October 29, 2011

Nape Nnauye, Six Mapunda watembelea Ubalozi wa Tanzania Washington Dc


Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape  Nnauye na Katibu Msaidizi Six Mapunda wakiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mwanaidi Maajar, alipofika katika ofisi za Ubalozi wa Tanzania mjini Washington, DC. Kulia ni Ofisa Ubalozi huo Suleiman Saleh. 

Yanga Hureeeeeeeeeeeeeeeeee

Yanga Afrika leo hii imewachapa mahasimu wao wakubwa Simba Sports Club bao moja bila katika mchezo wa ligi kuu ya vodacom katika Uwanja wa Taifa.

Cheka unenepa- Kibaki Raila Shairi on Katiba

Twiga Bancorp katika maonesho ya Miaka 50 ya wizara ya Fedha.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Twiga, Hussein Mbululo (kulia) akitoa maelezo ya huduma mbalimbali zitolewazo na Benki hiyo wakati wa Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha na kushirikisha taasisi zake zote. Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Manazi Mmoja jijini Dar es Salaam

Ofisa Masoko wa Twiga Bank, Adelbert Archard  akitoa akiwagawia wanafunzi vipeperushi na kuwapa maelezo juu ya Akaunti maalum ya Akiba kwa watoto , walipotembelea banda la Benki hiyo wakati wa Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru yaliyoandaliwa na Wizara ya Fedha na kushirikisha taasisi zake zote. Maonesho hayo yanafanyika katika viwanja vya Manazi Mmoja jijini Dar es Salaam

Taswira toka Lagos kwa mujibu wa kamera yetu.
Google+ Followers

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...