August 10, 2011

Mti mkavu aagwa, JK aongoza waombolezaji

Amiri Jeshi mkuu Rais Jakaya Kikwete akitoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Luteni Jenerali Silas Mayunga "Mti Mkavu"
Mwili wa Luteni General Silas Mayunga unatarajiwa kusafirishwa kesho kuelekea Maswa mkoani Shinyanga ambapo mazishi yanatarajiwa kufanyika keshokutwa. 


Wasifu wa "Mti Mkavu"

Luteni Jenerali Silas Peter Mayunga alizaliwa Maswa, Shinyanga mwaka 1940. Alijiunga na Jeshi la Tanganyika Rifles Januari 10, mwaka 1963, baada ya kumaliza elimu ya sekondari katika Shule ya Sekondari ya Bwiru, Mwanza.
 
Alihitimu kozi ya Uofisa wa Jeshi Julai 26, 1963, nchini Israel, akahitimu kozi ya Unadhimu na Ukamanda wa Jeshi mwaka 1973 nchini Canada na kuhitimu kozi ya Ukamanda wa Juu wa Jeshi mwaka 1974 hapa nchini.

Alipandishwa cheo na kuwa Luteni Jenerali Juni 21, mwaka 1995 na kabla ya kustaafu jeshini Desemba 31, 1995, alipata kuwa Mkurugenzi wa Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi, Mkurugenzi wa Tawi la Mafunzo Makao Makuu ya Jeshi, Kamanda wa Brigedi ya 202 ya Tabora, na Kamanda wa Divisheni za 20 na 30 za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

Jenerali Mayunga alishiriki kikamilifu Vita Dhidi ya Iddi Amin katika Operesheni Chakaza ambako alikuwa Kamanda wa Brigedi ya 206 na baada ya hapo kuwa Kamanda wa Kikosi Maalum cha JWTZ nchini Uganda kati ya 1979 na 1980.

Mbali na jeshi, Jenerali Mayunga alitumikia umma kama Mkuu wa Mkoa wa Singida mwaka 1977 – 1978, Katibu wa Chama wa Mkoa wa Kilimanjaro 1983-1988, Balozi wa Tanzania katika Nigeria kati ya 1989 hadi 1998 na Balozi wa Tanzania katika DRC kati ya 1998 na 2002 alipostaafu utumishi wa umma.         

RIP Mpiganaji na shujaa Jenerali Mayunga

KWI, KWI, KWI, KWIII, CHEKA KWA AFYA.


Two men, one American and an Indian were sitting in a bar and discussing about their family problems..
Shot after shot
The Indian man said to the American, We have problem in India. We cant marry the one whom we love. 
You know my parents are forcing me to get married to this so called homely girl from a village whom I haven't even met once.
We call this arranged marriage. I don't want to marry a woman whom I don't love...
I told them that openly and now have a hell lot of family problems.
The American said, talking about love marriages...
In America We can marry the one whom we love I'll tell you my story.
I married a widow whom I deeply loved and dated for 3 years.
After a couple of years, my father fell in love with my step-daughter and married her, so my father became my son-in-law and I became my father's father-in-law.
Legally now my daughter is my mother and my wife my grandmother.
More problems occurred when I had a son. My son is my father's brother and so he is my uncle.
Situations turned worse when my father had a son.  Now my father's son, my brother is my grandson.
Ultimately, I have become my own grandfather and I am my own grandson.
And you say you have family problems.
The Indian fainted........!!!


Kuna mdau kanforwadia hii, nimecheka mpaka basi.

VODACOM MISS TANZANIA TOP MEDOL


 Warembo 5 kati ya 30 wanaowania taji la Vodacom Miss Tanzania 2011, ambao wamefanikiwa kuingia fainali za kusaka taji la TOP MODEL wakiwa wamejipanga mbele ya majaji baada ya kufanikiwa kuingia katika hatua hiyo usiku wa Agosti 9,2011 katika Hotel ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam. Mshindi wa taji la TOP MODEL atajinyakulia tiketi ya moja kwa moja ya kuingia Nusu Fainali ya Vodacom Miss Tanzania 2011.


Picha kwa hisani ya Father Kidevu.

