February 20, 2007

Wajukuu wa Marehemu Hidaya ambao walilithishwa nyumba no 87 mtaa wa sandali na kisha kudhulumiwa, Said, Jerry, Jackline na Hidaya wanaishi kwa kubaatisha toka Dec 27/06, hawajaweza kuudhuria darasani toka kufunguliwa shule. sare na daftari zao zilipotea wakati wa kutomuliwa ndani ya nyumba.
Vitu vya Yatima waliotupwa nje ya nyumba yao ya urithi na aliyenunua nyumba hiyo toka kwa aliyejiita mjomba wa Marehemu Hidaya na msimamizi wa mirathi viliwekwa ktk chumba hiki ambocho kililipiwa na mnunuzi kodi miezi 6. hata hivyo yatima wale waligoma kuamia humo.
Nyumba no 87 Mtaa wa Sandali Temeke Mikoroshin Dar iko ktk mgogolo mkubwa wa umiliki kati ya watoto yatima wanne ambao ni wajukuu wa marehemeu mama Hidaya toka kwa wanae wawili wakike waliofariki na kumwachia kila mmoja watoto wawili aliyowaridhisha kwa maandishi, baada ya kufariki bibi huyo akatokea aliyejiita mjomba wa marehemu na watu wengine wakauza nyumba baada ya kukana kuwa marehemu akuacha watoto wala wajukuu hivyo kuuza nyumba na watoto kuwatupa nje kwa amri ya mahakama ya mwanzo Temeke trh 27/12/06.
Mtoto Abdalah (3) wa Temeke akielekea bombani Kuchota maji. Hali ya Maisha uwafunza hata watoto kama hawa kuanza kazi za kuisadia familia. Hapana shaka watoto kama hawa kama wanapata elimu bora (nasema kama)wanaweza kuwa viongozi wazuri wa baadaye. Je lipi jukumu letu kwa kizazi iki?
Archbisop of Australia Philip Aspinall briefs journalists on The Primates 2007 meeeting just ended yesterday at one of the Beach Hotel in Dar TZ.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...