December 31, 2008

SALAMU ZA MWAKA MPYA TOKA KWA RAIS.

KWA KIFUPI SANA HIZI NI SALAMU ZA MWAKA MPYA 2009 ZA MHE. RAIS KWA TAIFA LEO HII TUNAPOAGA MWAKA 2008

Salamu za Mwaka Mpya za Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete,

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa Wananchi, 31 Disemba 2008

Ndugu Wananchi;

Hatimaye imewadia ile siku ya kuuaga mwaka mmoja na kuukaribisha mwingine. Leo tunauaga mwaka 2008 na kuukaribisha mwaka 2009. Kwanza kabisa, naomba sote tumshukuru Mwenyezi Mungu aliyetujaalia uhai na kutuwezesha kuiona siku hii adhimu salama. Ni wajibu wetu kumshukuru Muumba wetu kwani wapo wenzetu wengi hawakujaaliwa kuiona siku ya leo kwa vile wametangulia mbele ya haki. Wakati tukikumbushana wajibu wetu wa kumuomba Mwenyezi Mungu awape marehemu wetu hao mapumziko mema, tumuombe pia awape nafuu na kuwaponya wenzetu wote wanaougua maradhi mbalimbali ili wajumuike nasi katika shughuli za ujenzi wa taifa letu.

Bandari, Reli na ATCL

Ndugu Wananchi;

Katika mwaka 2009 tutaendelea kufuatilia na kusimamia kwa karibu hali katika mashirika ya reli, bandari na shirika la ndege. Hali ya huduma hizo muhimu hairidhishi hata kidogo. Yapo matatizo ya uendeshaji ambayo yamesababisha huduma zitolewazo kuwa za kiwango kisichoridhisha. Tutafanya kila tuwezavyo kurekebisha mambo ili huduma hizo ziboreke na kuwafanya watumiaji kufurahi.

Ndugu Wananchi;

Nimewaelekeza wenzetu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kufanya kazi kwa karibu na ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kusaidia kupambana na wasiozingatia nidhamu ya matumizi ya fedha na mali za umma hususan wezi na wabadhirifu wa fedha za umma. Bahati nzuri Sheria ya Mwaka 2007 iliyounda PCCB mpya imetoa mamlaka ya kufanya hivyo. Nimewataka wawe wakali kwa wala rushwa kama wafanyavyo sasa, lakini pia wawe wakali kwa wale wote wanaokiuka kanuni za fedha za Serikali. Vitendo hivyo siyo tu vinaitia hasara Serikali bali pia vinapunguza uwezo wa Serikali kuwahudumia wananchi walioiweka madarakani. Nimewataka waitumie vyema sheria mpya na fursa waliyonayo ya kuwaongezea uwezo wa rasilimali tuliyowapa kwa kutumiza ipasavyo wajibu wao. Nimewasihi pia kwamba katika kufanya hivyo wasionee wala kupendelea watu bali watende haki.

Mauaji ya Albino

Ndugu Wananchi; Suala la mauaji ya ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi, yaani albino nimekwishalisemea mara mbili tatu mwaka huu, na mara ya mwisho wakati wa Baraza la Idd tarehe 8 Desemba, 2008. Ni mauaji na mateso ambayo hayana sababu ya kutokea kwa sababu chanzo chake ni cha kipuuzi. Imani kwamba kiungo cha albino kinampa mtu utajiri ni jambo la kijinga. Nirudie kuwasihi wenzetu hawa wanaotafuta utajiri wa haraka haraka kuwa juhudi na maarifa yao ndiyo siri ya kufanikiwa kwao na si vinginevyo. Lakini, kwa vile wapo watu wanaoamini kuwa wakipata viungo vya albino watatajirika na wapo waganga na wauwaji, Serikali haina budi kuchukua hatua za kuwabana watu wote hao na kulitokomeza kabisa tatizo hili.

Tumeunda kikosi-kazi kinachojumuisha Polisi na Idara ya Usalama wa Taifa cha kuendesha mapambano haya. Hivi sasa wanaendelea na uchunguzi wa kina nchi nzima kuwatambua wahalifu na kuwafikisha mbele ya vyombo vya sheria. Mpaka sasa watu 91 wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na mapambano yanaendelea. Kwa nia ya kuongeza kasi na nguvu ya mapambano haya, mapema mwaka ujao tutaendesha zoezi la kura ya maoni nchi nzima.

