April 21, 2008

Washika Kalamu Mjengoni

Baadhi ya washika kalamu wanaoripoti yanayojili mjengoni.

KWA KINA BABA TUUUU!

Kina baba mmeipata hii? najua wengine leo au jana baada ya kusoma habari hii mmeanza kuwaangalia wanenu au mlioambiwa wanenu kwa macho mawilimawili, hayo ndo mambo ya tekonologia ya kisasa au kipimo kinachoitwa DNA kinavyosema kwa ndoa zilizopimwa au walokuwa na mashaka na wenza wao.

Atimaye Chenge abwaga manyanga.

Rais akubali kujiuzulu kwa Chenge Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo April 20, 2008, amepokea barua kutoka kwa Waziri wa Miundo Mbinu, Mheshimiwa Andrew Chenge ya kujiuzulu wadhifa wake na Rais amekubali ombi hilo la kujiuzulu. Rais ameuelezea uamuzi huo wa Mhe Chenge kama uamuzi wa busara kwa kutilia maanani mazingira ya sasa. Katika barua yake kwa Rais, Mhe Chenge amesema kuwa pamoja na kwamba shutuma dhidi yake bado zinachunguzwa, mapenzi yake kwa nchi na chama chake, yamemsukuma kujiweka pembeni. Mhe Chenge ni Mbunge wa Bariadi Magharibi. Mwisho Imetolewa na Ikulu, 20th April, 2008

Buriani Braza Dito

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Ukiwaona Ramadhani Ditopile au Braza Dito anatarajiwa kuzikwa leo mchana huko Kinyerezi nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam, Marehemu Dito alifariki saa 2:30 asubui jana ktk hoteli ya Hilux mji kasoro bahari alikofikia na mke mdogo.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...