September 24, 2009

Mbagala kwalipuka tena!! wawili wafariki dunia

Mpiga picha wa Nipashe Selemeni Mpochi akipata snap za majeruhi huko Mbagala.

Watoto wawili wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya mabomu kulipka tena huko mbagala kizuiani karibu na kambi ya jeshi leo asubui, waliofariki wametambuliwa kuwa ni Regina Chalawa (6) na Rajabu Said (6).
Siku kadhaa zilizopita alipata kunukuliwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali A Shimbo akisema kuwa Mbagala si sehemu salama tene kuishi kwani mabomu hayajaisha, lakini wanasiasa hawakumwelewa na walisisitiza kuwa fidia hizo zitoilewazo na serikali na kwa waadhirika hao kuendeleza makazi mahali hapo, matokeo ni nini???

September 23, 2009

Mauaji ya Albino - Watatu wahukumiwa kunyongwa

A court in north-western Tanzania has sentenced three men to death by hanging for killing a 14-year-old albino boy.
They were found guilty of attacking Matatizo Dunia and severing his legs in Bukombe district in Shinyanga province.
Albino body parts are used in potions sold by witchdoctors promising wealth. Tanzania has seen an unprecedented rise in the killings in recent years.
Dozens of people have been arrested, but the justice system is notoriously slow and this is the first conviction.

September 19, 2009

"Njia yako kuelekea juu yawezekana iko chini"

Wahenga walisema kizuri wala na nduguyo, naam nami nimekutana na habari nzuri toka kwa Mtumishi Bayless Conley nikaona ni vyema niwashirikishe wadau, anasema yawezekana kushushwa kwako ni njia alioipanga Mungu ili aweze kukuinua, amini leo nawe utaona matokeo yake.
"The way Up may be Down"
It is not unusual for God’s promotion to look like a demotion at first, to feel like you are going backward rather than forward.
There are a couple of great examples of this in the Bible. For instance, do you remember how Joseph in Genesis 37 dreamt he would one day rule over his brothers? That God was going to promote him to a place of prominence?
So what happened? His brothers threw him into a pit, he was sold to Midianite traders as a slave, and then he was put on the auction block and sold again in Egypt. On top of that, he ended up in prison on false charges and spent several years there, seemingly forgotten.
But without those experiences, Joseph would have never been ready to rule. Preparation comes before promotion. The way up may go down for awhile at first.
David is another example of how God will “demote” in order to promote. Do you remember in 1 Samuel 16:12-13 how David was anointed king while still just a shepherd?
Now he [David] was ruddy, with bright eyes, and good-looking. And the LORD said, “Arise, anoint him; for this is the one!” Then Samuel took the horn of oil and anointed him in the midst of his brothers; and the Spirit of the LORD came upon David from that day forward. So Samuel arose and went to Ramah.
This is a pretty big promotion for a shepherd boy, don’t you think? But for years, David lived a fugitive’s life—moving from place to place, living in caves, being hunted. He was separated from everyone and all the things that he loved.
His promotion ended up looking more like a demotion, which is often the way God works. In the process of your promotion, He will take you through difficult times to prepare you for that promotion.
Just remember, the way up is often down.

NEC vs ZEC picha lingine???

Kauli ya Makame yaichanganya ZEC
MKURUGENZI wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Salum Kassim amesema haamini kama mwenyekiti wa taifa, Jaji Lewis Makame anaweza kujitoa katika suala la Zanzibar na kutaka jamii iilaumu Zec kwa vurugu zinazoendelea kisiwani Pemba.
Juzi Jaji Makame alisema mjini Dodoma kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) haistahili kuhusishwa na vurugu zinazoendelea kisiwani Pemba, ambako wananchi wanagomea zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura wakipinga matumizi ya kitambulisho cha Uzanzibari Ukaazi kama kigezo kikuu.
"Kama Nec ingekuwa msimamizi wa uandikishaji kwa ajili ya chaguzi hizo (za Zanzibar), ingestahili kubeba lawama, lakini Zanzibar kuna tume huru... Zec ambayo inasimamia taratibu zote katika daftari hilo, ndiyo inapaswa kulaumiwa,"alisema Jaji Makame juzi.
source: mwananchi

September 18, 2009

Albino ajisaalimisha kwa Mganga wa Kienyeji!!

