May 31, 2008

8th Leon Sullivan Summit, Wajumbe wawasili

Balozi Andrew Young. Mchungaji Jesse Jackson. Waziri Mkuu wa zamani wa Jamaica Percival Patterson. Sullivan PR Director Nichet Smith. About the Summit

Africa needs partners who can bring skills, expertise and resources to the challenges it faces. It is with the help of these partners that Africa can realize its full potential. The Leon H. Sullivan Summits bring together the world’s political and business leaders, delegates representing national and international civil and multinational organizations, and members of academic institutions in order to focus attention and resources on Africa’s economic and social development. Their mission was inspired by Rev. Leon H. Sullivan’s belief that the development of Africa is a matter of global partnerships. It was particularly important to Rev. Sullivan that Africa’s Diaspora and Friends of Africa are active participants in Africa’s development. The Sullivan Summits are organized by the Leon H. Sullivan Foundation t: highlight key issues, stimulate discussion, define best practices, identify new opportunities, promote private enterprise and foster high-level strategic partnerships. Creative and innovative initiatives emerge out of discussions and negotiations at the Summits, and new relationships are brokered in order to make those initiatives a reality. The Sullivan Summits are a bridge between America and Africa, serving as a forum for economic and cultural cooperation. Na je Africa yaitaji nini? Africa needs partners who can bring skills, expertise and resources to the challenges it faces. It is with the help of these partners that Africa can realize its full potential.

May 30, 2008

Mwapachu ndani ya TSN Team

Katibu Mkuu wa EAC Juma Mwapachu akijichanganya na baadhi ya kikosi cha TSN kilichowasili tayari kwa kuwaletea yatakayojili ktk mkutano mkubwa wa nane wa Leon Sullivan mjini A.

May 27, 2008

CHEE NKAPA AZOZA

RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa amevunja ukimya kuhusu tetesi na tuhuma kwamba alikiuka misingi na kujikita katika biashara wakati akiwa madarakani kwa kusema madai hayo si ya kweli na kwamba wanaomtuhumu wana chuki dhidi yake. Akihutubia mwishoni mwa wiki katika Kijiji alichozaliwa cha Lupaso, Wilaya ya Masasi, Mkapa alisema wanaomtuhumu wanamchukia kwa kutowapendelea wakati wa utawala wake. Katika hotuba yake hiyo aliyoitoa wakati wa kukabidhi msaada wa vifaa mbalimbali vya tiba kwa Kituo cha Afya kinachomilikiwa na Kanisa la Katoliki kijijini hapo, alisema; “Msisikilize uongo huo kwa sababu hauna msingi wowote isipokuwa ni chuki …hasa inayotokana na watu ambao walifikiri nitawapendelea … sikuwapendelea,” alisema Mkapa huku akishangiliwa na wanakijiji wenzake waliohudhuria makabidhiano hayo. Alisema kuwa yeye si tajiri na kwamba tuhuma hizo ni za uongo na hivyo kuwataka wananchi kuzipuuza kwa kuwa hazina msingi wowote wala chembe ya ukweli. “Sina uwezo wa fedha ingawa najua mnasikia na kusoma mengi …naishi kwa pensheni yangu kutoka serikalini kutokana na kuwa kiongozi kwa miaka 10 ambayo hata Mzee Mwinyi anaishi hivyo maana sisi sote ni wastaafu. Huo (uvumi) ni uongo …uongo ….uongo ….uongo …uongo….uongo….uongo,” alisema Mkapa na kuongeza; “Mimi si tajiri, nimeomba msaada nimepewa…nimejinyima mimi na mke wangu ndiyo tukaweza kugharimia kusafirisha vifaa hivi kutoka Canada hadi Dar es Salaam, kutoka hapo hadi hapa vimesafirishwa na Serikali…..sikuwa na uwezo wa kununua vifaa kama hivi. Nitapata wapi fedha za kununua vifaa kama hivi,” alisema Mkapa.
Posted by Picasa

May 23, 2008

SALAMU TOKA PEMBA

SAMAHANI WADAU KWA KUTOKUWA EWANI KWA KITAMBO KIDUCHU HII NI KUTOKANA NA VAKESHENI VISIWA VYA MARASHI VYA PEMBA, UJUMBE HUU UMENIVUTIA SANA NIKAONA SI VIBAYA KUSHEA NA WADAU NA IKIWEZEKANA BASI HUKO BONGO NAKO SI VIBAYA TUKAIGA WENZETU HAWA WA VISIWA VYA MARASHI YA KARAFUU. YAANI KWA MFANO UKUTANO NALO ILI BANGO KULE SINZA NAMNANI AU BUGURUNI SEWA HATA TEMEKE NA KINONDONI KATIKA NYUMBA ZA KULALA "WAGENI" WENYEJI WA BONGO. AU MWASEMAJE WADAU?

