September 15, 2011

Miss Universe 2011 Nelly Kamwelu arejea.


Miss Universe Tanzania 2011,Nelly Kamwelu amewasili mapema leo kutoka Sao Paulo,Brazil kulikofanyika fainali za Dunia za mashindano hayo. Nelly Kamwelu ameshika nafasi ya saba kwenye mashindano ya vazi la taifa.



Vazi lililompa nafasi ya saba, "Nungunungu" limebuniwa na Diana Magessa wa Morogoro





Vazi la ubunifu la kitaifa limebuniwa na kutengezwa na mbunifu mahiri wa Morogoro Diana Magessa ambaye alitumia rasilimali ya kipekee ya bati na ngozi pamoja na nakshi ya shanga na bati za kimaasai. Mbunifu huyu alieleza kuwa vazi hili alilibuni kwa kuangalia mavazi ya wapiganaji wa kale na pia mnyama aina ya “Nungunungu” ambaye hutumia ngozi yake yenye miiba kujihami na maadui. Mrembo Nelly alifurahia vazi lake akisema “Unajua huko ni kama unakwenda vitani, na hii nguo inanipa moyo sana najisikia faraja kubwa kuvaa vazi hili”

UHALIFU WAKITHIRI MKOANI MBEYA




Mbeya Yetu: UPIGAJI NONDO TISHIO MKOANI MBEYA: Bwana Elia Daudi Mwalonde mkazi wa Uyole akiwa hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya wodi namba 1 baada ya kupigwa nondo. Bwana Meshack Kombo Mwa...

News Alert, Mv Spice Islanders 1 - Wasauzi wasitisha zoezi la uokoaji



Vikosi vya uokoaji toka Afrika kusini vyasitisha zoezi la kuopoa miili iliyobaki baada ya kushindwa kuifikia meli kutokana na hali ya bahari na umbali ilipo meli.   Uwezo wao wa kupiga mbizi ni mita 54 tu lakini Mv Spice Islanders 1 inasemekana iko umbali wa zaidi ya nusu kilomita. Wanasema wataagiza meli maalumu yenye uwezo wa kufika umbali huo.
Source: TBC

My take,
Mosi. toka siku ya kwanza ilisemekana kuwa meli imezama umbali usiopungua mita 300, hivyo wakati wakijiaanda kuja walishajua kuwa kuna umbali huo, naamini kuwa hilo walilijua, kwanini hawakujiandaa kiasi hiko?

Pili. Walipofika tulitaarifiwa kuwa wamekuja na vifaa maalum vya kisasa kwa zoezi husika, sasa wanaposema kuwa inabidi waagize meli nyingine yenye uwezo mkubwa zaidi wanamaanisha nini?

Tatu. Ikiwa waliyajua yote hayo na wao wakijua kuwa uwezo wao wa kupiga mbizi ni mita 54 tu kwanini bado walijiaanda, wakafunga safari na hatimaye kwenda kuzuga tu baharini? ndio ni kuzuga, kwa sababu ikiwa unajua hautoweza kufanya kazi husika unapojifanya waenda kuifanya wakuwa wafanya nini?

Hii si habari njema kipindi hiki ambapo twaambiwa kuwa watu wapatao 2000 bado miili yao haijapatikana, je ndugu wa hao 2000 watawaonaje hawa? watalii au?

Mv Spice Islanders 1 - watu 2000 hawajulikani walipo!


MELI ya MV Spice Islanders iliyopata ajali mwishoni mwa wiki iliyopita na kusababisha vifo vya takriban watu 200 na majeruhi 619 ambao waliokopolewa, ilibeba abiria 3,000 wakati uwezo wake ni kubeba abiria 600 tu.Habari zilizolifikia gazeti hili jana zimeeleza kuwa idadi hiyo kubwa ya abiria, haijumuishi mizigo ambayo kiasi chake bado hakijajulikana.

