March 30, 2010

Shule za Bongo ktk Karne ya 21,

Hii ni Shule ya Msingi Ilala iliyopo Iringa Mjini ni mita 400 tu toka Afisi ya ARASII, ina wanafunzi 685 wanaokaa chini ni 485,
Picha na Frank Leonald.

Mpendazoe wa CCM awa wa kwanza kutimkia CCJ

F Mpendazoe Mbunge wa Kishapu Fred Mpendazoe akitangaza kikiama rasmi CCM na kujiunga na CCJ ktk ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO leo hii, wengine ni Katibu Mwenezi CCJ Dickson Nghilily (L) na Afisa Habari wa MAELEZO Mwirabi Sisse.

Hili lilishauzwa au bado latafutiwa mteja?

Basi hili liko katika moja ya yadi ya magari huko Ilala, Je kuna taarifa zozote kuhusu USAFIRI HUU wa wanajangwani? katika yadi hii limetunzwa au latafutiwa mteja?
Madega au Sendeu naomba mtujuze juu ya basi hili, twaomba taarifa zake tafwazaliiiii.

March 29, 2010

Mtoto wa Mkulima yuko Vietnam

Mtoto wa Mkulima akikadua Gwaride la heshima.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea maua kutoka kwa mtoto wa Vietnam wakati alipopokelewa rasmi kwenye viwanja vya Ikulu ya Hanoi , Machi 29, 2010 kuanza ziara yake ya kikazi nchini Vietnam. Kulia ni mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Vietnam, Nguyen Tan Dung.

Mama Salma ziarani Mara

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasalimia mamia ya wananchi wa kijiji cha Nyamuswa, wilayani Bunda mkoani Mara, wakati akielekea mjini Bunda kukagua shughuli mbalimbali za akinamama wajasiriamali wilayani humo Mkurugenzi Mkuu wa Singita Grumeti Reserves Bwana Graham Ledger,kulia, akikabidhi hundi ya shilingi milioni tano kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete kwa ajili ya kazi za taasisi ya WAMA. Makabidhiano hayo yalifanyika katika hoteli ya Grumeti iliyoko katika hifadhi ya Serengeti

Wikend ilikuwa bomba sana,

Wikendi hii ilikuwa bomba sana na kufanya J3 kuwa white monday, hasa baadaya ya kalamu za mabao toka kwa chama hizo mbili.
Swaaafi kabisa.

TAFSIRI KWA NJIA YA GOOGLE - CHEKA UNENEPE KIDUCHU

WADAU KUNA ALIKWISHA WAHI TUMIA HUDUMA YA GOOGLE KUTAFSIRI KURASATANDO OR WEBPAGE? HEBE CHEKI
TARIME BALAA TUPU
Tarime disaster empty
Ajuza is between 90-100 years kubo has nyofolewa boast all the more his feet for two swords and the hospital is now being mahtuti.
Ajuza he had experienced mkasa the weekend his home ward Ngerengere Sirari districts of Vientiane Inchugu Tarime district immediately.
Region Commander Police Tarime / Rorya Costantine Massawe said that the incident happened March 27 this year and he has admitted Ajuza in Tarime District Hospital.
claimed that the violence has done and resident of the village of Kubiterere whose name was not known immediately.
Massawe Commander mkasa explaining the more the accused said he planned to attack the house of his grandmother and started The attack to ward Kumkata swords and leave him bleeding disorder with many crying for help,
Commander Massawe said that the grandson of Mrs. she heard the cries of her grandmother for help and start Scream where the Neighbors came out immediately and were to pomtia hands and started beating him.
suspect he was planning to cut down the belly to all bowels out.
Sirari Center Police arrived they ever get to the center kumuokoa bring the accused to the hospital and Ajuza.
suspect died on the same day and he still Ajuza lying ward number 6 for treatment of both his legs and injuries to th....
ICHEKI STORI KAMILI HAPA

March 25, 2010

AJARI YA KIBAMBA - ABIRI WOTE WAFARIKI PAPO HAPO!!

