July 30, 2010

Hakuna wa kulaumiwa kifo cha WP Suzan - Ripoti

Police have said that there is no one to blame for the death of policewoman WP7338 Suzan (22), who shot herself recently after she allegedly misdirected President Jakaya Kikwete’s motorcade in Mara Region.

Reports said Suzana decided to shot herself out of frustration shortly after she returned to her working centre at Tarime police station allegedly for turning the motorcade into the wrong direction.

Acting police spokesperson Advera Senso told journalists in Dar es Salaam that the probe team formed to investigate into her death had found out that Suzan decided to take her own life.

source: Guardian

Twajua ama ndivyo tulivyoambiwa kwamba alijiua, lakini tume si ilipashwa kutueleza kile kilichopelekea WP Suzan kuchukua maamuzi yale tena ofisini kwa bosi wake?

maswali yalikuwa ni mengi sana lakini nadhani tume imejibu kirahisi sana.

July 26, 2010

Time for sharing

There is nothing I enjoy most like sharing little knowledge, experince and or skills that I have with other, here was doing presentation in Mwanza to the Members of MPC in collaboration with Union of Tanzania Press Clubs.

Tom and Jenny book kibongobongo kipo madukani

Nimepata ujumbe toka kwa wadau wa baseline wakitaka kuwajuza wadau juu ya comic book ya Tom and Jenny ambayo sasa yapatikana madukani.
Salaam Kutoka Dar es Salaam,
Habari za kazi na pole mwa mihangaiko.
Naomba msaada wa kuweka HABARI inayohusu kitabu chetu cha sanaa cha comic kinachoitwa TOM & JENNY IN TANZANIA ambacho kiko attached kwenye email hii kwenye format ya GIF. Tutashukuru sana kama utaki-post kitabu chetu ambacho kilikuwa kinasubiriwa kwa muda mrefu, ili wasomaji wa blog yako wajue kwamba sasa kitabu kimetoka na wanaweza kukipata jijini Dar es salaam na vilevile tunaweza kuwatumia wasomaji walio nje ya Dar es salaam na Tanzania kwa ujumla.
Natanguliza shukrani zetu za dhati, na hongera kwa kazi nzuri yenye ubunifu wa hali ya juu.
Joe
Baseline Afrika - Tanzania.

July 25, 2010

The Joy of blogging

From Tanzania all the way to South Africa, Norway, Netherlands, Oman, USA and the world people are following Bongo Pix, this is the joy of blogging where fisical boundaries are no longer matter,
Globe citizens are now free, I think than ever bofore, to share and exchange views from one part of the world to the other instantily.
The Live activity feeed shows that.

Bongo Pix: Natamani OLD DAR ama NEW Dar

Bongo Pix: Natamani OLD DAR ama NEW Dar: "Yawezekana nikaonekana mshamba, ama wengine kuniita wakuja au hata kudiriki kusema nimepitwa na wakati na labda kunibandika majina ya kila a..."

Natamani OLD DAR ama NEW Dar

Yawezekana nikaonekana mshamba, ama wengine kuniita wakuja au hata kudiriki kusema nimepitwa na wakati na labda kunibandika majina ya kila aina, wacha waseme ama wanikandie potelea mbali, lakini ukweli ni kwamba mwenzenu natamani sana pawe na Old Dar ama labda NEW DAR.
Ndio Dar ya zamani au labda New Dar natamani sana iwepo moja wapo, sio kwamba niko ndotoni, hapana, sioti wala sijalala, bali ndo natamani iwe hivyo.
Baadhi ama pengine wengi wetu Dar hii iliyopo imetuchosa, aina raha tena kukaa, ila twakaa tufanyeje, ndo twatafutia mkate wa kila siku, lakini waaama ipo siku kama Dar itaendelea kuwa hivi ilivyosasa nitaiama bila taarifa na mipango iko mbioni, kama hauamini shauri yako.
Kuna kero nyingi sana jijini kuliko mikoa mingine yoyote hapa Bongo, kuanzia barabarani, uwe na gari kero usiwe naro taabu, ukija kwa usafiri wa umma ni kasheshe, hakuna nafuu ya kukodi TAXI wala kupanda Daladala, sio siri wakazi wengi wa jijini hupoteza masaa mengi kwenye foleni ama kuziwazia tu kuliko kufanya kazi, ukija kwa DAWASCO na TANESCO ni balaa tupu,
wengi wetu hatuwezi kuondoka kwani ndo mitego yetu iliko tegwa.
kibaya zaidi watu wanazidi kuja kila uchao tena kwa wingi, hakuna uwiano wa ukuaji wa jiji na hupatikanaji wa huduma muhimu ama uboreshaji wa miundombinu, hii inasikitisha sana, zaidi ya yote wataalamu wetu jiji ama mipango miji hawana njia mbadala ya kukabiliana na changamoto zooote, badala yake leo hii bado wanaruhusu ujenzi holela wa migorofa katikati ya jiji pasipo kufahamu kuwa wanaongeza msongamano wa watu na magari site senta.
Unapovunja nyumba ya kawaida iliyokuwa ikitumiwa na familia moja ama mbili na kujenga jengo la ghorofa 10 mpaka 20 maana yake ni nini kwa ongezeko la watu jijini?
Sio siri mwenenu natamani sana New Dar es Salaam.