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Dadi Fakhi Dadi alisema jana kuwa mkoa huo umepoteza watu 1,600 katika ajali hiyo, huku Wilaya ya Wete pekee ikiwa imepoteza watu 1,141.Dadi alisema hayo alipokuwa akizungumza mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad.
 
“Wilaya ya Micheweni imepoteza watu 367, huku Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba ikipoteza watu 27 na Wilaya ya Chakechake imepoteza watu 148,” alisema Dadi na kuongeza:
 
“Kwa idadi hiyo ikijumlishwa na idadi ya watu 619 waliosalimika katika ajali hiyo na wengine 204 waliotambuliwa na kuzikwa na wengine watano waliookotwa Mombasa, huenda meli ile ilikuwa na watu 3, 000,” alisema Dadi.
 
Kutokana na takwimu zinazoendelea kukusanywa, hadi sasa zaidi ya watu 2,000 hawajulikani walipo, mbali ya wale 198 walioopolewa na kuzikwa na wengine 619 walionusurika….

Source: Mwananchi 

Kikwete ateua waku wa mikoa wapya 15


PRESIDENT Jakaya Kikwete has appointed Former Deputy Minister for Information, Sports and Culture Mr Joel Bendera to be Morogoro Regional Commissioner and former Deputy Minister for Education and Vocational Training Ms Mwantumu Mahiza to be Regional Commissioner for Coast Region.

The duo lost ministerial posts after they were eliminated during CCM primaries before the General 2010 October elections.

A statement issued on Wednesday evening by the Prime Minister's Office, said President Kikwete has reshuffled Regional Commissioners (RCs), appointed 15, transferred 5 while 7 have retired. Singida RC Dr Parseko Ole Kone remains in the same region while 4 RCs will be assigned new duties.

Moreover, RCs for newly formed regions of Simiyu, Geita, Katavi and Njombe will be named later. The president has promoted 11 District Commissioners to RCs, including former Editor Ms Fatma Mwasa who is going to Tabora.

Others with their regions in brackets are John Gabriel Tupa (Mara); Mr Saidi Thabit Mwambungu (Ruvuma); Ms Chiku Gallawa (Tanga); Mr Leonidas Gama (Kilimanjaro); Dr Rehema Nchimbi (Dodoma); and Elaston Mbwillo (Manyara).

Others are Col Fabian Massawe (Kagera); Mr Ali Nassoro Rufunga, (Lindi); Eng. Ernest Welle Ndikillo, (Mwanza); and Mr Magesa Stanslaus Mulongo (Arusha).

Other new RCs are Member of Parliament (Special Seats-CCM) Eng. Stella Manyanya (Rukwa)and former legislator Mr Ludovick Mwananzila (Shinyanga).

Mwanza RC Mr Abbas Kandoro has been transfered to Mbeya, Lindi RC Mr Said Mecki Sadiki has been transfered to Dar es Salaam; Dr Christine Ishengoma from Ruvuma to Iringa; Lt. Col (rtd) Issa Machibya from Morogoro to Kigoma and Col (rtd) Joseph Simbakalia from Kigoma to Mtwara.

Those who have retired are Mr Mohammed Babu (Kagera), Mr Isidore Shirima (Arusha); Col (rtd) Anatory Tarimo (Mtwara); Mr John Mwakipesile (Mbeya); Col (rtd) Enos Mfuru (Mara); Brig Gen (rtd) Dr Johanes Balele (Shinyanga) and Major Gen (rtd) Said S. Kalembo (Tanga).

Others who have also retired but will be given other duties are Ms Amina Mrisho (Coast); Dr James Msekela (Dodoma); Mr Abeid Mwinyimusa (Tabora) and Daniel Ole Njoolay (Rukwa).

According to the statement, all current RCs and promoted DCs have been directed to prepare Handing over notes within 14 days from the date of their swearing in. The new RCs will be sworn in on Friday.

The statement further directs that all new RCs, and all DCs to be apppointed will required to attend a 3 week course at Hombolo Local Government College in Dodoma.

Source: Daily News online. 


My take,
Retired, but given other duties??? kind confusing!  I think needs more clarification here. 

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...