July 31, 2008

DEUS MALYA - ALIYEKUWA NA WANGWE

SEHEMU YA WARAKA WA CHADEMA KWA IGP MWEMA. Hivyo basi , Chadema kama Chama kilichoathirika kwa kumpoteza Mbunge wake, Mwenyekiti wake wa Mkoa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti na hivyo kuwa na maslahi ya karibu sana katika uchunguzi huu, tunalitaka Jeshi la Polisi wakishirikiana na vyombo vingine vya Usalama kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na mambo yafuatayo; 1. Kujua huyu ambaye alikuwa (Deus Mallya) na Marehemu kwenye gari lake wakati anafariki ni nani na anafanya shughuli gani. 2. Deus Mallya alienda Dodoma kufanya shughuli gani na ana uhusiano gani na Marehemu na au Familia ya Marehemu. 3. Ndugu Deus Mallya alikuwa amekaa kwenye kiti gani wakati ajali inatokea. 4. Ni nani alikuwa anaendesha Gari wakati ajali na hatimaye umauti unamkuta Mheshimiwa Chacha Wangwe. 5. Ni mazingira gani yaliyopelekea na au kusababisha ajali hiyo kutokea . 6. Tunataka Polisi wachukue hatua stahiki za kisheria ili Deus Mallya akaisaidie Polisi na kuhojiwa kwa kina juu ya suala hili kwani maelezo yake yana utata mkubwa sana. 7. Jeshi la polisi liitoe ripoti ya uchunguzi huo mapema na kuiweka ripoti hiyo hadharani. Tunapendekeza hatua hizo zichukuliwe mara moja kwani tunaamini kuwa kifo hiki kimeghubikwa na utata mkubwa sana na haswa kutokana na maelezo ambayo yamekuwa yakitolewa na aliyeshuhudia ajali (Deus Mallya) pamoja na watoto wa marehemu.
Posted by Picasa
Posted by Picasa

WANGWE - MAZISHI YAHAIRISHWA

MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA TARIME CHACHA WANGWE YAMEHAIRISHWA KUSUBIRI UCHUNGUZI WA MAITI, KAKA YAKE MAREHEMU PROF SAMWEL WANGWE AMENUKULIWA AKISEMA KUWA NDUGU WAMEFIKIA UAMUZI WA KUTOZIKA MWILI HUO KUTOKANA NA UTATA WA JINSI AJARI HIYO ILIVYOTOKEA, MAELEZO YA ALIYEKUWA NA MAREHEMU BW DEUS MALLYA PAMOJA NA TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI VILIVYO NUKUU SHUHUDA WA KWANZA WA AJILI HIYO ENEO LA PANDAMBILI DODOMA.
Posted by Picasa

July 30, 2008

GADAFI

RAIS GADAFI WA LIBYA, YASEMEKANA NDIYE KIONGOZI ALIYEONGOZA KWA MUDA MUREFU ZAIDI BARANI AFRICA NA PENGINE NI KIONGOZI PEKEE DUNIANI ANAYETUMIA MABINTI AU KINADADA KAMA WALINZI WAKE WA KARIBU AU BODIGADI.
Posted by Picasa

RAVALO - RIGWARIDE

RAIS WA MADAGASKA MAC RAVALOMANANA AKIKAGUA RIGWARIDE.
Posted by Picasa

JK NA RAVALOMANANA

JK akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Madagaska Mac Ravalomanana mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Posted by Picasa

July 29, 2008

BURIAN CHACHA WANGWE

SHUGHURI ZA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA MBUNGE WA TARIME MAREHEMU CHACHA ZAKAYO WANGWE ZINAENDELEA HUKO BUNGENI MUDA HUU. \ RAIS JK ANATARAJIWA KUONGOZA VOINGOZI WA SERIKALI NA WABUNGE WOTE KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA mpiganaji WANGWE KABLA MWILI WAKE HAUJASAFILISHWA KWA MAZISHI TAREHE 31 JULAI HUKO JIMBONI KWAKE. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.
Posted by Picasa

MAMA MARIA

MJANE WA BABA WA TAIFA MAMA MARIA NYERERE AKITOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA BHOKE MUNANKA.
Posted by Picasa

NATAMANI NIJUE WAONGEACHO!!!

