July 9, 2011

Success Day in A town


 Mhadhiri wa UDOM na mumewe Esther na Selestin wakitoa ushuhuda jinsi gani wamefanikiwa kupitia biashara ya mtandao ya FLP, Mzee Baltazari toka Usa River akitoa ushuhuda jinsi gani Aloe Vera Gel imemponya na ugonjwa wa kisukari ambao alikuwa nao kwa muda mrefu na kujaribu kila gharama kubwa katika tiba bila mafanikio, Mzee huyu anamshukuru binti yake ambaye ndiye aliyemshauri kuhusu bidhaa hiyo.


FLP Success Day huwa ni siku muhimu sana kwa Network Marketers wote pitia kampuni hiyo kusherehekea  mafamikio ikiwa ni pamoja kutambua rasmi waliopanda ngazi za mafanikio, huwa siku ya furaha na vicheko ambapo waweza kaa bila kujua muda umeendaje,

This time ilikuwa zamu ya Mkoa wa Arusha, shughuri imefanyika katika ukumbi wa AICC ukumbi wa Simba, imeshuhudia wanamtandao kadhaa wakitambuliwa kama Supervisors, Assistant Managers, Managers, Soaring Managers, Eagle Managers NK.

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...