April 13, 2008

Je lipo tumaini?

Pengine mwenge huu waweza leta tumaini kwa dada yetu huyu anayeishi kwa matumaini. kumbuka ni Tanzania pekee ktk Africa mwenge huu umekimbizwa lakini pia watu wanaoishi kwa matumaini hawakutengwa ktk kuukimbiza. ni jambo la faraja.

Hawa jamaa bwana tabuuuu kweli

Hivi si tulishaga vizoea, ndo maana wakuta twacheka tu hata kama twapigwa virundu na jamaa zetu hawa ambao twajenga nyumba moja lakini twagombea fito.

Mwenge DAR

MCs Ben na Maimatha walisherehesha pamoja na mvua kubwa iliyonyesha muda mfupi kabla ya shughuri lakini jamaa walisema hatoki mtu hapa, unalowa unakamua mwendo mdundo.

MWENGE WA OLYMPIC NDANI YA DAR

Mwenge wa Olympic uliowasili jana umekimbizwa leo ktk mitaa ya JIJI Dar kutoka TAZARA stesheni hadi nje ya uwanja mpya wa taifa Watu maarufu na wasio maarufu wapatao 80 walishiriki wakiwamo hao, Mirisho Sarakikya, Caroline Mbaga, Lady Jay Dee au Mrs Habash, watu wenye ulemavu Sharrif na Johnson nk,

Mduara kwa waheshimiwa paleee

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na baadhi ya wabunge wanawake wakicheza muziki katika chakula cha jioni alichowaandalia wabunge hao kwenye makazi ya Waziri Mkuu mjini Dodoma. Wapili kushoto ni Naibu Spika Anne Makinda ambaye pia ni Mbunge wa Njombe Kusini, Kulia ni Mbunge wa Kuteuliwa Zakia Meghji na wa pili kulia ni mbunge wa viti maalum, Anna Abdallah na watatu kushoto ni mgeni kutoka Jamaica , Ingrid Loiten.
chini hilo ni twist la nguvu.

CUF WANDAMANA ZNZ

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...