Tutawataka wananchi wawataje watu wanaowajua kuwa wanajihusisha na mauaji au kukata viungo vya albino. Wawataje waganga wanaohusika, wauawaji wa albino, wauzaji wa viungo vya albino na wafanyabiashara wanaotumia viungo hivyo. Taarifa hizo zitasaidia kuwafuatilia na kuwakamata watu hawa waovu. Utaratibu kama huu ulitusaidia katika mapambano dhidi ya ujambazi nchini. Naamini utasaidia kwa hili. Tunafanya matayarisho ya zoezi hilo. Wakati utakapowadia watu wataarifiwa namna ya kushiriki. Naomba ushirikiano wa hali ya juu wa wananchi wakati huo. Jitokezeni kuwataja ili isaidie kukomesha aibu hii kwa taifa letu.

Naomba tutakiane heri na fanaka tele katika mwaka mpya, 2009.

Mungu Ibariki Afrika

Mungu Ibariki Tanzania

Ahsanteni kwa kunisiliza.

HERI YA MWAKA MPYA 2009-

The Priority of Focus in 2009

As you study the Bible, you begin to discover that God has some things He considers very important -- things that should become priorities as we begin a new year 2009.

One of the things that God considers most important is focus. In fact, the priority of focus is absolutely crucial if you are to be the wise man or woman you want to be. Why?Because nderstanding the priority of focus can keep you from pursuing the trivial and unimportant.

A great example of a proper focus is found in Deuteronomy 4:9, where it says..."Only take heed to yourself, and diligently keep yourself lest you forget the things your eyes have seen, and lest they depart from your heart all the days of your life.

And teach them to your children and your grandchildren, especially concerning the day you stood before the LORD your God in Horeb, when the LORD said to me, 'Gather the people to Me, and I will let them hear My words, that they may learn to fear Me all the days they live on the earth, and that they may teach their children.

'"God wants you to remember your encounters with Him. He's saying, "Take heed to yourself and guard your soul lest you forget the things your eyes have seen.

When you remember and rehearse what God has done for you in the past, it will keep you free from depression and it will keep you in faith. It will keep the door open for God to do things in your present circumstance and situation. So today, take time to focus on what God has done for you in the past. Count your blessings.

When you do this on a consistent basis, you will be able to move forward with great confidence and faith, remembering what God has done for you... and what He can accomplish in your life again.

Happy New Year!

December 29, 2008

WIZI MTUPU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

JAMANI WEZI HAOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!!!!! South Africa 2010 Lottery Headquarters31, Brixton Court, Carlton, East Gate Johannesburg 2001South africa

Attn. Winner, AWARD WINNING NOTIFICATION The South African National Lottery is pleased to announceto you the draw of South African 2010 world cup bid lotteryinternational award programs held in Zurich, Switzerland. Participants were randomly selected from World Wide Website through computerised draw system and extracted fromover (100,000 000) companies and individual emailsaddresses. The 2010 lottery programe is intended topromote South Africa's 2010 soccer world cup award. In the draw,your e-mail address attached to the following information below: Reference Batch Number B9665 75604546 199 Serial Number 97560 Lucky Numbers 60/84/27/17/36 This ibnformation subsequently confers on you the lottery award in the 2nd category. You have therefore been approved to claim a total sum of US$ 1,000,000.00 (One Million United States dollars) in cash credited to file (KPC/9030108308/03). This is from a total cash prize of US$400,000,000.00 shared among the first 400 lucky winners in this category world-wide. Kindly note that your lucky winning number falls within ourlottery booklet representative office in South Africa asindicated in the play coupon. In view of this, yourUS$1,000,000.00 (One Million United Statesdollars) would be released to you as soon as youracknowledgement or confirmation of this winning awardis processed. For security reasons, you are advised tokeep your winning information confidential untill yourclaims are processed and your money remitted.This is part of our precautionary measure to avoid doubleclaiming and unwarranted abuse of this program by someunscrupulous elements. Please proceed immediately to file for your claim with ourAward/Claims Manager for urgent release of your fundthrough the contact details below: Name: Barr. Michael Horman Phone number: +27-73-146-3645 Email Address: barr.michaelhorsman2000@live.com

