August 30, 2008

CHANJO

Chanjo ya polio imeanza kutolewa leo nchini kote kwa watoto wote kuanzia umri wa kuzaliwa hadi miaka mitano, peleka mwanao akapate chanjo.

NISSAN DRIVE TEST DAY

Leo hii DT Dobie wanaendesha promoshen maalumu ambapo wateja wake wamepewa fursa ya kujaribu aina tofauti za Nissan hapo Polisi Officers mess, Kazi kwenu wapenda mashangingi na 4x4 cars.

BUSH JK

"Mpaka kuleeeeee ndo mwisho wa eneo la Ikulu yetu" JK alipokutana na mwenyeji wake G Bush.
Bush amemwagia sifa kibao JK kutokana na uongozi wake na kutumia vyema fedha za misaada toka USA,

PRESIDENT BUSH: It is such an honor to welcome a man I've come to admire a lot to the Oval Office, President Kikwete of Tanzania. He comes representing a great country. He also comes representing the African Union. And therefore, we've had a wide-ranging discussion about our bilateral relations, as well as the President has kindly given me a briefing on how he sees the different situations and opportunities on the continent of Africa. Laura and I will never forget our trip to your country. First of all, it's a beautiful country. The people were so gracious and so friendly. And I came back to America telling our fellow citizens how proud they would have been to have seen the outpouring of affection for the American people, as a result of the American people's generosity in such matters as education, or HIV/AIDS, or the President's Malaria Initiative. I am confident in saying to the American people that your money is being spent wisely and compassionately in Tanzania. And a lot of it has to do with the leadership of the President. He stood up and said, we've got a problem and I'm going to take the lead. And his government has been responsive to the needs of the people. And, Mr. President, I can't thank you enough on behalf of the American people for your compassion and your leadership. I also am looking forward to continuing our discussions on issues like Zimbabwe or Darfur. These are issues that the President is most familiar with. It's the President -- issues in which he has got good judgment about how to proceed on these matters. And so, Mr. President, it is with great pleasure that I welcome you here to the Oval Office.

PRESIDENT KIKWETE: Thank you. Well, thank you, President. First I thank you for the invitation. It's an honor for me; it's an honor for Tanzania; it's an honor for Africa. Well, I came here to say thank you on behalf of the people of Africa, on behalf of the people of Tanzania. You've done so much for Africa, so much for Tanzania. When you compare, no U.S. President has done so much for Africa and for Tanzania as you have done. Our goal has been extended; it extends the horizons of the possibilities of economic growth in Africa. PEPFAR is helping us tackle HIV/AIDS scourge. Many lives -- many, many children now who were -- who would have been orphaned are no longer orphaned because of that. PMI has helped us so much in the fight against malaria. Many innocent lives of children -- women and children -- are being saved. And Tanzania is one of those examples of the great successes of PMI. Malaria in Zanzibar has almost been -- is being eliminated now. In the past there used to be 50 percent cases being reported in hospital; now it's only 1 percent that's been reported in hospital, thanks to PMI. There are a number of -- of course, our biggest challenge now in Zanzibar is how to sustain that success, because only 20 miles on the mainland, in Dar es Salaam, malaria is still there. So if people go to Zanzibar with malaria, then the problem is -- so our biggest challenge is how to sustain it. And we are working together with the PMI and CDC on how to respond to this kind of situations. Of course, with the MCA again, the support you've given us to infrastructure development in the country, it's again -- it helps us build the capacity, to tackle poverty and economic development in the country. So all that I can say really -- I came here to say thank you so much for the support. But of course, you saw it yourself when you came home, how the people came in huge numbers --

PRESIDENT BUSH: They were.

PRESIDENT KIKWETE: -- huge numbers. I was even amazed when they poured in the streets. There the issue was really to express their appreciation to the people of the United States for, again, the support you have been extending to our country.