May 13, 2008

Nakaaya na Hashim

Jamani kijana huyu ni tall si mchezo, hapa nakaaya aonekana ka kachuchumaa vile.

Masaai

Hili yawezekana likawa ni kabila lililopigwa picha nyingi sana au laongoza.

Bush ateua msafara wa SULLIVAN SUMMIT VIII

THE WHITE HOUSE Office of the Press Secretary (Albuquerque, New Mexico) ________________ For Immediate Release May 27, 2008 President George W. Bush today announced the designation of a Presidential Delegation to Arusha, Tanzania to attend the Leon H. Sullivan Summit VIII on June 2, 2008. The Honorable Dirk Kempthorne, Secretary of the Interior, will lead the delegation. Members of the Presidential Delegation: The Honorable Mark A. Green, U.S. Ambassador to Tanzania The Honorable Jendayi Frazer, Assistant Secretary for African Affairs, U.S. Department of State The Honorable John A. Simon, Executive Vice President, Overseas Private Investment Corporation The Honorable Michael S. Steele, Former Lieutenant Governor, Maryland Chairman, GOPAC Mr. Edward W. “Ward” Brehm III, Chairman, U.S. African Development Foundation Ms. Melinda Doolittle, Singer

Kipanya leo

JK na Waziri Mkuu JAPAN

Rais Jakaya kikwete akisalimiana na Waziri mkuu wa Japan Mhe. Yasuo Fukuda kwa mazungumzo kwenye Hoteli ya Yokohama Grand Intercontinental ambapo Mkutano wa 4 wa TICAD unafanyika. Rais yuko Yokohama nchini Japan kwaajili ya Mkutano wa siku tatu.

Salaaam

Salamu toka kwa Mdau Nuru, anawapa hi wadau wooote.

AISEEE MATHAWE!!!! NI YUPI HASA?

MCHAGGA NI YUPI HASA? There is no Chagga tribe but just different groups of people living on the southern slopes of Mount of Kilimanjaro with the following characteristics: WAMACHAME (Business entrepreneurs) Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi "kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu" Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa kipimo. Ukiwa katikati mama anakwambia STOOOOOOP! Hapo shilingi Elfu 20 zako ndio zimekwisha; Ukitaka ongezandio uendelee. Yahye, unasikia nasema MKE WA NDOA! Wamachame hao! Uchumba tu, lazima upeleke Kapati la mbeho! WAKIBOSHO (Specialized bandits) Mama akiwa anapiga soga na mwenziwe utawasikia hivi"Yaani Dadangu, we acha tu yule Alex wangu siku hisi amepefuka kweli; Ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi, ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo. Binti naye, AKIOLEWA NA KYASAKA, baba na mama wanamwambia " Hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!! WAURU (The Elites)Very boring people, wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii. Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake wote: "Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea.Uzuri wao, wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita mchana utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.Wanapenda maparachichi hao! We acha tu!! WA OLD MOSHI (The Mechanics)!Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi we nenda kachague mwenyewe.Taabu, Wanaume ni wabishi! Kama mkia wa mbuzi!Wanakunywa kisusio hata cha Nguruwe!! Na Gongonyingiiiiiiiiiiiiiiiiii (Wenyewe waita Crysta-pen!) WAMARANGU (The handsome liars)!Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somola "jinsi ya kudanganya" shule zote za primary kule Marangu. Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu.Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapamaisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumbainamshinda ni jambo la kawaida. WAROMBO: (The salesmen)!Kazi mtindo mmoja! Hawana tofauti ni kuruti wa Jeshi!Wanawake tunawaita "KUBOTA" aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani miaka ya 1970. Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Wahindi hawaoni ndani!Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya kupitia Tarakea.Ushauri wa bure! Rafiki yangu uamue mwenyewe lakini kwa ushaurimwepesi mwepesi nenda Uru (wasomi) au Rombo (wachapakazi). Chaguo ni lako.

Neno la Leo

“As you do not know the path of the wind, or how the body is formed in a mother's womb, so you cannot understand the work of God, the Maker of all things.”- Ecclesiastes 11:5

JK ELEVEN KIDEDEA!!

Mechi ya marudiano kati Tanzania na Uganda inachezwa mjini Kampala hadi mapumziko matokeo yalikuwa 1-1 hii inawapa nafasi ya kusonga mbele Vijana wa JK Boys ukizingatia matokeo ya mechi ya awali waliwachapa 2-0 mjini Dar. MPIRA UMEKWISHA NA MATOKEO NI 1-1 AGGREGATE 3-1 STARS YASONGA MBELE.

MWATEMBEAJE NAVYO HIVI?

Kina dada mna kazi kweli sasa hapa mwatembeaje jamani?????
dada Chemi asema.
"Naona Akina Dada wanaovunjika miguu watakuwa wengi huko Emergency Room. Hivi unatembeaje na hivi viatu? Eti hivi viatu vimekuwa fesheni Japani."