Wastaafu Rais Mkapa na Lowassa wwalipokutana ktk msiba wa Mzee Bhoke Munanka.
Posted by Picasa

July 28, 2008

RIP Bhoke Munanka

Mazishi ya Mzee Bhoke Munanka yanatalajiwa kufanyika kesho ktk makaburi ya Kinondoni Jijini Dar, Marehemu Munanka alikuwa ni moja ya mawaziri wa awamu ya kwanza ambaye amefanya kazi na Hayati Baba wa Taifa kwa ukaribu sana. Lakini Mzee huyu atakumbukwa zaidi (japo uwa haisemwi sana ua haijawai kusemwa) kwa uamuzi wake wa kiadilifu wa kuachia madaraka mara mbili (1952 na 1972) ili aweze kufanya shughuri zake za kibiashara hasa pale ilipoenekana kuwa kuna mgongano wa maslai na shughuri ya umma. Kulingana na Mzee Kaduma amabaye amewai kufanya kazi nae anasema huu ni uamuzi wa busara ambao Mzee Munanka aliufanya na ambao kama viongozi wa sasa wanapaswa kuufuta.
Posted by Picasa

July 27, 2008

CITY WATER YABWAGWA TENA

KWA MARA NYINGINE IMIBUKA KIDEDEA ZIDI YA ILIYOKUWA KAMPUNI YA KUSAMBAZA MAJI JIJINI ILIYOJULIKANA KAMA CITY WATER HUKO KTK MAHAKAMA YA BIASHARA YA KIMATAIFA HUKO UHOLANZI CHINI YA KAMPUNI YA UWAKILI YA MKONO & ADVOCATES CO.
Posted by Picasa

ADADI, MAHITA NA MWEMA

IGP Said Mwema akiwa na wastaafu geshi la polisi IGP Omar Mahita na DCI Adadi Rajabu wakti wa kumhaga rasmi Adadi ambaye aliteuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe.
Posted by Picasa

July 25, 2008

HEROES DAY

LEO NI SIKU YA MASHUJAA BONGO.
Posted by Picasa

WAGONJWA WAKOSA HUDUMA THI.

Mkazi wa Zanzibar, Alley Kheir (45) akitolewa katika Taasisi ya Moyo jijini Dar es Salaam baada ya kukosa huduma jana. Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kupitia Mahakama inaitaka Taasisi hiyo kuondoka katika majengo hayo kutokana na mvutano wa ulipaji wa pango.
Posted by Picasa

MAISHA YA VICKY NTETEMA YAKO HATARINI.

BAADA YA KUWAUMBUA WAGANGA (WACHAWI) WANAOTUMIA AU KUAGIZA WATEJA WAO KULETA VIUNGO VYA MAALBINO KWA TIBA NA KUPATA UTAJIRI SASA DADA HUYU SHUPAVU MAISHA YAKE YAKO HATARINI. By Vicky Ntetema BBC News I am living in hiding after I received threats because of my undercover work exposing the threat from witchdoctors to albinos living in Tanzania. Mine is just one life, compared to the several thousand people living with albinism in the country. If nothing is done about this network, they could kill every albino in the country - estimates vary between 4,000 and 173,000. This year, at least 25 people with albinism have been killed, mostly in the Lake Victoria Zone, especially the Mwanza, Shinyanga and Mara areas. They are being killed because local witchdoctors say their body parts provide the potent ingredient for magic charms, which many local people use to bring success in business and love. The bodies are left limbless and sometimes with a huge hole in the neck, from where blood would have been drained. SOMA HAPA. http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/7523796.stm
Posted by Picasa

July 24, 2008

THI NSSF SAGA

Mwenyekiti wa NCCR James Mbatia akimpoza Mjane MARTHA mara baada ya kumkabidhi shs laki moja za kujikimu.
Posted by Picasa

JK AOMBWA KUINGUILIA KATI THI NA NSSF

"Jamani Rais Kikwete okoa maisha ya mwanangu" Mjane Martha Ndunye akitoa machozi kumwomba Rias Kikwete aingilie kati sakata la kuamishwa kwa wagonjwa wa THI na NSSF kwa kudaiwa pango linalofika bilioni 2, mwanangu Kelvin (20) aligunduliwa na matatizo ya moyo akiwa na miezi mitatu tu na nimeangaika naye hospitali nyingi sana bila mafanikio mpaka nilipofika hapa kwa Dr Masau ndipo alipopata nafuu, sasa leo hii mwataka kumfukuza huyu daktari hapa je mwataka twende wapi? au mwataka kuniulia mwanangu pekee? KESHO NDO SIKU YA MWISHO KWA DR MASAU NA WAGONJWA WAKE KUFULUMUSHWA KTK MAJENGO HAYO. kwa wale wenye kumbukumbu hapo ndipo ilipokuwa TAZARA CLUB Ambapo watu walikuwa wanajisha kila wikendi,
Posted by Picasa

July 23, 2008

KUFA KUFAANA KWELI.

DR FERDINAND MASAU MWANZILISHI WA TAASISI YA MOYO (THI) WAKATI THI NA WAGONGWA WAKE WAKIAMRIWA KUONDOKA KTK MAJENGO YA KUKODI YA NSSF, HUKO INDIA AMBAKO NDIKO WAGONJWA WETU UPELEKWA WANAJIVUNIA MAPATO YATOKANAYO NA WANACHOKIITA UTALII WA MATIBABU NA KUWA WANATARAJIA KUINGIZA MABILIONI KIBAO KILA MWAKA. New Delhi: India is set to earn Rs.80 billion ($1.87 billion) a year in foreign exchange from medical tourism by 2012, according to a study by the Associated Chambers of Commerce and Industry of India (Assocham).