Mlemavu wa Ngozi (Albino) Festo akiwa na Mganga wa jadi Antony Mwandulami (kulia) mara baadaya kujisalimisha kwa mganga huyo kuomba hifadhi baada ya kutishiwa kuuwawa na watu wanaotafuta viungo vya maalbino,
Imekaaje hii wadau?????
na mdau Francis Godwin

September 16, 2009

Bibi miaka 107 atafuta CHUO cha 24

Wook Kundor akiwa na mumewe wa sasa, Muhammad Noor Che Musa
Bibi mwenye umri wa miaka 107 wa nchini Malaysia ambaye alishaolewa na kuachika mara 21 amesema yuko tayari kuolewa na mwanaume mwingine kwa mara ya 23.
Ajuza huyo anahofu kwamba huenda mume wake wa 22 anaweza kumkimbia na kutafuta mwanamke mwingine mwenye umri mdogo.
Baada ya kuolewa na wanaume 21 na kuachika, bibi mwenye umri wa miaka 107 wa nchini Malaysia amesema kuwa anahofia kukimbiwa na mume wake wa 22 anayeishi naye hivi sasa ambaye miezi miwili iliyopita alikamatwa akitumia madawa ya kulevya.
Bibi Wook Kundor alipata umaarufu duniani baada ya kuolewa kwa mara ya 22 na mwanaume ambaye amemzidi jumla ya miaka 70.
Hivi sasa bibi Wook hana imani kabisa na mumewe Muhammad Noor Che Musa mwenye umri wa miaka 37 ambaye hivi sasa yuko kwenye kituo cha kurekebisha tabia akipatiwa matibabu ya kuacha utumiaji wa madawa ya kulevya.
Bibi Wook ameishaanza kusaka mume wa 23 kwa sababu anahofia Muhammad akishatoka kwenye kituo hicho na kuacha tabia yake ya kutumia dawa za kulevya anaweza kumkimbia na kutafuta mwanamke mwingine wa rika lake.
"Katika siku za hivi karibuni kuna hofu imeniingia" alisema bibi Wook huku akiwa ameshikilia picha yake.
"Najua kwamba mimi ni mwanamke niliyezeeka. Sina umbile la kuvutia tena na kwa umri wangu siwezi kumvutia mwanaume yoyote"
"Nia yangu ya kuolewa tena ni kuepuka upweke na si kwa sababu yoyote ile" alisema Wook na kuongeza kuwa anajihisi mpweke sana wakati huu ambao mumewe yuko mbali.
Bibi Wook alisema kuwa angependa kusherehekea sikukuu ya Eid el-Fitr wiki ijayo akiwa pamoja na mumewe.
Wook alisema kuwa ana mpango wa kumtembelea Muhammad kwenye kituo chake cha kurekebisha tabia jijini Kuala Lampur iwapo majirani zake watampeleka huko kwa gari.
Muhhamad alifunga ndoa na bibi Wook miaka mitatu iliyopita akisema kuwa urafiki wa karibu na heshima uligeuka kuwa mapenzi ya kweli.

September 15, 2009

10 things you should know before travelling to Tanzania

1: How to get into Tanzania Several major airlines fly into Tanzania- KLM (Royal Dutch Airlines), Condor Airlines and Ethiopian Airways fly into lands at Kilimanjaro International Airport (KIA/JRO) and Dar es Salaam International Airport (DIA) daily. British Airways and Swiss Airlines lands at DIA at least twice a week. Other airlines operating flights to Tanzania are South African Airlines (SAA), Emirates, YEMENAIR, Oman Air, Qatar Airways, and Kenya Airways.
2: Immigration Requirements An onward ticket and sufficient funds are required when entering Tanzania. Visas are required for all visitors except citizens of the Commonwealth, Scandinavian countries and the Republic of Ireland. Visas are easy to obtain at any Tanzanian embassy abroad, the Visa fee is dependent on the type of passport held. A visitor’s pass which can be obtained free from any Tanzanian diplomatic mission or point of entry is required for all travelers. It is advisable to get one before you leave home.
3: Health A yellow fever vaccination certificate is essential if arriving from yellow fever infected areas and anti-malaria tablets are also recommended. Travelers are advised to take their prescribed drugs a few days prior to arrival, during their stay, and for a short period after returning. It is also necessary to boil or sterilize all local drinking water and milk and cook or peel vegetables. Private health insurance is recommended.
4: Currency/Exchanging Money There is no restriction on the importation of foreign currency. Under no circumstances should travelers change money in the streets - no matter what rate is advertised- as the chance are you will be cheated. Travelers are encouraged to exchange money at a bureau de change, which offer better rates than banks……………………
5. 6. 7. ........angalia hapa
wadau, Haya yaonesha yameandaliwa na wenzetu, je sisi yetu ni yepi? je ni hayo hayo au tuna mengine?