Issue bongo ni wauza mafuta - mkwara wao (24hrs), mgomo na hatimaye mkwara wa Serikali

Vyombo vya habari vyoote nchini issue ni moja tu, MAFUTA,

Guardian linasema - At last Government, Ewura act
 Give oil dealers a day to normalise supply
  Four firms named as masterminds of crisis
  TPDC affiliate licensed to import, sell oil



Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) yesterday issued a 24-hour compliance order to four giant oil marketing companies masterminding the current fuel crisis, which has almost ground transport operations.
The move came as Members of Parliament debated the crisis under a certificate of urgency, calling for emergency action to remedy the country from the debilitating crisis, largely pioneered by what was described as a syndicate of big oil marketing companies operating in Tanzania.
“They have to resume services immediately. The compliance order must be respected by these companies, otherwise they will face the wrath of the law,” Ewura Director General, Haruna Masebu told a news conference.

Daily News lasema - 





THE Government through Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) has slapped compliance orders to four major oil companies that have been identified as engineers of the ongoing fuel crisis to resume operations immediately.

Delivering the government's statement in the National Assembly on Tuesday, the Minister for Energy and Minerals, Mr William Ngeleja, named the operators as BP Tanzania, Engen Petroleum Tanzania, Oil Com and Camel Oil.


Th Citizen linauliza - MPs: Where is the govt?


Parliament took the government to task yesterday over its handling of the fuel crisis, with MPs warning that the country could be grounded. This could spark off public riot, they said.

Energy and Minerals minister William Ngeleja told the House later that the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (Ewura) director general had signed a compliance order requiring retailers to implement the authority’s directives on prices unconditionally.  The order is equivalent to a High Court decree.

Nipashe linapasha -  Mafuta yaitesa serikali

Wafanyabiashara ya mafuta wamechafua hali ya hewa nchini na sasa Bunge nalo limeibuka na kuiburuza serikali sawasawa kwa kushindwa kuwadhibiti wafanyabiashara hao ambao wameleta mtafaruku mkubwa kwa kutibua mfumo wa usambazaji na uuzaji wa nishati ya mafuta nchini.
Kutokana na hali hiyo, wabunge jana bila kujali tofauti zao za vyama, waliibana serikali na kutaka wafanyabiashara ya mafuta nchini kurejesha huduma hizo mara moja, vinginevyo wanyang’anywe mara moja leseni endapo watakaidi agizo hilo.
Habari Leo lajinadi  - Wauza mafuta wabanwa, watakiwa kujieleza 


MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetaka kampuni nne kubwa za kuuza mafuta kuanza usambazaji na uuzaji wa mafuta hayo mara moja na kuzipa saa 24 kujieleza kwa nini zisichukuliwe hatua kwa kuvuruga mfumo wa usambazaji mafuta nchini.
 
Hayo yalibainishwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Haruna Masebu, alipozungumza na wahariri wa vyombo vya habari, Dar es Salaam na kutaja kampuni hizo kuwa ni Engen Petroleum Tanzania Limited, BP Tanzania Limited, Oil Com na Camel
Mwananchi limoteka na -  Wauza mafuta wapigwa kitanzi 


MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), imetoa amri kwa kampuni nne kubwa zinazosambaza mafuta kurejesha huduma hiyo mara moja huku ikizitaka kujieleza, kwa nini zisichukuliwe hatua za kinidhamu kwa kushindwa kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa leseni zao za biashara.
 
Kampuni hizo ni pamoja na BP ambayo Serikali inamiliki nusu ya hisa pamoja na Engen, Oil Com na Camel. Mbali ya maagizo hayo mawili, Ewura pia imezitaka kampuni hizo kuhakikisha kwamba zinaendelea kutoa huduma hiyo bila kubughudhi mfumo wa usambazaji mafuta nchini.
Tanzania Daima laibuka na - Wauza mafuta wazidi kuivimbia serikali 


WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja, ameingilia kati mgogoro wa Mamlaka ya  Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na wafanyabiashara wa mafuta  akiyataka makampuni hayo kutii sheria za nchi badala ya kulumbana na serikali.
 
Kauli ya waziri huyo imekuja wakati ambao wauzaji wengi wa mafuta wakikaidi kutoa huduma hiyo kwa visingizio mbalimbali ikiwemo kwisha kwa bidhaa huku wengine wakidai kuharibika kwa vitendea kazi.
 