Please be informed that all winning awards designated toyou must be claimed on or before 12 midnight CentralAfrican Time (C.A.T) 4th of January 2009. Any breach of confidentiality on the part of the winners will result in disqualificat ion of your claim. Contact our Award/Claimsmanager for confirmation and endeavour to quote yourreference batch numbers in any correspondences with us. Congratulations once more and thank you for being part ofthis promotional lottery program. Sincerely, Stella Barnard(S.A National Lottery Co-ordinator)

December 27, 2008

Origino COMEDY ndani ya UK

WASANII WA ORIGINO COMEDY WAKO UK WAMEKUTANA NA BALOZI NA KUPATA MSOSI PAMOJA.
picha: matukio uk.

TWAMFUNZA NINI MALAIKA HUYU?

Mtoto huyu ambaye anaonekana hajaanza hata darasa la kwanza akifakamia the Laga bila wasiwasi wowote ktk ufukwe wa Coco ktk kusherehekea sikukuu ya Krisimasi, mama yake hapo juu aonekana kuchekelea na kwa majisifu kabisa adai mwanae ana uwezo wa kunywa hadi chupa mbili na bado anaonekana fiti kabisa.
SWALI KWA WADAU..... MALEZI KAMA HAYA TWAWAFUNZA NINI WANETU? JE NI NANI WA KULAUMIWA WATOTO KAMA HUYU KUJA ARIBIKIWA BAADAYE? JE NI JAMII AU MZAZI?
Picha: Mroki.

DAILY NEWS, HABARLI KILELENI

Daily News na Habari Leo zapandishwa kilele cha Bara la Africa Kilimanjaro na Deo Sagamiko na Inoo Mfumu kati ya wafanyakazi kumi walioadhimia kupanda mlima huo.

December 25, 2008

JE NI KWELI AKILI NYINGI UONDOA MAARIFA?

TRA YA NCHI JIRANI YAPONDA PONDA MAGARI YALOSHINDWA KUKOMBOLEWA BANDARINI, MAGARI YAPATAYO 200 KUPONDWA DESEMBA HII, JE HUKU NI KUWA NA AKILI NYINGI AU NI AJE WADAU?

Some of the vehicles at the Port's G-Section being crushed on Thursday. They were said to have stayed unclaimed for more than ten years. Kenya Revenue Authority intends to crush more than two hundred cars by the end of December.

December 24, 2008

VERSE OF THE DAY

“So they hurried off and found Mary and Joseph, and the baby, who was lying in the manger. When they had seen him, they spread the word concerning what had been told them about this child, and all who heard it were amazed at what the shepherds said to them. But Mary treasured up all these things and pondered them in her heart. The shepherds returned, glorifying and praising God for all the things they had heard and seen, which were just as they had been told.” Luke 2:16-20

HERRY YA X MAS NA MWAKA MPYA 2009

HERI YA X-MAS WADAU WOTE WA BONGO PIX

December 23, 2008

PICHA ZA NGONO MARUFUKU UK.

Porn image ban sparks concern

A new law, slated to come into force in January, will make the possession of images deemed to be of an extreme pornographic nature a punishable criminal offence.

The Criminal Justice and Immigration Act, 2008 says that images whichportray a life threatening act - something which will result in serious injury to a person's anus, breasts or genitals, or a sexual act with a corpse or animal - will be illegal to possess as of 26 January 2009. The law will apply to England and Wales and could put limitations on what can be produced and sold in the art photography market.

The law received Royal assent in May. When debated, in the House of Lords in April, Lord Hunt of Kings Heath said: 'We are targeting this material not on account of offences which may or may not have been committed in the production of the material, but because the material itself, which depicts extreme violence and often appears to be non-consensual, is to be deplored'.

However, the passing of the act was marred by widespread discontent from Justice, a human rights lobby group, and Amnesty International, amidst claims that the over-inclusive definition may constitute a disproportionate interference with the right to free expression under Article 10 of the European Charter of Human Rights.

