Taarifa zilizotufikia ni kuwa Waziri Mkuu Mstaafu al maarufu Simba wa Vita amefariki leo asubui ktk Hospitali ya Muhimbili alikolazwa jana baada ya kuzidiwa, viongozi mbalimbali walipata nafasi ya kumtembelea jana hiyo wakiongozwa na Rais JK na Mama Salma. Mungu ilaze Roho ya marehemu mahala pema peponi.
Wasifu wa Mzee Kawawa:
Mzee Kawawa alizaliwa tarehe 27 mwezi Mei 1926 ktk Kijiji cha Matepwende, Songea, Mkoani Ruvuma. Alikuwa Waziri Mkuu wa Pili wa Tanganyika 1962 baada ya Mwalimu Nyerere na Waziri Mkuu wa Kwanza wa Tanzania 1972 - 77, akifuatiwa na marehemu Sokoine.
soma wasifu hapa
Mr. Kawawa was born on 27th May, 1926 in Matepwende, Songea Ruvuma Region. He was the 2nd Prime Minister of Tanganyika (1962) and the 1st Prime Minister of Tanzania (1972-77). He was preceded by Mwl. Nyerere and succeded by Mr. Sokoine. Kawawa was the effective ruler of the country from January to December 1972 while Julius Nyerere toured the countryside. Kawawa was a strong advocate of economic statism. Kawawa remains a behind-the-scenes influence on the Tanzanian political process.
No comments:
Post a Comment