ICT DAY, SIKU YA TEKNOHAMA

Leo ni siku ya kimataifa ya TEKNOHAMA na ujumbe wa mwaka huu ni KUWAUNGANISHA WATU WENYE ULEMAVU: TEKNOHAMA NAFASI KWA WOTE.

Bye Bye kuajiliwa!!

"Asante sana bwana mdogo" Naibu Waziri miundombinu Eezekiah Chibulunje akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Mshare Commission Agent kukubali kukoposha madereva taxi. Madereva taxi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu nyerere wapatao 50 wataondokana na kuajiliwa na kuanza kujiajili baada ya kukoposhwa magari toka kampuni ya Mshare Commission Agent iliyopo karibu na jengo la vijana jijini Dar. Huu ni Mkopo nafuu ambapo utalipwa kwa muda wa miezi 30 dhamana ikiwa ni umoja wao wa ATACOS au Airport Taxi Cooperative Society.

ZANTEL Yaipiga jeki TBF

Meneja wa promosheni na Matangazo wa kampuni ya simnu za mkononi ya Zantel William Mpinga, katikati, akimkabidhi Rais wa shirikisho la mpira wa kikapu nchini(TBF),Richard Kasesela, mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 6.8, zitakazotumika katika ligi ya Muungano inayoanza leo,(may 17)Visiwani Zanzibar,hanayeshuhudia kushoto ni katibu wa shirikisho la mpira wa kikapu nchini, Laurence Cheyo.

"Dr Slaa ashinda"

Habari zilizotufikia punde ni kwamba Mbunge wa Karatu Dr Wilbroad Slaa (CHADEMA) ameshinda ktk kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2005. THE High Court of Tanzania TODAY declared Dr Wilbrod Slaa of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) party the dully elected member of parliament for Karatu constituency, refuting a petition filed last year by three Chama Cha Mapinduzi (CCM) members.

Karamagi Bye Bye TICTS

Nazir Karamagi ametolewa Uenyekiti wa Kampuni ya TICTS na nafasi yake kuchukuliwa na Mkurugenzi wa kundi la makampuni ya Hutchinson Port Holding Ltd, John Merodin. Hakuna taarifa zaidi zilizotolewa na msemaji wa HPH ambao ndo wanahisa kubwa zaidi ktt TICTS.

JK on MWAFAKA

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sasa wakati wa kurudi mezani, Rais aviambia CCM and CUF Asema vyama hivyo vinakubaliana kimsingi na kuwa tofauti ni utekelezaji RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa baada ya vyama CCM na CUF kuwa vimeweka misimamo yao kuhusu Mwafaka hadharani, sasa ni wakati wa kurudi mezani kuendeleza majadiliano. Rais pia amesema kuwa anaamini kuwa majadiliano hayo hatimaye yatazaa matunda mazuri kwa mustakabali wa Tanzania. Rais ameyaeleza hayo kwa nyakati tofauti leo katika majadiliano na wageni ambao alikutana nao Ikulu, mjini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yake na Waziri wa Nchi wa Ufaransa anayeshughulikia Mahusiano ya Kimataifa na Nchi Zinazozungumza Kifaransa, Alain Joyandet, Rais ametumia muda kumwelezea mgeni historia ya majadiliano ya mwafaka na sababu za msingi zilizopelekea kuanzishwa kwa majadiliano hayo. “Naamini mambo yatakwenda vizuri. Hatimaye tutafanikiwa katika hili la mazungumzo la Mwafaka,” amesema Rais Kikwete na kuongeza kuwa, kimsingi, CCM na CUF vinakubaliana kuhusu mambo ya kufanyika juu ya Mwafaka, na kuwa tofauti ni katika utekelezaji wa hayo yaliyokubaliwa. “CCM wanataka suala hilo kubwa la msingi liamuliwe moja kwa moja na wananchi. CUF wao wanataka wanasiasa kuamua kwa niaba ya wananchi. Hivyo, tofauti iko katika namna ya kutekeleza yaliyokubaliwa,” amesema. Rais pia amemweleza Waziri huyo kuwa uamuzi wa kuwa na Serikali Shirikishi katika Zanzibar ulichukuliwa miaka saba iliyopita, mwaka 2001, wakati wa majadiliano yaliyozaa Mwafaka wa Kwanza kati ya CCM na CUF. Rais amesisitiza kuwa uamuzi wa kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM katika kikao chake cha karibu cha Butiama, Musoma haukubadilisha makubaliano ya msingi kati ya vyama hivyo. “Kilichofanyika ni CCM kuongeza mapendekezo mawili ili nayo yajadiliwe na timu za vyama hivyo viwili.” Amesema kuwa pendekezo moja ni kuwashirikisha wananchi kuamua utekelezaji wa mwafaka kati ya vyama hivyo, na la pili ni kuweka utaratibu wa ukomo wa utekelezaji (sunset clause) wa mwafaka huo. Amesema “mwafaka unalenga kuitoa Zanzibar katika matatizo ya sasa ya kisiasa. Hauwezi kuwa utaratibu wa daima dumu na kuwa ukifika wakati kuwa mfumo huo wa utawala wa kisiasa umekamilisha kazi yake, basi unaweza kuondolewa na Zanzibar ikarudi katika ushindani wa kawaida wa kisiasa.” Amesema kuwa hivyo ndivyo ilivyokuwa katika nchi za Afrika Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), na sasa katika Kenya. Katika mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Kenya, Adam Woods, Rais amesisitiza kuwa bado iko nafasi ya kuokoa mazungumzo hayo ya Mwafaka. “Wote sasa wamezungumza kiasi cha kutosha. Sasa ni wakati wa kukaa chini na kuendelea na mazungumzo,” Rais amemweleza Balozi huyo. Amesisitiza: “Maamuzi ya CCM hajabadilisha jambo lolote la msingi katika makubaliano ya Mwafaka –no deviation on fundamental agreement – Tulichofanya sisi ni kuongeza jambo la kuwashirikisha wananchi na kuwataka wanaoendesha majadiliano kulifikiria na hili.” Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, DAR ES SALAAM. 15 Mei, 2008