December 22, 2008

Weekly Devotional

God has not cast away His people whom He foreknew. Or do you not know what the Scripture says of Elijah, how he pleads with God against Israel, saying, "LORD, they have killed Your prophets and torn down Your altars, and I alone am left, and they seek my life"? But what does the divine response say to him? "I have reserved for Myself seven thousand men who have not bowed the knee to Baal." Even so then, at this present time there is a remnant according to the election of grace.
Romans 11:2-5

KIPANYA LEO

December 19, 2008

Hatutakwona tena Hery Makange.

Safari kuelekea Kibaha kwa Mazishi hapo kesho inaanza.
Msemaji wa Jeshi la Polisi Abdalah Msika akitoa heshima za mwisho
Mjane Jane Makange akisali mbele ya jeneza.

Tangu pale nilipojuzwa juu ya msiba wa Mpiganaji Hery Makange na Father Kidevu sikutaka kukubali, ni akili ya kibinadamu, lakini hata pale nilipojaribu kuulizia kwa jamaa wa karibu na hasa zaidi baadhi ya wafanyakazi wenzake pale Chanel TEN bado sikutaka sadiki moja kwa moja, ndivyo tulivyoumbwa! Lakini zaidi hata pale nilipochukua jukumu la kuujulisha umma juu ya msiba huu kupitia blog hii bado akili yangu ilikuwa ikinituma kuwa si halisi bali ni ktk zile ndoto za jinamizi jitupatazo tuwapo usingizini.

Leo hii ninaposhuhudia Mpiganaji kalala sandukuni haamki tena! Nimwangaliapo mjane akilia japo akijitia nguvu na kukumbuka kuwa ndo kwanza wamemaliza "mwezi asali" au Honey Moon namwonea huruma sana na machozi kububujika bila kutaka na nadhani labda yeye ndo aonaye au adhaniaye kuwa hii ni moja ndoto mbaya kabisa na pengine anaomba azinduke na kumkuta Hery akiwa ubavuni mwake na kumuhakikishia kuwa hasiofu kitu bali ni ndoto tu!!

Lakini ahh! hivyo sivyo ilivyo bali haya yote ni halisi kabisa na wala si ndoto hata kidogo, Ni kweli kuwa Ndugu yetu, Rafiki yetu na mpendwa wetu Hery hatunaye tena, amelala usingizi mzito, ametutoka na ametangulia mbele za haki hatutamwona tena.

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

December 18, 2008

Buriani Herry Makange

Mpiganaji Herry Makange atunaye tena. Taarifa tulizozipata na kudhibitishwa na watu wa karibu wa Mpiganaji Herry ni kuwa alifariki jana kutokana na ajali ya pikipiki maeneo ya Mbezi Africana. Mipango ya mazishi na taratibu zote zinafanywa na tutawajulisha mara tutakapo pata taarifia zaidi.
"SISI TULIKUPENDA SANA HERRY LAKINI MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI, JINA LA BWANA LIBARIKIWE."

December 17, 2008

Michelle amwonya Barack Obama

"KUCHUKUA WATU WA CLINTON KWENYE SKWADI LAKO SINA SHIDA ILA NSIMWONE YULE KIMWANA MONICA LEWINSKY"

WAANDISHI WATUNUKIWA

Father Kidevu Mroki akipewa nishani
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jakaya Kikwete amewatunukia nishani waandishi 12 wa vyombo mbalimbali vya habari nchini, walioshiriki katika vita ya kumng’oa kiongozi muasi ndani ya visiwa vya Komoro, Kanali Mohamed Bakari. Akikabidhi nishani hizo, kwa niaba ya Rais kwenye viwanja vya Karimjee Dar es Salaam jana, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alisema taifa limethamini mchango wa wanahabari hao, waliokuwa wakiripoti katika mazingira magumu, dhidi ya vita hiyo. “kwa kutambua mchango wako, (mmoja mmoja) wa kuandika matukio kwenye uwanja wa mapambano, wa kukikomboa kisiwa cha Anjouan, yaliyofanyika bila kumwaga damu, kazi uliyoifanya katika mazingira magumu, mimi Rais nakutunukia nishani,” alitamka.

