October 27, 2006

portrait ya mtoto wa kijijini kilambo mkoa wa mtwara, msimu wa maembe ndo waanza watoto uanza kula mabichi hadi yaloiva, haijalishi mikono ni misafi au la.
Waziri wa Mambo ya nje Condoleza Rice aah no!! Dr Asha Rose Migiro akipokea saluti ya heshima ktk kuazimisha miaka 61 ya Umoja wa Mataifa Dsm.
Mwanamke pekee katika kozi ya udereva wa magari makubwa Fatuma William mama wa watoto wanne akiperuzi cheti chake.
Sehemu ingine ya mtambo.
Ilisemekana kuwa kampuni hii haipo na haijulikani huko marekani hasa baada ya kushindwa kuleta mitambo kwa wakati, hatimaye trh 21 October walifanikiwa kuleta baadhi ya mitambo,
Huyu ndie Naeem Gire Mwakilishi wa Kampuni ya Richmond Development iliyoingia Mkataba na Serikali kuleta umeme wa kukodi.
Yasemekana hati ya kuama ilitolewa saa nne asubui na saa sita greda lilianza kazi.
Maharusi wengi wamepata tumia ukumbi huu.
Siku La Dolce Vita ilipopigwa chini....... mwenye nguvu, na nguvu za tofautiana pia.

October 9, 2006

Ni watoto bomba si mchezo
Ama kweli ufalme mtamu hapa mswati ana kazi kuchagua katika jeshi lote la warembo mmmmhhhhh haya.

October 7, 2006

Sheikh Magufuri akipata futari.
Wahishimiwa viongozi wakipata Futari iliyoandaliwa na Mh JK. Kukaa janvini kwataka mazoezi si wamwona Mh Mramba?
Mzee wa Bongo pix na Fred Maro tukipata futari Ikulu.

October 6, 2006

Miili ya Walter na Vonetha wakati wa ibada ya mazishi Leaders Club. Ilikuwa ni simanzi na majonzi wakati Baba mzazi wa Walter Capt George Mazula alipoelezea umati wa waombolezaji jinsi wachumba hawa ambao walizaliwa mwaka na mwezi mmoja na kufa siku moja jinsi walivyouwawa kikatili, Uchunguzi wa kina tunaamini unafanyika ili kubaini wauwaji na chanzo cha mauaji haya ya kutisha na Polisi ya marekani kama ambavyo tumeambiwa. naamini US si kama bongo nasikia kuna kamera kila mtaa zinazofatilia mienendo ya watu, hivyo nadhani yawezekana tukapata taarifa mapema na sheria kuchukua mkondo wake. Mungu alaze roho za Marehemu mahali Pema peponi. Ameni. Bwana amotoa na Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe.
Msanii wa kundi la Kambangwa akitoa burudani wakati wa uzinduzi wa kisima na Jay Z
Jay Z akizindua rasmi kisima cha maji uswahilini Mwananyamala
Jay Z na Beyonce
Mabaunsa wa Jay Z wakipanga mkakatati wa ulinzi kabla bwana mkubwa hajafika.
Watoto wa Mwananyamala wakimsuburi mwanamuziki toka Marekani Jay Z kuja fungua Kisima.

October 2, 2006

Mitaa ya Dar sasa ni wazi watu wapita kwa nafasi.
CCTV. Angalia sana magaidi na vidokozi kwani sasa camera za kisasa zimewekwa uwanja mzima kufatilia nyendo..
Hii ni Push Back Tractor uzito Tani 45 thamani yake ni milioni 415 tshs, si mchezo. laweza sukuma ndege zote kasoro Air bus 380.
Safi sanaaaaa
Mitambo mipya ya swissport Tanzania iliyozinduliwa wiki hii..
Japo wanatambua kuwa ni relini na hatari yake lakini wanasema wanatest dharii.
Mgambo anataka kubomoa watu badala ya viosk...
Bomoa Mtaa wa Msimbazi yawezekana hawa hawakudhani kuwa nao walipashwa kuama kwani wengi hawakuwa wameondeo bidhaa zao.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...