Of course, we discussed the issues on the continent. We again, we thank you for your leadership. We'll continue to work together. Zimbabwe is a common problem. Darfur is a common problem. We are the front line; but of course, those of us who are on the front line always look toward -- look to the rear -- (laughter) -- to what you do to support us. And there has been such extraordinary support for us in the continent. We continue to work together. I thank you, President.

PRESIDENT BUSH: Thank you, sir.

August 29, 2008

WILL SMITH AKUTANA NA RAIS ZENJI

Mwanamuziki, Muigizaji, Mchekeshechaji, M.............................., M......................... Will Smith pamoja na Mkewe Jada Pinket wamekutana na Rais wa Zanzibar Karume na Mama Shadiya.

CHANGA LA MACHO LA KARNE?????

JAMANI MWENZENU SIKUELEWA SAWASAWA richnmond report na mh PM JANA HAPA MAHALI ASA KWENYE HIYO BOLD NYEKUNDU, HIVI HAWA SI NDIO TANESCO ILIKUWA IKILAZIMIKA KUWALIPA MABILIONI KA MATATU HIVI KWA MWEZI KWA KIGEZO HICHO?
(i) Mkataba baina ya TANESCO na IPTL  Mgogoro uliopo sasa kati ya TANESCO na IPTL unatokana na kutokubaliana kwa pande zote mbili kuhusu kiwango cha capacity charge kinachotozwa na IPTL.  Kwa mujibu wa Mkataba wa kuuziana Umeme kati ya IPTL na TANESCO, capacity charge inapaswa kukokotolewa kwa kuzingatia mtaji (equity) wa asilimia 30 na faida ya asilimia 22.31 uliopaswa kuwa umewekezwa (ambao ni US$ 36.54 milioni) wakati IPTL wanaanza kuzalisha Umeme na kuiuzia TANESCO tarehe 15 Januari, 2002. Hata hivyo, kufuatia uchunguzi uliofanywa na TANESCO imegundulika kwamba mtaji halisi wakati IPTL inaanza kuzalisha Umeme ulikuwa Shilingi Hamsini Elfu tu (50,000/=). Hivyo, mtaji huu ndiyo unaostahili kutumika kukokotoa capacity charge inayolipwa IPTL na si vinginevyo.  Kwa mantiki hiyo, madai ya TANESCO na Serikali katika Mradi huu ni kuwa, capacity charge inayotozwa na IPTL izingatie kiwango halisi cha mtaji (equity) uliowekezwa na IPTL, na si zaidi ya hapo. Aidha, Serikali na TANESCO inadai kutoka IPTL kiasi chote cha malipo kilichofanywa kimakosa kama capacity charge ambacho hakikustahili kulipwa kwa IPTL.

August 25, 2008

Mwakilishi wetu BBA

Kwa miaka miwili mfululizo tumekuwa tukiwakishwa na wanaume ktk lile jumba la Big BROTHER au Kaka Mkubwa na wote kufanikiwa kufika hadi mwisho kwa mmoja kuibuka wa pili (Mwampamba) na mwingine kuibuka kidedea yaaani Richard, lakini mwaka huu ndani ya Jumba la Kaka Mkubwa wa Africa kwa mara ya kwanza tumepeleka binti naye si mwingine bali ni bi Latoya Lyakura binti toka "A" tauni, huyu ni Katibu Muhtasi ambaye apenda kucheza, kushop na kujimix na watu. Je dada Latoya atafanikiwa kama Richard au angalau kama Mwisho? au ndo..........................................................?
Posted by Picasa

vipuri fake zateketezwa

Vipuri vya magari bomu vya thamani ya Milioni 50 toka China zimeteketezwa leo na tume ya ushindani au FCC ktk kupambana na uingizaji wa vitu fake nchini.
Posted by Picasa