December 15, 2008

Stars wapokelewa ka wafalme

MAPOKEZI YA TAIFA STARS LEO, NI BALAA KWELI KWELI KUFIKIA MHE MO DEWJI KUSAULA SUTI SI MCHEZO.

MGONJA AUNGANISHWA KESI YA KINA MRAMBA

Katibu Mkuu wa zamani wa Hazina Bw Gray Mgonja, juu akiwa mahakamani leo na picha za chini siku kuapishwa makatibu wapya ikulu juzi.

December 14, 2008

WAMJUA PROF NHONOLI??

Prof Aloysius Mwessa Hnonoli ni Mbongo wa kwanza kuwa Mkurugenzi wa Muhimbili na Mkuu wa Chuo kikuu cha Tiba.
Mstaafu huyu jana alitunukiwa Digrii ya Heshima ya Udaktari wa Sayansi MUHAS akiwa ni wa kwanza kupata digrii hiyo chuoni hapo.

December 13, 2008

1st FAMILY YAPATA Dr WA MENO.

KTK MAHAFALI YA PILI YA MUHAS LEO FAMILIA NAMBA MOJA BONGO IMEPATA DAKTARI WA MENO.
HONGERA SANA SALAMA KWA MAFANIKIO HAYO, BABA AU JK OR RAIS AMESEMA "You made us proud" BILA SHAKA YOYOTE MH. PAMOJA NA MAMA WANASIKIA FAHALI SANA KWA MAFANIKIO YAKO.

MOTO WAZIDI LETA BALAA DAR

LORI LATEKETEA KWA MOTO HUKO KILWA RD LIKITOKEA BANDARINI.

December 12, 2008

KINA MATAKA WATAKIWA WAACHIE NGAZI.

WAFANYAKAZI wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATC) wameitaka Menejimenti ya Shirika hilo na bodi ya wakurugenzi kujiuzulu kwa kwa kile walichodai kushindwa kukabiliana na dosari zilizosababisha ndege za Shirika hilo kuzuiwa kuruka na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Anga (TCAA).

Hatua hiyo imekuja siku moja tu baada ya Mkurugenzi wa ATC, David Mattaka kukiri kuwa shirika lake ilikaguliwa na kukutwa na dosari 482 ambazo zilipelekea TCAA kuiamuru kusimamisha huduma. Katika kikao cha dharura kilichoitishwa na chama cha wafanyakazi wa ATC (COTWU) jana Dar es Salaam, wafanyakazi hao walimtaka Mattaka na watendaji wenzake na Bodi kuachia ngazi.

“Hakuna sababu ya kulindana, wala kutafuta mchawi, mchawi wetu tuna mfahamu ni menejimenti na bodi yake, hawa wajiuzuru,” alisema mfanyakazi mmoja ambaye hakutaka kutaja jina lake.

“Menejiment imeshindwa kufanya mawasiliano na sisi kuhusu dosari hizo mpaka hali imefikia hapa … ukiachilia mbali wafanyakazi takribani 100 hawajalipwa mshahara wa Novemba,” alisema Mwingine.

OFISI YA WAZIRI YATEKETEA KWA MOTO

JANA USIKU JIJINI ILIKUWA NI USIKU WA MIOTO BAADAY MIOTO KUTOKEA SEHEMU MBALIMBALI IKIWAPO KIWANDA CHA BAKHRESSA ZAMANI NMC NA WIZARA YA UTALII NA MALIASILI NK.

PENGINE MOTO UTAVUTA HISIA ZA WENGI NI WA WIZARA HII AMBAO UMETEKETEZA OFISI YA WAZIRI NA HAPANSHAKA NYARAKA MUHIMU PIA ZITAKUWA ZIMETEKETEA.

VYANZO VYA MIOTO HIYO NA HASARA GANI IMEPATIKANA BADO HAVIJAJULIKANA.

December 9, 2008

Maharamia chupuchupu kuchukua Meli DAR....

Maharamia wa KISOMALI JUZI ALMANUSURA WAPORE MELI KTK PWANI YA DAR.

Somali pirates fail to seize ship off Tanzania

KUALA LUMPUR, Malaysia (AP) —

Somali pirates armed with rocket-propelled grenades and automatic weapons attacked a Dutch-operated container ship off the coast of Tanzania but failed to hijack the vessel, a maritime official said Sunday.

