Fiber Optic.....
Ule mradi wa kupitisha waya wa mawasiliano chini ya bahari (Fiber optic Network) utafiti wake sasa umekamilika, Mkurugenzi wa Saecom Tanzania Michael Njumba asema mawasiliano yatakuwa rahisi kwa zaidi ya 50% kuliko sasa ya satelite. hii ni meli maarumu ya utafiti imekamisha kazi yake ya utafiti ya zaidi ya miezi 5.
Wapenzi wa soka kaeeni chonjo kwani baada ya kukamilika mradi huu hapo 2009 kombe la dunnia 2010 Bondeni hatutaitaji kulipia tena kila kitu ni bwelelele.
Wadau kwa Bongo ni Michael Njumba na Anna Kahama.