June 30, 2008
JONGWEEEE NDANI YA AU
Rias Mugabe ndani ya Misri ktk kikao cha AU mara baada ya kuapishwa jana,
Comrade alinukuiwa akiwataka viongozi wa Africa wanaojiamini na kudhani kuwa ni wasafi wajitokeze na kumnyooshea kidole yaaani ni ile hadithi ya yesu na mwanamke kahaba kwa waliosoma bibo au ya TOA KIBANZI KTK JICHO LAKO NDIO UONE BORITI KTK JICHO LA MWENZIO.
EXIM BANK KIDEDEA
Rais Abdalah Sambi na makamu wake wawili na baraza zima la mawaziri walikuwepo wakati wa ufunguzi wa Exim Bank, hii ni kama mkombozi kwa wangazidja.
June 28, 2008
Exim Bank ndani ya moroni
Rais wa muungano wa visiwa vya Komoro Abdalah Sambi akiteta na Mwenyekiti wa Exim Yogesh MANEK huko visiwani.
June 24, 2008
Branch on Wheel
Mwenyekiti wa Board CRDB Martin Mmari akichukua burungutu lake toka ktk Tawi linalotembea au Branch on Wheel. CRDB ni Benk ya kwanza nchini kuwa na huduma hii ya TAWI LINALOTEMBEA AMBAPO KUNA ATM PIA.
Bank on Wheels ya CRDB
Benk ya CRDB imezindua matawi ya benk yanayotembea yaan Mobile Branch au Branc on Wheels".matawi haya yanatoa huduma zote za kibenk kama matawi mengine yoyote yale.
Wakipongezana ni Mwenyekiti Martin Mmari, MD Dr Charles Kimei, Mkuu wa Benki mbadala Joseph Witts na Mkurugenzi Utafiti na Masoko Bibie Tully Mwambapa.
Furaha yako kuzinduliwa Dom.
Flora Mbasha kuzindua albamu yake ya tatu iitwayo Furaha yako mjini Dom mwisho wa wiki hii mgeni rasm ni Mtoto wa Mkulima MP, kushoto ni ubavu wake Emmanuel Mbasha.
Bungeni
Spika wa Bunge na mbunge wa Urambo Mashariki, Samwel Sitta akichat na wabunge Kabwe Zitto na Said Arfi, nje ya ukumbi wa bunge mjini Dodoma
June 23, 2008
Neno la leo..
“but those who hope in the LORD will renew their strength. They will soar on wings like eagles; they will run and not grow weary, they will walk and not be faint.”- Isaiah 40:31
TUME YAANZA KAZI
TUME YA KANDORO YAANZA KAZI RASMI LEO, KUCHUNGUZA KIINI CHA KUANGUKA JENGO LA GHOROFA KUMI,
TUME HII YAONGOZWA NA Joseph Malongo TOKA BODI YA WAKANDARASI, WENGINE NI Lt Col Kichogo toka JWTZ, Dr Chiguma toka Ofisi ya Rais, Daniel Mtuka (PCCB), Eng Elias Mwakalinga na Paul Ndumbaro UDSM.
June 21, 2008
MAAFA ZAIDI DAR
Moja ya majeruhi wa ajari ya jengo hilo akiwaishwa hospitali, yasemekana bado kuna watu kadhaa wamefukiwa chini ya jengo kwani wengine walikuwa wakisika wakiita kuomba msaada.
HILI NI JENGO LA TATU KUANGUKA NA KULETA MAAFA JIJINI, KA KUMBUKUMBU ZANGU SI SAHIHI, LA KWANZA NI LILE LA MTAA WA MSIMBAZI, LA PILI CHANGOMBE VILLAGE HOTEL NA HILI.
GHOROFA LAANGUKIA LINGINE DAR
KIFUSI CHA MABAKI CHA LILILOKUWA JENGO LA GHOROFA KUMI MALI YA MC SOMS INVESTMENT NA KUJENGWA NA N.K DECORATORS.
June 20, 2008
Toi kamera
Matukio Chuma wa FCC akionesha camera feki ambazo zimejaa mjini.
Sio siri wengi sana wamebambikiwa au wamelizwa toi ka hili na machinga kwa kuambiwa kuwa hii ni profesheno kamera ka wanazotumia waandishi na kuuziwa bei mbaya sana.
Hii ilipatikana toka kwa mmoja wa walimu huko Mkuranga ambapo jamaa alienda kuwapiga changa la macha hata ilibidi wakakope ili waweze kununua wakiamini kuwa ni Nikon au Canon, kila moja aliwagonga kati ya 80, ooo na kuendelea, walimu hao kupitia FCC au Tume ya ushindani wamefungua kesi kudai fidia.
June 19, 2008
Masoud Kipanya - Ukweli ni huu.
Pata undani juu ya kilichowapata Masoud Kipanya na Fina Mango Clouds FM. bofya hapo chini.
http://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=14550
June 18, 2008
Karibu Bongo Kelly Rowland
Bila shaka utakuwa bado unalikumbuka kundi maarufu la muziki lililokuwa linajulikana kama Destiny’s Child kutoka nchini Marekani. Miongoni mwa mabinti waliokuwa wanaunda kundi hilo ni Kelly Rowland(pichani).Wenzake walikuwa ni Beyonce Knowles(mke wa Jay Z hivi sasa) na Michelle Williams. Kundi hilo lilivunjika rasmi mwaka 2005 ingawa mara moja moja bado huwa inatokea wakafanya maonyesho pamoja.