The attack Saturday shows the pirates are becoming bolder and extending their reach further from their base in Somalia, said Noel Choong, who heads the International Maritime Bureau's piracy reporting center in Kuala Lumpur.

Eight pirates in two speedboats chased and opened fire at the ship about 520 miles (840 kilometers) east of Dar es Salaam in Tanzania, starting a fire on the vessel that was quickly doused by the crew, he said. "The pirates used RPGs and automatic weapons to attack the ship but it managed to escape after the captain increased vessel speed," Choong said.

The ship, which has 19 crew members, flies a Hong Kong flag but is operated out of the Netherlands, he said. Choong said a white-hulled fishing vessel was spotted nearby and was suspected to be the pirates' mother vessel.

The International Maritime Bureau issued an alert to all ships off the coast of Tanzania to be on a strict anti-piracy watch, he added.

JIHADHARINI NA UTAPELI HUU

I am in a hurry writing you this message i am sorry i didn't inform you about my urgent trip to London i don't have much time on the pc here,so i have to brief you my present situation which requires your urgent response actually, I had a trip to London yesterday but unfortunately for me all my money got stolen at the hotel where i lodged due to a robbery incident that happened in the hotel.

I had been so restless since last night cos i have been without any money i am even oweing the hotel here as well moreover the Hotel's telephone lines here got dissconnected by the robbers and they are trying to get them fixed back i have access to only emails at the library because my mobile cant work here so i didnt bring it along,please i want you to help me with money so please can you send me 1,200,Pounds so when i return back i would refund it back to you as soon as i get home,I am so confused right now and dont know what to do,you can have it sent through Western Union Money Transfer so will get it immediately its sent but let me know if you can helpme then i will make findings.

please let me hear from you so i can give you my full name and address where you can send the money to today please.Its really urgent for me as i dont know what to do right now than to leave here soonest you send it to me and i'll pay you back immediately i get home..Thanks alot for your kindness, I will really appreciate your quick response.

Best Regard

Abduel Joseph Elinaza

Dar es Salaam, Tanzania.

NIMEPATA EMAIL HII TOKA KWA MTU ANAYEDAI KUWA NA ABDUEL KENGE AKIDAI KUWA AMESAFIRI GHAFLA UK NA SASA YU MATATIZONI, UKIISOMA KWA MAKINI UTAGUNDUA KUWA NI TOKA KWA MATAPELI AMA WA KINAIGERIA AU JIRANI ZETU HAPO WANAOIBUKIA NAO, MAKOSA NI MENGI LAKINI KUBWA KABISA NI KUWA KENGE AU WABONGO KWA UJUMLA WETU TUSINGANGAIKA KUANDIKA LUGHA HIYO WAKTI TUNAYO LUGHA RASMI TUNAYOJIDAI NAYO NA INAYOTUUNGANISHA KWA URAHISI ZAIDI NA KWA HAKIKA NDO TUTUMIAYO KTK MAWASILIANO YETU NA SIO BLOKEN YAO HIYO MBALI NA ADDRESS KUWA BADO NI YA DAR.

JIHADHARINI WADAU.

December 7, 2008

Yaliyojili mahafali ya 38 UDSM

Dada Janeth Tesha alikuwa Mhitimu pekee wa Dgrii ya Uzamili ya Sayansi ktk Uhandisi Nishati Umeme au Masters of Science in Electrical Power Engineering. Hawa ni Digrii ya Biashara (Bachelor of Commerce) walikuwa 543. wakti fani kama hizo za uhandisi na hasa za umeme zilikuwa na mtu ama mmoja au saaaana watatu, ktk fani nyingine kama hii ya Biashara wahitimu walikuwa lukuki.
TUJADILI WADAU:

Je kwa mtazamo na mwenendo huo hapo juu wamaanisha nini kwa mustakbali wa taifa letu ktk karne hii ya sayansi na teke linalotujia?

for Science and Technology era we are in, what does this mean?

