika huko tulimlazimisha kuingiza kichwa kwenye maji hadi alipokufa, tukamchinja, tukamkata miguu na baada ya hapo, tukaiingiza viungo hivyo kwenye gunia moja na mwili wake kwenye gunia lingine na kutumbukiza mwili wake kwenye maji," alidai. Alidai baada ya hapo, walibeba kichwa na miguu na walishauriana waviweke nyumbani kwake (kwa Bw. Mawe) wasubiri wateja hao ambao walikuwa wakiwasiliana nao kutoka Mwanza mjini, Lamadi na Kahama Mkuu wa Polisi wilayani Bariadi, Mrakibu wa Polisi, Bw. Paul Kasabago, akiwa eneo la tukio alisema kupatikana kwa viungo hivyo kumetokana na ushirikiano mkubwa wa wanakijiji hicho ambao aliwashukuru kwa kuonesha ushirikiano wa dhati na ulizi shirikishi. Aliwataja wanaoshukiwa na Polisi kuhusika katika tukio hilo kuwa ni Mwenyekiti wa kijiji hicho, Bw. Chenyenye Kishiwa (64), Bw. Sayi Gamanya (47), Bw. Gumbu Nzige (48), Bw. Mboji Mawe (48), Bw. Sayi Mafize (32) na Bw. Salum Mshamamba (52). Wote ni wakazi wa Mkingwabie.

TAKALA, TALAKA, TALAKA WHY???????????

There has been resurgence in the number of registered divorces in the country in the past two years after declining between 2005 and 2006.

According to a survey by this newspaper, supported by statistics collected in ten years by the Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) registered divorces rose to 43 in 2007/2008 year compared to 37 in the previous year. Data collected from 1994/95 to 2007/2008 show that 2005/06 had the lowest number of registered divorces with only 28 divorces, which is a 34 per cent decline compared to the previous year. On the other hand, 2001/02 had the highest number of divorces, with 54 divorces recorded in the same period, a 45 per cent increase from the previous year’s 37 divorces. Commenting on the issue, the General Overseer of WAPO Mission International, Reverend Sylvester Gamanywa, said that the growing number of divorces was caused by moral decay in the society and that most couples rushed to marriage life unprepared. “Marriage is a contract between two people, but because of moral decay and unpreparedness on the part of the couples, marriages end up in the rocks. Most couples agree to marriage without fully understanding the terms of the contract, leading to divorces,” explained Rev Gamanywa. However, the number of registered divorces, totaling 405 in 10 years, is said to be small compared to the real situation on the ground as most divorces go unregistered. “If you go through court documents only, there are many divorces granted in the courts. But most of them are not registered here and there are also those which are not granted in court,” explained RITA’s Marriage and Divorce Manager, Ms Julian Mafuru. Ms Mafuru further explained that the divorce certificate was the only document that would certify a termination of marriage, adding that failure to obtain one could hinder one’s rights as he or she would still be considered married. “One cannot remarry if she/he does not possess divorce certificate and he/she considered married according to our laws. So we register divorces and issue divorce certificate to validate divorces. “Another important thing is if one of the spouses dies, the remaining one could claim all inheritance rights as if they were still married because the divorce certificate to finalise the divorce procedures was not applied,” Ms Mafuru warned.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...