July 11, 2010

Mgombea Mwenza wa JK Ni Dr Gharibu Bilali

Rais JK amemteua aliyekuwa mgombea wa urais Zanzibar na Waziri Kiongozi mstaafu Dr Gharibu Bilali kuwa mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM na hivyo kuwa makamu wa rais mara baada ya uchaguzi mwezi Oktoba.
Picha kwa hisani ya Fransis Godwin.

Je historia nyingine kuwekwa na CCM leo?

Baada ya CCM kumteua Dr Ali Mohamed Shein kuwa mgombea urais kwa upande wa Zanzibar na pengine kukaribia kuweka historia mpya kwa Visiwa hivyo kutawaliwa na mtu toka Pemba, kitendawili kingine na PENGINE historia mpya uenda ikawekwa muda si mrefu pale atakapotangazwa mgombea mwenza wa Rais Jakaya Kikwete.
Inabashiriwa na wachambuzi wa mambo na siasa za Bongo pamoja na mwelekeo na utawala wa JK kuwa uenda kwa mara ya kwanza akamteua mwanamke kuwa Mgombea mwenza na hivyo kupelekea kuwa na Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke.
Je ikiwa hivyo ndivyo, ni nani basi mwanamama huyo??

Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...