Baada ya kuvunjika kwa kundi lao na kila mmoja kuendelea kivyake na shughuli za kimuziki,uigizaji nk, Kelly Rowland amekuwa akijitolea sana kwa huduma za kijamii.Hali hiyo ndio imemfanya achaguliwe hivi karibuni kuwa Balozi wa Taasisi ya MTV Staying Alive ambayo imejikita katika kupigana vita na maradhi ya ukimwi pamoja na matokeo yake kama vile kuwanyanyapaa walioathirika nk.
Ni katika wadhifa huo wa “ubalozi” ambapo Kelly Rowland anatarajiwa kutua nchini Tanzania hivi leo ikiwa ni katika ziara yake katika nchi kadhaa za Afrika ikiwa na nia ya kueneza ujumbe na kuendeleza kazi za taasisi hiyo.
Kwa mujibu wa Meneja Uhusiano wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania ambao ndio wenyeji wake,Kelly Rowland anatarajia kutembelea vituo kadhaa vinavyojishughulisha na mapambano dhidi ya ukimwi na pia kuzungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ziara yake. Akimaliza ziara yake nchini Tanzania,Kelly Rowland anatarajiwa kuelekea Kenya na kisha Ghana,Msumbiji na Angola.
Halafu bonyeza hapa uone jinsi mwanamuziki huyu na nduguze walivyopewa heka heka na nyani katika mojawapo ya nchi za kiafrika anazozitembelea.
By BC.
Kwa Mabachela TUUUUU!!!
Kwa wanaume mliomabachela au mnasaka wenza msipate tabu Japan wametengeneza videmu maalumu vya kuwaliwaza.
TOKYO (Reuters) - She is big-busted, petite, very friendly, and she runs on batteries.
A Japanese firm has produced a 38 cm (15 inch) tall robotic girlfriend that kisses on command, to go on sale in September for around $175, with a target market of lonely adult men.
Mafuta yapanda!!
PAMOJA NA KUPANDA KWA KIWANGO CHA UZALISHAJI MAFUTA DUNIANI BADO BEI YAENDELEA KUOGEZEKA, LAKINI ZAIDI NI KUWA TAIFA KUBWA PEKE YAKE LATUMIA ZAID YA ASILIMIA 30 YA MAFUTA YOTE UKU LIKIZALISHA ASILIMIA NDOGO YA KILE YANACHOTUMIA.
World crude oil production has topped out at 85 million barrels per day even as demand keeps climbing, helping to drive a stunning surge in prices, billionaire oil investor T. Boone Pickens said on Tuesday.
"I do believe you have peaked out at 85 million barrels a day globally," Pickens, who heads BP Capital hedge fund with more than $4 billion under management, said during testimony to the Senate Energy and Natural Resources Committee.
The United States alone has been using "21 million barrels of the 85 million and producing about 7 of the 21, so if I could take just a minute on this point, the demand is about 86.4 million barrels a day, and when the demand is greater than the supply, the price has to go up until it kills demand," Pickens told lawmakers.
U.S. crude futures have risen by a third since the start of the year and more than six-fold since 2002 as surging demand from China and other developing nations outpaces new production.
June 17, 2008
Subscribe to:
Posts (Atom)
Arts n' Photo sildes
"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION
Future Stars!
Some of published work
RIGHT TO BE RICH
Popular Posts
-
Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI. BAFUNI NAKO NI BALAA. NA H...
-
Kumbe tuna utalii wa aina nyingi sana Tanzania!! mpaka huu nao? Waliingizia taifa dola ngapi? Women seeking beach boys ...
-
Prof Aloysius Mwessa Hnonoli ni Mbongo wa kwanza kuwa Mkurugenzi wa Muhimbili na Mkuu wa Chuo kikuu cha Tiba. Mstaafu huyu jana alitu...
-
Nimekuta ubishi paala fulani tena kwa watu naweza sema ni waelewa kiasi fulani maana wameenda shule na wengine wako katika fani, ati ile ho...
-
WADAU NADHANI SI VIBAYA SIKU MOJA MOJA TUKAPANUA MAWAZO KIDOGO NDO NAMNA YA KUELIMISHANA KUPITIA NJIA HII. HIKI ni kijiji kipo hapa bo...
-
Shibe inapoua kuliko njaa Obesity kills more people than hunger Most of the world's populations live in countries where overweight a...
-
The Himba are an ethnic group of about 20,000 to 50,000 people living in northern Namibia, in the Kunene region (formerly K...
-
Mineral occurrence in Tanzania by TMAA UONGEZAJI WA PATO LA MTANZANIA Mheshimiwa Spika, 46. Lengo la Dir...
-
Kina dada wengi hivi sasa imekuwa ni kawaida kwenye kila shughuri hasa za usiku kukuta wamevaa nguo fupi, wengi wanasema ni fashion...
-
Ukumbi huko nyuma ya Minara miwili ukiwa ni wa mviringo. Eneoe kubwa la chai na ukaguzi pamoja na usajili kwa waalikwa. Sehemu za waa...