Hii ni hali halisi ya ajari iliyotokea alfajiri ya leo ambapo kipanya kililaliwa na tank la mafuta na kuua abiria wote waliokuwa katika Hiace hiyo.
Picha kwa hisani ya Father Kidevu

Mama Salma ziarani Monduli

Mkazi wa kijiji cha Oltukai,katika tarafa ya Makuyuni bibi Pauwo Kisemba akimpatia mke wa Rais Mama Salma Kikwete zawadi za kimila ya wamasai wakati mama Kikwete alipotembelea kijijini hapo.

Breaking Newzzzzzzzzzzzzzzz

Abiri wote waliokuwa katika Hiace no T 195 AJW kutoka Dar kwenda Mlandizi wanahofiwa kufariki papo hapo baada ya gari hiyo walilokuwa wanasafiria kupata ajari na kukandamizwa na lori la mafuta eneo la Kibamba alfajiri leo hii.
Habari zaidi tutawaletea

March 24, 2010

Hongera "Ankal" kwa kutuwakilisha (BLOGGERS) UKEREWE.

Mwasisi wa habari za jamii mtandaoni (social media) Bw. Muhidin Issa Michuzi anaondoka leo kuelekea London, Uingereza, kuhudhuria kongamano la pili la Watanzania wanaoishi nchi za nje (Diaspora 2 conference) kwa mwaliko maalumu akiwa kama blogger.
Bw. Michuzi, ambaye ametoa mchango mkubwa katika kupromoti habari za jamii mtandaoni kupitia blog yake maarufu ndani na nje ya nchi iitwayoissamichuzi.blogspot.com, amealikwa huko mkutanoni na ubalozi wetu Uingereza ili kutoa mada inayohusu umuhimu wa habari za jamii mtandaoni katika kujenga daraja kwa walio ndani na nje ya nchi.
Bongo Pix yakutakia kila la kheri. Bravooo.

Mchongo huo Wadau

UC Berkeley J-School opens 2010-2011 fellowships for African journalists
The Graduate School of Journalism at the University of California at Berkeley is pleased to invite applications for three yearlong fellowships for accomplished African journalists, beginning in the 2010-2011 academic year.
The fellowships will each total $36,000, including round trip airfare, professional stipends, and rent while in Berkeley.
The selected fellows will join the School’s Visiting International Scholars Program and participate in a new journalism training initiative aimed to provide high quality coverage of agricultural development issues in Africa for dissemination in U.S., African, and international media. The initiative will also offer dedicated funding for both domestic U.S. and Africa travel for research and reporting work.
Requirements:
Selected fellows must bring at least five years experience in journalism in sub-Saharan Africa, in any medium including print newspaper, magazine, television, radio, documentary, or new media format such as blogging, podcasting, and other online publishing.
Applicants also must demonstrate a proven track record of commitment to the truth-seeking craft, and a willingness to effectively investigate the problems of hunger on the continent with an aim to publish or broadcast stories about these topics and bring them to light in compelling form for audiences in Africa and around the world. A B.A. degree, at minimum, is strongly desired, along with experience and knowledge about agricultural issues in the applicant’s native country.
Selected African fellows will enroll with other Visiting Scholars in background courses at Berkeley examining the global food crisis starting in late August 2010, while also contributing their knowledge about Africa and journalism to their U.S. and international peers.
Please submit applications via the online form (click here).
To access the form, use the password: africa2010
The form provides spaces to include your resume, a one-page cover letter containing a statement of interest, and links to three examples of work.
For questions, contact africa@journalism.berkeley.edu
Deadline for applications: Monday, March 29, 2010
This opportunity is part of a two-year grant provided by the Bill & Melinda Gates Foundation to the Graduate School of Journalism at the University of California at Berkeley.
PS: Hii nimeipata leo 23.03.10

March 17, 2010

Msaada tutani wadau!1

Packard Bell Store & save 3500 400GB
Brand - Packard Bell
Category - External Hard Drive
Specification - 3.5" - 400GB - USB 2.0
Nina External HDD kama hii hapo juu, kwa bahati mbaya sana ilidondoka na hivyo kushindwa kufanya kazi yaani haisomi kabisa, kuna dataz na images zangu nyingi sana ambazo ningependa nizipate.
Je wadau nnani anaweza kunisaidia kwa hili? au nifanyeje niweze ku - retrieve dataz nilizotunza humo?