September 10, 2009

JK-"Sina urafiki wala Undugu na Fisadi"

JK Live

Hizi ni baadhi ya nukuu muhimu

Richmond na Kagoda

“Kwenye kupambana na Ufisadi na rushwa sina urafiki wala ndugu”

Ni kweli Richmond ilikuwa ni Ghost Company au maruani, Nililiona tatizo toka mwanzo nikamwagiza waziri wa Fedha, usiwachukulie dhamana hawa”

Ni kweli Kuna matatizo katika kuwachukulia hatua maafisa waliohusika na sakata zima hili kikao cha bunge cha Novemba kitakuwa na majibu ya hili”

Nyalaka za dini

“Zimetustusha na kutusikitisha sana, lakini ofu yetu ni uchaguzi ujao wa 2010 kwamba kwa sasa watu watapiga kula kwa maelekezo ya viongozi wao wa dini, nathani hii si sahihi, tutakaa chini na viongozi hawa tuzungumze nao”

Mafisadi Papa

Mafisadi wakubwa wana maarifa makubwa pia ya kujificha, hataivyo tunafanya juhudi kubwa kupamba nao”

Uhasama wa Wabunge wa CCM

“Kumekuwa na chuki mza wazi kati ya wabunge wa CCM na serikali yao na hata wabunge kwa wabunge wenyewe kiasi cha mtu kutoaminiana

Kuacha kinywaji chako kwa ofu kuwa utawekewa kitu kibaya”

Tumeunda timu ya wazee watatu Mzee Mwinyi, Mkapa na Kinana ili kuangalia hilo

Mafuta Zenji

Hatuna sababu ya kulumbana juu ya hili, linajadilika na laweza kuondolewa kama lilivyoingizwa katika mambo ya muungano mwaka ule 1968”

Kesi ya Zombe

Sheria imechukiua mkondo wake, lakini sisi kama serikali hatukulidhika hivyo tumekata rufaa juu ya maamuzi ya kesi hile mahakama ya rufaa”

Mikoa ya pembezoni

Kwangu hakuna mikoa ya pembezoni, juhudi za makusudi zinafanywa kuwaunganisha mikoa yote kwa lami, hasa Kigoma, Kagera na Lindi, wamechelewa lakini si kwamba tumewatupa, hakuna tuliyempuuza”

Uhuru wa Vyomba vya habari

“Mfumo wenye uhuru wa kusema, watu kutoa maoni yao naupenda sana kuliko wa kuwabana watu, na sitofanya jitihada za kuzuia uhuru huo maadamu unafata maadili ya uhandishi”

Migomo

“Migomo ni haki ya wafanyakazi, hainisumbui”

Kuwaziba midomo wabunge wa CCM

“Hakuna jitihada zozote za kuwaziba wabunge midomo, tunataka waseme, waikoseo serikali yao.

Shule za kata

“Ni kweli kuna tatizo la utekelzaji wake lakini tunafanya jitihada za dhati kuondoa hilo, likiwemo la Walimu, Vifaa vya kufudishia, vitabu na vifaa vya maabara”.

Maisha Bora kwa kila Mtanzania

“Kwetu hii ni mambo mawili, kwanza huduma za kijamii na kiuchumi na pili kuongezeka kwa kipato, tunajitahidi katika huduma za jamii kama afya, elimu, maji na miundombinu na katika kuongeza kipato tatizo kubwa ni mfumuko wa bei, hili ni tatizo kubwa sana, na kiini chake ni bei za vyakula, tunapamba nalo hili tulikuwa na SDP na sasa tumeanzisah Kilimo Kwanza lengo likiwa kujaribu kupambana na hili.”

Safari za Nje.