India's medical tourism can become a lead foreign exchange earner and the earnings will grow from the existing Rs.35 billion annually to Rs.80 billion a year by 2012, Assocham president Venugopal N. Dhoot said.

Posted by Picasa

WATOTO TUWAMBIE UKWELI JAMANI!

A small girl walks-in while her father is dressing in the bedroom. She looks at his privates and points at his person and asks"Dad what's that thing between your legs?" Dad replies "Idon't know". She goes to kitchen and finds her mum "Mum what isthat long thing between dad's legs?" The mum instead of explainingthings to her she replies "I don't know" A week later when the mum was coming from work the little girl runs toher and says "Mum you refused to tell me the name of that thing betweendad's legs. I have finally figured it out on my own.IT'S A TOOTHBRUSH". The mum laughs then asks her "How do u know that?"The girl explains "....when I came back from pre-school this morning Isaw the maid kneeling in front of dad, brushing her teeth with dad's toothbrush and sure enough there was TOOTHPASTE in her mouth ".
Posted by Picasa

PROF LEMBARITI

PROF BAKARI LEMBARITI, MUHAS DEPUTY VICE CHANCHELLOR, (Planning, Finance and Adm)
Posted by Picasa

WE KIPANYA WEWE!!!

MWENZIO KAJINYAMAZIA WEYE WAMCHOKOZA!!!
Posted by Picasa

July 22, 2008

MISS TZ KAMBINI

MAMISS WAKIWA KTK KAMBI TAYARI KWA MAANDALIZI YA KINYANGANYILO HICHO SUUUN.

NOTI YA BILLION MIA!!!!

ZIMBABWE SASA NI NCHI YA MABILIONEA, YAANI UKIPATA KANOTI KAMOJA KAMA HALA KALIKOTOLEWA JANA NA BENKI KUU YA MUGABE WE NI BILIONEA, FIKILIA NOTI NGAPI ZAWEZA KAA KATIKA WALETI YAKO? KAMA MIA BASI MARA BILIONI MIA WE SI HABA ATI.
Posted by Picasa

ZIMBABWE- MUGABE, TSVANGIRAI WATIA SAHIHI.

WAKATI BENI KUU YA ZIM IKITOA NOTO MPYA YA ZIM DOLLAR BILLION MIA MOJA NA KUTANGAZA MFUMUKO WA BEI WA ASILIMIA MILIONI MBILI NA USHEE, WAHASIMU WAKUU WALIKUWA WAKIKUTANA KUTIA SAHIHI MUAFAKA WA MWANZO WA MAZUNGUMZO ILI KUWEKA MAMBO SAWA NCHINI UMMO AMBAKO SASA MKATE TU WAGHARIMU KIASI CHA ZIM DOLA MILION 900. HARARE, Zimbabwean President and ZANU-PF leader Robert Mugabe (L2 Front), leaders of two factions of the opposition Movement for Democratic Change (MDC) Morgan Tsvangirai (R2 Front) and Arthur Mutambara (L1 Front) attend the signing ceremony in Harare, capital of Zimbabwe, July 21, 2008. Zimbabwe's ruling ZANU-PF and the two factions of the opposition Movement for Democratic Change (MDC) signed here Monday a deal, paving the way for formal talks to end the political crisis in the country. South African President Thabo Mbeki oversaw the signing of the Memorandum of Understanding (MOU) between Robert Mugabe and the leaders of the two MDC factions, Morgan Tsvangirai and Arthur Mutambara, at Rainbow Towers Hotel in Harare. (Xinhua)
Posted by Picasa

July 18, 2008

Nelson Mandela at 90.

Happy 90Birth Day the greatest man of the century and true icon Nelson Mandela, we realy proud of you Madiba, may the almighty grants you more 90yrs. HAKIKA MZEE MADIBA NI MMOJA KATI YA VIONGOZI WA KARNE TOKA AFRICA AMBAO NI MFANO WA KUIGWA. SI RAIHISI SANA KUMWELEZEA MZEE MANDELA UKAMMALIZA NA HASA KTK KABLOG KAMA HAKA, LAKINI ITOSHE KUSEMA KUWA HUYU NI MMOJA YA VIONGOZI WACHACHE SANA DUNIANI NA BARANI AFRICA AMBAO UNIFANYA NITEMBEE KIFUA MBELE NA KURINGIA UAFRICA WANGU,
Posted by Picasa

MUHAS HOSTELS INATISHIA MAISHA!!!

Chakula chapikwa karibu kabisa na vyoo vilivyo kulia. KABLA YA KUINGIA CAFETERIA WAKUTANA NA VITUUZI MLANGONI.
BAFUNI NAKO NI BALAA.
NA HAPA NDIPO WANAPOZALISHWA WATAALAMU WETU WA AFYA KATIKA MAZINGIRA YASIYO YA AFYA, KWA MAANA YA MADAKTARI PAMOJA NA WAUGUZI KILA MWAKA.
Posted by Picasa

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...