Ndani ya Shy,

Ndo tumewasili Shinyanga ama wenyewe waniita "Shy",
Japokuwa ndivyo wamezoea kuiita hivyo lakini nathani pana tatizo na hilo jina, kwa wanamuonea nani aibu hasa? wanaopora Almasi zetu au nani? nathani pana tatizo, panapomajariwa mara nipatapo full mkanda basi utawekwa hadharani, tuombe uhai.
Ratiba ilikuwa tuende kwa watani zangu "mapanga shaaa" lakini kutokana na sababu za kiufundi zaidi imebidi tuje hapa, bila shaka tutapata ushirikiano wa kutosha kama wa ndugu zao Mwanza.
Lets hope for the best.

July 19, 2010

Rock City Flowers, View and Sato

Rock City flowers at Malaika Resort,
Sato dish at Tilapia,
and Magnificence view of Rock city complements it all.
Yaani ka nisiondoke MZA vile!

July 14, 2010

Ati DAWA IMEPATIKANA?????? duhh

WAKATI wanasayansi waliogundua dawa ya Ukimwi wakiweka bayana jinsi inavyofanya kazi mwili kupambana na ugonjwa huo, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa amemshukuru Mungu kwa taarifa za ugunduzi wa dawa hiyo.Taarifa ya kupatikana kwa dawa hiyo zilitangazwa mwishoni mwa wiki na wanasayansi wa Taasisi ya Magonjwa ya Kuambukiza na Mzio (Niaida) ya Marekani, akisema kuwa tiba hiyo inaweza kutibu ugonjwa huo hatari kwa asilimia 90, kiwango kinachoiweka dawa hiyo kwenye uwezekano mkubwa wa kupitishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) na hivyo kuanza kutumika rasmi.
Dawa hiyo huchochea mwili na kuuongoza katika kujitengenezea aina ya chembechembe za kinga zenye uwezo wa kukabili virusi vya ukimwi. Chembechembe hizo zimepewa jina la kitaalamu la VRCO1 na VRCO2 ambazo utafiti wake umeonyesha kuwa zinaweza kuvikabili virusi vya Ukimwi kwa asilimia 90.
source:Mwananchi

Tuko ndani ya ROCKY CITY

Ile Coaching ya photojournalism kwa waandishi wa mikoani inaendelea, na sasa timu ya FTMT iko ndani ya jiji la Mwanza, leo ndo siku ya kwanza baada ya hapa tutaelekea kwa watani zetu Mara, well its time to enjoy fresh fish from Lake Victoria.

July 12, 2010

Pweza PAULO, Mikia 8, tabiri sahihi 8

Pweza Paul ambaye sasa anadaiwa kuwa na dhamani ya Pound za Uingereza 500,000/- anaweza kuwa mdudu ghari na maharufu sana duniani kwa sasa pengine kuliko mnyama yoyote kwa karne hii.
Paulo, mwenye umri wa miaka 2 ameombewa hifadhi ya kisiasa huko Spain baada ya jamaa kutishia kumfanya TANDORI CALMARI
Tabiri za Paulo toka Euro 2008 hadi WOZA 2010 kwa Timu ya Ujerumani na Fainali za WOZA.
Opponent↓Stage↓Date↓Prediction↓Result↓Outcome↓
Polandgroup stage8 June Germany2–0Correct
Croatiagroup stage12 June Germany[2][21]1–2Incorrect
Austriagroup stage16 June Germany1–0Correct
Portugalquarter-finals19 June Germany3–2Correct
Turkeysemi-finals25 June Germany3–2Correct
Spainfinal29 June Germany[2]0–1Incorrect
World Cup 2010
Opponent↓Stage↓Date↓Prediction↓Result↓Outcome↓
Australiagroup stage13 June Germany[30]4–0Correct
Serbiagroup stage18 June Serbia[30]0–1Correct
Ghanagroup stage23 June Germany[30]1–0Correct
Englandround of 1627 June Germany[31]4–1Correct
Argentinaquarter-finals3 July Germany[24]4–0Correct
Spainsemi-finals7 July Spain[32]0–1Correct
Uruguay3rd place play-off10 July Germany[33]3–2Correct
Teams↓Tournament↓Stage↓Date↓Prediction↓Result↓Outcome↓
Netherlands vs. Spain World Cup 2010final11 July Spain[34]0–1Correct

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...