Akizungumza na Tanzania Daima kwa njia ya simu jana kuhusu suala la mafuta ambalo linashughulikiwa na Ewura, Ngeleja alisema hatua ya makampuni hayo kukaidi maagizo waliyopewa hivyo kusababisha mjadala mkubwa nchini haitoi picha nzuri kwa wananchi zaidi ya usumbufu kwao.
 
"Nayataka makampuni ya mafuta kutii sheria za nchi wakati yakiendelea na biashara zao kuliko kuitunishia misuli serikali"hata hivyo nayapongeza na kuyashukuru makampuni yaliyoendelea kutii kauli ya Ewura kwa kuuza mafuta kwa bei iliyopangwa na serikali na mambo mengine," alisema Ngeleja.
Uhuru wanasema - Sakata la mafuta Serikali yawaka 


SERIKALI imetoa saa 24 kuanzia jana kwa kampuni za mafuta nchini ambazo zimeficha mafuta kwenye maghala yao, kuyatoa na kuyauza kwa wateja. Pia, imeyataka kutoa maelezo ni kwanini yasichukuliwe hatua ikiwemo kufutiwa leseni za biashara kwa uamuzi wa kugoma.

Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, alisema bungeni jana kuwa tayari hatua kadhaa zimechukuliwa ikiwemo kutoa leseni kwa kampuni tanzu ya TPDC ya COPEC, ambayo inamilikiwa na serikali.
Clouds FM - Serikali yatoa kauli kutatua tatizo la mafuta nchini 

Baada ya Umoja wa Wafanyabiashara ya Mafuta Nchini (TAOMAC) kugoma kuuza mafuta kupinga kitendo cha Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kushusha bei serikali imeipa leseni kampuni tanzu ya Shirika la Petroli Tanzania (TPDC) ,COPEC kuanza kufanya biashara ya mafuta



Nimejaribu kutafuta kilichopostiwa katika electronic media zetu, lakini sijafanikiwa, nyingine nimekuta taarifa ambazo kwakweli sijui ni za lini

Cheki hizi -

TBC 

ITV

STAR TV


Kenyan prison guards shoot cameraman, attack crew


Prison officials in western Kenya attacked three journalists from private broadcaster Nation Television (NTV) on Sunday who were covering an escape attempt by six inmates, local journalists told CPJ.
A guard from Eldoret GK Prison shot at cameraman James Ng'ang'a, destroying his camera equipment and injuring two of his fingers, the reporter told CPJ. He had been filming prison guards beating his colleagues, NTV reporters Jared Nyataya and Barnabas Bii, who were covering attempts to recapture the escaped inmates who had hidden in a nearby church, he said.
The prison guards attacked the NTV crew despite receiving orders from a senior prison officer to allow the journalists to carry out their work, local reports said. Prison Commissioner Isaiah Osugo told NTV on Monday that the incident was being investigated.

"James Ng'ang'a could have lost his life over the violent and totally unjustifiable actions of the prison officials," said CPJ East Africa Consultant Tom Rhodes. "This should be investigated and prison officials should be prosecuted if found guilty of any illegal conduct."
Ng'ang'a went to Eldoret Hospital to get medical treatment for his hand and filed a police report at Eldoret Police Station, he said. "I just noticed my camera wasn't working and then looked down to see my fingers were bleeding after the bullet shattered my camera."
In June, four state employees working for Wajir District Hospital in eastern Kenya attacked Wajir Community Radio journalist Abdi Hassan Hussein for interviewing patients who complained of poor treatment at the facility.

Hii yanikumbusha ileeee ya Mpoki Bukuku na wenzake, hivi kesi imeisha???? 

read more.. 

COMPUTER ROOM! nani anazikumbuka?

Wakti uleee zilipokuwa zinaiingia hapa nchini na kuanza kutumika kwenye baadhi ya office kulikuwa na chumba maalumu full air conditioned kwaajili ya PC, watu maalumu tu ndo waliokuwa wanaruhusiwa kuingia, na hii ni mpaka miaka ya karibuni hapa, nakumbua nilikikuta pale TSN. Hivi sasa hali ikojeee?

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...