July 9, 2009

Miili ya WACOMORO YAWASILI DAR

Miili ipatayo 14 iliyoopolewa ktk Kisiwa cha Mafia imewasili leo hii na kupokelewa na Makamu wa Rais wa Visiwa vya Comoro Idi Nadhoin na ujumbe wake wakiwa na mwenyeji wao Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe,
Ajali ya ndege ya Yemenia Air Bus 310 ilitokea alfajili ya Juni 30 wakti ikielekea kutua ktk huko Comoro na ni msichana mmoja tu ndo aliokoka katika ajali ambapo kulikuwa na abiria wapatao 153, hii ndio miili ya kwanza kuonekana toka kutokea kwa ajali hii siku zipatazo kumi zilizopita.
Mungu awalaze mahali pema peponi marehemu wote. Ameni.

Tahadhari kina Dada WAONGEZA MAKALIO

TFDA wanadai dawa hizi za kuongeza makalio na mahips aka "vibastola" kwa kina dada ni feki ama za kughushi, sasa sijui hata hayo makalio au vinastola vilivyoongezwa navyo vitakuwaje? najuiliza tu

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...