September 30, 2007

Wadau naomba radhi kwa kutowaletea au kupost picha mpya hasa za mshikaji "NYEPESI" akifanya vitu vyake mtaani au za madent UDSM kwani niko HONEY MOON naahidi pindi niliripotipo kwa ofisi nitawapatia mpya mpya kadiri zinavyojili. Asanteni sana.

September 21, 2007

SAKATA LA RADAR BADO BICHI KABISA......... BAE in spotlight over Tanzania radar deal BAE Systems faces fresh controversy over foreign arms sales after Tanzania’s top corruption investigator said he expects to seek criminal charges within weeks in relation to the country’s purchase of a £28m radar system from the company. The World Bank objected to the sale – which came as Tanzania was granted debt relief of $2bn – and Clare Short, UK international development secretary at the time, opened a rift in the British cabinet with an unsuccessful attempt to block it. SFO investigators visited Dar es Salaam, Tanzania’s capital, last year and interviewed Mr Vithlani and Tanil Somaiya, his former business partner. Ms Garlick said: “We have nothing but respect for the integrity and persistence of the PCB. We have been working closely with them and will continue to do so.” A company spokesman said: “BAE Systems continues to fully co-operate with the SFO Investigation. As this is a continuing criminal investigation, it would be inappropriate for us to comment on the substance of the investigation. This cannot of course be taken as any kind of admission.” Lawyers for Mr Somaiya said he ceased being a shareholder and director of Merlin International on January 8. They said: “Our client had no prior knowledge and was not aware of the alleged $11m commission payment by BAE to Vithlani or at all.” At the office of Vithcorp Food Packers in Dar es Salaam, staff said Mr Vithlani, the owner and holder of a UK passport, was out of the country. He did not respond to a request for comment. BY FINANCIAL TIMES.

September 20, 2007

Kwaheli Kamanda..
Mnadhimu wa Jeshi Mstaafu Luteni Gau akitia sahihi kitabu cha tanzia, Wadau naomba mnikumbushe kwa wale wenye kumbukumbu sahihi, marehemu ambaye alikuwa msimamizi mkuu wa ujenzi upya wa daraja la mto kagera mara baada ya kuvunjwa na majeshi ya nduli idd amini dada yasemekana ujenzi wake ni historia kwa kuchukua muda mchache na atimaye kuleta ushindi upande wetu. Swali Je ilichukua muda gani ujenzi huu hata kupitisha vifaa vya kivita?
TANZIA Brigedia Jenerali Mohamed Rajabu aliyekuwa injinia wa ujenzi wa daraja la mto kagera wakati wa vita na Nduli idd amini amefariki dunia trh 17.09.07 nyumbani kwake Dar, Upanga na anatarajiwa kuzikwa leo kwao Moshi. Mungu aiweke roho ya marehemu maala pema popeni.

September 17, 2007

Time to Go, Generali Mtaafu Waitara mara baada ya kupokea salam ya heshima toka kwa Gwaride rasmi la kumuaga leo asubui.
Mkuu wa Majeshi Generali Davis Mwamunyanje akipokea saluti toka vikosi vya jeshi wakti wa kumuhaga General Waitara.
Mkuu wa Majeshi Mstaafu General Waitara akiaga rasmi na kukabidhiwa kitambulisho maalumu cha Uraiani aendako na Mkuu wa Majeshi Mteule General Mwamunyange leo asubui.

September 16, 2007

Hii ni Mizizi ya polini inapakina mkoani Mtwara tu. swali kwa wabongo waishio ughaibuni Je mizizi hii yaitwaje?
Makamu wa Rais Dr Shein na ujumbe wake wakiomba dua pamoja na Mbunge wa Mchinga Mudhihir Mudhihir alipoenda kumjulia hali wardin MOI alikolazwa.

September 15, 2007

msomaji uko huru kuipa maelezo picha hii.. je majenerali wanamwambia nini waziri wao?
General kama watoa kofia nami natoa pia.....
Hongera sana General.... JK akimpongeza Mkuu mpya wa Majeshi pembeni ni Mama Mwamunyange.
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Jakaya Kikwete leo hii amewapandisha vyeo Davis Mwamunyange kuwaGeneral na Kumwapisha kuwa Mkuu wa Majeshi na Abdulahman Shimbo kuwa Luten Generali na kuwa Mdadhimu Mkuu wa Majeshi ktk viwanja vya Ikulu.

September 13, 2007

Mapato si haba ati!! mia sita M zote mhh''' ila ni nini kilitokea ktk mechi ya kwanza na waganda hata kupata 234m tu? na watu walikuwa karibia sawa na waliokuwa ktk mechi hii? au ni tishio la wadau wakiongozwa na wabunge wa dar kutaka kupata ufafanuzi mapati yale au ni vijana wa Hosea waliwakalia kooni hata kushindwa kupika mahesabu ya kiingilio? maswali ni mengi kwani hata tofauti ni kubwa mnooooooo jamani zaidi ya 400M si pesa ndogo hiyo ati..........tusubiri tu muda utasema.
HALI ni Shwari...... Serikali jana ilitangaza adhari ktk maeneo ya Pwani kufuatia tishio la tsunami ambalo limezikumba nchi za Indonesia na kuua watu kadhaa, hali ni shwari kabisa hadi kufika leo asubui na wavuvi wanaendelea na shughuri zao ka kawaida.

September 9, 2007

Mroki Mroki al-maarufu "Father Kidevu" au mwana blog maarufu pia Hatimaye afunga pingu za maisha na mtoto wa kinyalu, wakti wabongo wengi wako ktk uzuni ya kupigwa bao na musumbiji mbele ya mashabiki lukuki, kidevu ye ndo kwanza aenda zake ktk "mwezi wa asali". Hongera sana Father Kidevu.

September 7, 2007

Hii ni Homa ya Mechi ya Leo kati ya Mozambique na Taifa Stars,
Wapenzi wa mpira wengine toka mikoani wamekuja kwa ajili ya mechi hii muhimu, hakika sasa wabongo wanaipenda timu yao.
Tatizo liko ktk tickets watu wamefika toka saa kumi na moja Alfajili kwenye baadhi ya vituo vilivyopangwa kuuza tiketi lakini saa mbili vilipofunguliwa ikawa ni zile za 10,000 hadi 50,000 zilizokuwa zikiuzwa na kuwa za 3000 zitauzwa saa nane,
wapenzi ambao wengi ni kipato kidogo pamoja ni kuwai kote uko bado hawakuwa wamepata tiket hadi kufika saa saba.
Mungu Bariki Taifa Stars, Mungu Bariki Tanzania.
Jezi hizi zimeuzwa leo kama njugu,
Wapenzi wakilalamikia utaratibu wa kuuza ticket.

September 6, 2007

HII ni Ndani ya Ntwara, mkoa huu waongoza kwa mimba za watoto wasichana wadogo kitaifa, iko aja ya juhudi za makusudi kufanyika kunusuru hali hii.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...