Pinda vs Zitto

Dogo Mambo yanaenda hivi..........
Posted by Picasa

Sambi Bungeni

Posted by Picasa

Sambi ahutubia Bunge

Posted by Picasa

August 23, 2008

Obama-Biden deal

Obama leo amemteua seneta wa Delaware Joe Biden kuwa mgombea mwenza wa kiti cha urais ambapo atachuana na Mzee mzima John Mcain. Wengi waritarajia kuwa pengine angemchagua mwanamama waliotoana jasho kuwania kupitishwa na chama kugombea Mama Clinton lakini hiyo haikuwa. Swali, Je taifa kubwa USA kwa mara ya kwanza litatawaliwa na mweusi? "only time will tell"

August 22, 2008

Ridhiwani Kikwete afunga Ndoa

Ridhiwan na Bi Harusi Arafa Mohamed Mara baada ya kufunga ndoa leo huko Ubungo Plaza. JK na Ridhiwan "Karibu sana Ikulu mwanangu" wazazi wakimkaribisha bi Harusi.

Mambo ya Beijing hayoooooo

Beijing Olympic inaendelea na haya ni baadhi tu ya manjonjo au michezo inayoendelea huko, mambo ya kiuno bila mfupa hayo.

EPA bado hakijaeleweka!!!!

Baadhi ya wananchi hawajaridhika na hatua zilizochukuliwa na serikali juu wizi wa fedha za akaunti ya malipo ya nje maalufu kama EPA ya watuhumiwa kupewa hadi oktoba 31 kuwa wamerejesha vinginevyo watapelekwa mahakamani. Mkurugenzi wa Mtandao wa jinsia Ussu Malya pamoja na baadhi ya wanachi wanahoji kama ni sawa kwa watuhumiwa kupelekwa mahakamani iwapo watashindwa kurudisha pesa hizo na kuoji je hao walio kwisha rudisha ndio basi? "Yaani mtu unaiba mabilioni ya umma kwa hati za kufoji kisha unashitukiwa na unaambiwa urudishe basi? hii haiingii akilini hata kidogo tunataka hatua zaidi" Malya
Posted by Picasa

August 21, 2008

Hotuba ya JK

Rais ametoa hotuba kwa takribani masaa matatu na ushee hivi, kaongea mengi sana,
  • kuhusu EPA, ni shs bilion 53 tu ndo zimerudishwa. Watuhumiwa pamoja na kurudisha pesa wameporwa hati zao za kusafiria na kuwa zitataifishwa mali zao zote pamoja na magari yao ya kifahari waliokuwa wakitanulia nayo mitaani, na kuwa kikomo cha kurejesha pesa hizo ni Oktoba 31 wale watakao kuwa hawajarejesha kukiona cha moto
  • . pia pesa hizo kakiri kuwa hazikuwa za serikali na kuwa ni za wafanyabiashara wa nje na kuwa sasa zitaelekezwa kwenye kilimo lengo likiwa kuanzisha benki ya kilimo kwa mabenki wanasema kuwa kilimo hakikopesheki.
Posted by Picasa

KIWANDA CHA SIRAHA KAWE

Kiwanda cha siraha.
Posted by Picasa

KIWANDA CHA SIRAHA ZA KIENYEJI

Kamanda Kova akionyesha kiwnda cha kutengeneza siraha kienyeji kilichokamatwa huko Kawe kwa mtuhumiwa Fransis Masunzu ambaye alikuwa na diliza kutengeza siraha pia kukata vitako vya baadhi ambazo zimekuwa zikikutwa nusu zikamatwapo.
Posted by Picasa

Jambazi latibuliwa mishe

.
Leseni ya udereva ya mtuhumiwa wa ujambazi lililokamtwa leo baada ya kupata ajari likijaribu kuwatoroka polisi mara baada ya dili kushitukiwaPosted by Picasa

Polisi watibua dili la ujambazi dar

Baluni lililokuwa likitumiwa na jambazi Hemed Said au Muddy likwa kituo kikuu cha kati cha polisi Dar mara baada ya kupata ajari wakti mtuhumiwa Muddy akiwakimbia polisi huko Tabata.
Posted by Picasa

NCHI NI TANZANIA.