Majaribuni!!!

Mbunifu anaye kuja juu Ally Remthulah anakuja ni kitu chaitwa "MAJARIBU" MHHH si mchezo kazi kweli kweli.

JUMA LA TEKNOHAMA

WADAU WA BLOG HII SIMON NA JULIANA WANAWAPA HI WADAU WOTE KTK JUMA HILI LA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO AU ICT NDANI YA DIAMOND JUBILEE.

CRDB yachangia Sullivan Summit

CRDB Leo imetea mshiko wa dola laki moja kwa ajili ya maandalizi ya mkutano wa Nane wa Leon Sullivan au 8th Leon H Sullivan Summit utakaofanyika mkoani Arusha mwezi ujao,
Pia bank hii itatoa huduma za kibenki ktk faranga zote pia kwa wataanzisha huduma mpya kabisa ya MOBILE Banking ambapo kutakuwa na magari maalumu ya kutuoa huduma hiyo ambayo ni ya kwanza kabisa nchini.

Waziri Membe amewataka wafanyabiashara nchini kujiandaa vilivyo ikiwa ni pamoja na kutengeneza vipeperusha, makabrasha, brochure na bizinez card za kueleweka ili kuweza kushawishi wafanyabiashara wakubwa toka US wapatao 3,000 kuweza kufanya biashara nao.

NI NAFASI YA PEKEE KWA WAFANYABIASHARA WA BONGO KUWIN BINGO HILI, VINGINEVYO ZIRANI ZETU WATATUPOLA NAFASI HII.

Exim wachangia Rotary Club

Exim Bank wametoa dola 10,000 kwa ajili ya mkutano wa Rotary Club District 83 unaoanza kesho jijini.

JK ZIARANI MZ,

Rais JK akizindua kivuko na barabara mkoani Rocky City.

May 12, 2008

Mtoto wa Mkulima na Wahariri

"Kwa kweli hapa mlipotufikisha mhh!!! ni pagumu sana, mnatufanya tufanye mambo kwa uangalifu sana" Pinda Mtoto wa Mkulima aka Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo amekutatana na wahariri wa vyombe vya habari nchini,

May 11, 2008

JK, MU-7 na KABILA ANA KWA ANA.

Rais JK leo amekutana na kuwa na mazungumzo na Marais Jo Kabila na Yo Museveni jijini na kujadili pamoja na mambo mengine hali ya maziwa makuu.

ZE COMMEDY KUHAMIA WAPI?

JE WACHEKESHAJI HAWA WALIJIZOLEA MASHABIKI KWA WINGI HAPA BONGO KIASI CHA KUWA AL MAARUFU WANAMPANGO WA KUAMIA WAPI BAADAYA YA kusitisha au kumaliza mkataba wao na CHANNEL 5? Mengi nayasikia mitaani ooh mara wanaenda Star Tv mara oooh kwa Tido sijui kwa channel 10 ..........je upi ni ukweli tusubiri tuone au Seki waweza kutuweke sawa kwa kututonya kwa chati wapi au upi mwelekeo wenu?

May 10, 2008

TSN NDANI YA MIKUMI

WAFANYAKAZI BORA WA DAILY NEWS HABARI LEO WALIDHURU HIFADHI YA WANYAMA YA MIKUMI PAMOJA NA SNAKE PARK KA KUWAPA MOTISHA BAADA YA KAZI.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...