WADAU MBALIMBALI WAPATA MBA zao

Mdau Efraimu MAFURU (ati)
Mdau Zainabu Kawawa
Mdau Ritha Semizigi
Wadau wameamua kula kitabu si mchezo mwaka huu.
HOGERENI SANA KWA HATUA MLIOFIKIA HAPNSHAKA MATUNDA TUTAYAONA.

December 5, 2008

Msaada kwa WADAU.

Mrs judith Hangwa looks after her one year son Cosmas Hangwa surviving on oxygen for the past four months now in Dar es Salaam. They hail from Kagera and is one of the fifty patients with heart related ailments referred to India for further treatment remain stranded in the city.
Mtoto huyu amekuwa akiishi kwa oxygen hapo THI akisubiria safari ya kwenda India ambayo mpaka sasa hakuna ajuaye lini itakuwa kwa wizara ya afya imekuwa ikipiga danadana kuwapeleka kwa kisingizio kuwa bajeti ni ndogo, lakini pia kumekuwa na lawama kuwa wanapelekwa ambao ni angalua wazima kidogo na kuachwa waliotaabani kama mtoto huyu.
Kulingana na Dr Masau wa THI hospitali yake ingeweza kumsaidia mtoto huyu lakini uzito wa mtoto ni kikwazo kwa mitamba yao ambao uzito wa chini ni kilo kumi kuweza kumfanyia upasuaji.

Amani Burundi- FNL YAKUBALI KUBADILI JINA.

Mtoto wa Mkulima MP na Makamu wa Rais wa Kenya Kalonzo Musyoka.
Rais Yoweri Museven wa Uganda (wapili kushoto) ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kutafuta suluhu ya Mgogoro kati ya Serikali ya Burundi inayoongwanzwa na Rais Pierre Nkurunziza (watatu kushoto) na Kikundi cha The Palipehutu National Liberation Front (FNL) kinachoongozwa na Agathon Rwasa, akizungumza katika mkutano wa kutia saini makubaliano ya kumaliza mgogoro huo, mjini Bujumbura Desemba 4, 2008. Kushoto ni Rais wa Zambia, Rupiah Banda na kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliyemwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye mkutano huo. Wapili kulia ni Makamu wa Rais wa Kenya, Kalonzo Musokya.
Rais wa Burundi , Pierre Nkurunziza (kushoto) na Kiongozi wa Kikundi cha wapiganaji cha The Palipehutu National Lineration Front (FNL), Agathon Rwasa wakitia saini makubaliano ya kuacha mapigano katika mkutano wa Usuluhishi ulioongozwa na mwenyekiti wa kamati ya kusuluhisha mgogoro huo, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, mjini Bujumbura, December 4, 2008.

December 4, 2008

ALBINO sasa wawindwa na mitutu..

TAARIFA TOKA KIGOMA NA KUTHIBITSHWA NA RPC NI KUWA:

WATU WENYE SIRAHA WAMEVAMIA NA KUMPIGA RISASI

MTU MWENYE ULEMAVU WA NGOZI YAANI ALBINO

KUMUUA NA KUONDOKA NA MKONO WAKE.

WADAU HII SASA INATISHA YAANI NDUGU ZETU SASA WANATAFUTWA KWA MTUTU WA BUNDUKI? HII NI ZAIDI ATA YA PESA, HIVI KWELI SERIKALI IMESHINDWA? JE JESHI LA POLISI NIN KWELI HALIJUI WAARIFU HAWA NI WAPI WANAPELEKA VIOUNGO HIVI VYA NDUGU ZETU HAWA? JE WALE WALIOKUWA EXPOSED NA VICKY NTETEMA WA BBC WAKO WAPI HADI SASA? NI NINI JESHI LA POLISI LIMEFANYA JUU YAO? AU KUNA USHIRIKIANO USIO RASMI HAPA? MTU ANALAZIMIKA KUWAZA MENGI KUTOKANA NA UKWELI KUWA HAKUNA HATUA INAYOONEKANA KUFANYWA NA WAHUSIKA TOKA TAARIFA ILE NZURI YA UCHUNGUZI KUTOLEWA NA HADI LEO HII MAUAJI HAYA YA KINYAMA YANAPOENDELEA KUFANYIKA NCHINI. HII INASIKITISHA SANA.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...