RAIS KIKWETE ANAENDELEA NA HOTUBA YAKE BUNGENI AMBAYO AMEANZA YAPATA SAA SITA NA ROBO HIVI, MOJA YA MAMBO ALIYOGUSIA NI HILI ZA ZANZIBAR NI NCHI AU LA, AMESEMA "NCHI NI TANZANIA" full stop. NA KUWA WENYE AJENDA ZA SIRI WASEME.

TUTARAJIE NINI LEO TOKA KWA JK?

Wakati Mkuu wa Bongo Rais JK anatarajiwa kulihutubia bungemfupi ujao kwa mara ya pili toka kuingia madarakani yapata miaka mitatu iliyopita muda mengi yamekuwa yakiisiwa au kuzungumzwa kwamba uenda akayagusia katika hotuba yake hiyo muhimu kwa taifa letu. mengi yametokea na mengi yanaendelea kutokea toka kulihutubia bunge hilo December mwaka 2005, nadhani si vyema nikarudia hapa kuorodhesha yote yaliyo jili hapa bongo kwa kipindi kifupi hicho lakini yakiwa ni makubwa na muhimu kwa mustakbali wa taifa letu hili changa. tusubiri tusikie kile ambacho mkuu wa nchi ataka kuwaambia wanachi kupitia kwa wabunge wao.
Posted by Picasa

August 20, 2008

MFUMUKO WATISHA ZIM

MFUMUKO WA BEI SASA WAFIKIA ASILIMIA MILLION 12 ZIMBABWE 12,000,000%?
Zimbabwe's Central Statistics Office has reported annual inflation running at 11.2 million percent in June, the state-controlled Herald newspaper reported on Tuesday. But independent sources put it higher - leading Zimbabwean financial institution Kingdom Bank reportedly issued a report estimating inflation at over 20 million percent
.
Posted by Picasa

ZIM

Posted by Picasa

August 19, 2008

BURIANI MWANAWASA

HABARI ZA UHAKIKA NI KUWA RAIS MWANAWASA WA ZAMBIA AMEFARIKI DUNIA LEO HII SAA NNE NA NUSU HUKO PARIS ALIKOKUWA AMELAZWA TOKA MWEZI WA SITA ALIKOPELEKWA BAADA YA KUUGUA GHAFLA AKIWA KTK KIKAO CHA AU HUKO MISRI.
Zambia's leader Levy Mwanawasa, 59, has died in a Paris hospital after suffering a stroke in June. Vice-President Rupiah Banda, who is expected to take over as acting leader, made the announcement on state TV. President Mwanawasa suffered a stroke at an African Union summit in Egypt and was then flown to France, where he had remained in hospital. He came to prominence recently for being one of the African leaders most critical of the violence in Zimbabwe. Mr Mwanawasa's health was an issue during his presidency. In April 2006, he suffered a minor stroke four months before general elections.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI
Posted by Picasa

Mzeee MZIMA ATAKA KUFANYAJE?

Je waweza juwa kilicho kichwani mwa Mzee Mzima "Kichaka"?
Posted by Picasa

Mzee Mzima alijiachia si kawa!!!!

Mzee Mzima "Kichaka" alijiachia si mchezo huko China utadhani sio yule mbabe wa Vita, kanafasi aka angekapa Osama sijui ingekuwaje?
Posted by Picasa

August 18, 2008

NMB YAINGIA RASM DSE

Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Jerima Sumari akizindua uuzwaji wa Asilimia 21 ya hisa za Benki ya makabwela ya NMB kwa kuonyesha waraka wa matarajio wa uuzwaji hisa hizo LEO jijini Dar.

MSWATI AJA KUWINDA

Mfalme Mswati wa Uswazi amewasili leo na mmoja ya wake zake kwa ziara ya siku nne ya uwindaji. Rais JK pamoja na Mama Samla walikuwepo kumlaki mfale huyo kijana.
Posted by Picasa

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...