August 7, 2008

MIAKA 10 YA SHAMBULIZI LA KIGHAIDI.

WAKATI LEO NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI ZAADHIMISHA KUMI YA SHAMBULIO LA KIGHAIDI KATIKA MIJI YA DAR ES SALAAM NA NAIROBI, TAHADHARI IMETOLEWA KUWA MMOJA WA WATUHUMIWA MUHIMU WA MASHAMBULIZI HAYO FAIZUL MZALIWA WA VISIWA VYA COMORO ALIFANIKIWA KUWATOROKA MAKACHERO MJINI MOMBASA NA YASEMEKANA AMEKIMBILIA AMA HAPA BONGO AU UG.
Posted by Picasa

OLYMPIC KUMEKUCHA

The national flag of the United Republic of Tanzania is raised in the Olympic Village in Beijing, China, Aug. 6, 2008. The Olympic delegation of Tanzania held its flag-raising ceremony on Wednesday. (Xinhua)Posted by Picasa

RUBANI WA KIKE BONGO

soma habai zaidi kuhusu Pilot Specioza Rweyemamu ktk Habari leo Jumapili hii, pia kwa wadau tutawaletea ktk globu hii ya jamii.
Posted by Picasa

PILOT Specioza Rweyemamu

KUTANA NA MMOJA WA MARUBANI WACHACHE SANA WA KIKE NCHINI PRUBANI SPECIOZA RWEYEMAMU, NI RUBANI WA PRECISION AIR. KWA HABARI ZAIDI PATA NAKALA YA HABARI LEO JUMAPILI HII.
Posted by Picasa

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...