“Nasafiri kwa manufaa ya Taifa, Misaada yote tuliyopata inatikana na safari hizi, ukijifungia ndani utapata wapi haya? Zinafaida nyingi sana hizi.

Muulize Rais

“Mfumo huu ni kitu kipya na kimekuwa na manufaa sana, na nadhani ni wazo zuri na nitaliemdeleza, huu ni mwanzo tu”

HAYA NI BAADHI YA YALE NILIYOWEZA KUYANASA NA KUNUKU.

September 8, 2009

JK Opens FBME Bank A town Branch

President Jakaya Mrisho Kikwete officially opens the FBMEBank branch in Arusha town this morning. Flanking the president holding thetape on the right the bank’s chairman Mr.Ayoub Saab.

MAUZO YETU KENYA YAPANDA! JE TWAUZA NINI HUKO?

Tanzania exports to Kenya on rise
DAR, TANZANIA - Tanzanian exports to Kenya have registered 17% increase in value, narrowing the trade balance gap between the two countries. Kenyan High Commission to Tanzania, Mr. Mutindo Mutiso said Tanzanian revenue from exports to Kenya has grown to US$95.8 million (KShs7.3 billion) in 2008 compared to $86.6 million (KShs6.6 billion) in 2007. He said this was a 17% increment.
In 2006 Tanzania's exports to Kenya revenue stood at $59.1 million (KShs4.5 billion); in 2005 it stood at $36.8 million (KShs 2.8 billion) and in 2004 at only $26.3 million (KShs2 billion). "The volume of exports from Tanzania to Kenya rose by 17% in 2008 while Kenya's export into Tanzania rose by 27% during the same period," said Mr. Mutiso.
Ambassador Mutiso added that Kenya's exports into Tanzania in 2008 were valued at KShs29.3 billion which is up from KShs22.3 billion in 2007. The value of exports from Kenya into Tanzania in 2006 stood at KShs18.3 billion.
Mutiso added that the fast rising of Tanzania's exports to Kenya will work to narrow the trade balance gap between the two countries due to the increasing of cross-border trade and investments.
The move signifies that Tanzanian products have the competence to cater for the Kenyan market and trade between the two countries is expanding. The major exports from Tanzania to Kenya include raw cotton and seed cakes, hides and skins, live animals, timber and timber products, fish and fish fillets. Other major exports are milk, cereals (mainly beans and maize) fruits, onions, tyres, detergents, gemstones, groundnuts and power transformers.
Kenyan exports to Tanzania include fuels and oils, beverages and spirits, soap and other washing preparations, paper and paperboard, machinery and mechanical appliances, Other major exports from Kenya to Tanzania are motor vehicles, iron and steel and articles thereof, rubber and articles thereof, milled products, financial and banking services, and human and technical skills. High Commissioner Mutiso said another important aspect of the bilateral relations is with respect to Tanzania being major receipt of foreign direct investment (FDI) from Kenya with an overall investment portfolio of $ 2,087 million.
The multi-million dollar investment portfolio came from 346 investors as at December 2008 making Kenya the second largest injector of FDI into Tanzania after the United Kingdom. "Currently, there is more than 346 Kenyan companies operating in Tanzania which have cumulatively created over 45,737 jobs," said Mutiso. These investments are spread out in various sectors ranging from manufacturing, tourism, services, financial institutions, agriculture, construction, transport, petroleum and mining, natural resources, human resources and telecommunication.
Tanzania Investment Centre (TIC) Director of Investments Promotion, Mr. Raymond Mbilinya said recently most investments from Kenya have targeted the industrial and construction sectors.
source: EABW

September 7, 2009

Mtoto wa Mkulima ziarani Korea

Mtoto wa Mkulima WM, Mzengo Pinda Akisalimina na MWENYEJI WAKE Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Korea, Han SeungSoo na wabongo waishio huko kablaa yamazungumzo yao kwenye Ofisi ya mwenyeji wake jijini Seoul Korea Leo hii.

September 2, 2009

Mkutano wa AU na Gadafi kutimiza miaka 40 ya utawala

JK akiongea na Kiongozi wa Libya M Gadafi ambaye amesherehekea miaka 40 ya utawala wake.
Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wa Tanzania ktk mkutano wa AU huko Tripoli, Libya

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...