Wabongo Sauzi wakutana wachagua Viongozi

TAARIFA YA MKUTANO MKUU WA WATANZANIA-GAUTENG
Mkutano Mkuu wa watanzania waishio Gauteng ulifanyika tarehe 14 Machi 2010
kwenye ukumbi wa Kempton Park Civic Centre, Kempton Park, Johannesburg,
Afrika Kusini na kuhudhuriwa na watanzania wengi pamoja na Kaimu Balozi wa
Tanzania nchini Afrika Kusini, Peter Kabissa.
Pamoja na mabo mengi yaliyojadiliwa, mkutano huu ulipitisha katiba ya
jumuiya na kuchagua viongozi wa kudumu wa jumuiya hii.
Wafuatao
waliochaguliwa kuwa viongozi wa umoja huu:
1. Dk. Faustine Ndugulile-Mwenyekiti
2. Bw. Laurean Rugambwa-Makamu Mwenyekiti
3. Bi. Josephine Mshilla-Katibu Mkuu
4. Bw. Khalfan Kipemba-Katibu Mkuu msaidizi
5. Bw. Joseph Mshilla-Mweka Hazina
6. Bw. Kassim Kissagalah-Mweka Hazina msaidizi
7. Bw. David Mataluma-Katibu wa utamaduni na burudani
Wajumbe kamati ya utendaji
8. Dk. Robert Ngude-Mwakilishi wa kundi la wafanyakazi
9. Bw.Vincent Malugu-Mwakilishi wa kundi la vijana
10. Bw. Abuu Chenja -Mwakilishi wa wafanyabiashara
11. Bi. Jane Gitonga-Mwakilishi la kundi la kinamama
12. Bw. John Sagati-Mwakilishi wa kundi la wanafunzi
13. Bw. Jumanne Fikha-Mwakilishi wa Ubalozi
Viongozi waliochaguliwa wanatarajia kukutana hivi karibuni na kuweka
mikakati ya kuiimarisha jumuiya hii.
IMETOLEWA NA UONGOZI
TAREHE 16 MACHI 2010

March 15, 2010

Hongera kwa siku ya Kuzaliwa Mzee Ishengoma

Tarehe 16 March miaka 76 iliyopita katika familia ya mzee Mwabuki alizaliwa mtoto wa kiume na kupewa jina la Benedict Ishengoma.
Watoto wako Flora, Beatrice, Bernard, Brighton, Bonaventura, Steven, Emmanuel, Herieth, Edina, Annagrace na Ancilla-domina wanakutakia siku njema ya kuzaliwa kwako na Mungu akujalie afya njema pia.
Hongera sana Baba yetu kwa siku ya kuzaliwa.

Barca wa Kawe

Timu ya Black Fire ya Kawe ikijiandaa kwa mpambano.
Je mdau kuna chochote wakiona au wapata somo lolote hapo? iangalie kwa makini picha hii kisha ntumie mchango wako.

Dr Shein ziarani Ukweni

Makamu wa Rais Dr Ali Mohamed Shein yuko ziarani (ukweni) Iringa.

March 12, 2010

Serikali kununua tena 51% za TRL

DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS

UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

Telephone: 255-22-2114512, 2116898

E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com

press@ikulu.go.tz

Fax: 255-22-2113425

PRESIDENT’S OFFICE,

THE STATE HOUSE,

P.O. BOX 9120,

DAR ES SALAAM.

Tanzania.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Baraza la Mawaziri leo, Ijumaa, Machi 12, 2010, katika kikao chake kilichofanyika Ikulu, Dar es Salaam, chini ya Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limejadili hali ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) na kufanya maamuzi ya msingi kwa kukubaliana kama ifuatavyo:

· Kwamba Serikali ianze mara moja kujadiliana na RITES, mbia wa Serikali katika kampuni ya TRL, kwa lengo la Serikali kununua hisa 51 za RITES katika kampuni hiyo. Kwa sasa RITES inamiliki asilimia 51 na Serikali inamiliki asilimia 49 katika TRL.

· Kwamba baada ya hapo, Serikali itafanya matayarisho ya msingi ikiwa ni pamoja na kurekebisha kasoro na kuangalia mustakabali wa TRL, na kuiandaa kampuni hiyo kwa ajili ya kutafutiwa mbia mwingine wa kushirikiana na Serikali katika kuendesha TRL.

(Phillemon L. Luhanjo)

KATIBU WA BARAZA LA MAWAZIRI

OFISI YA RAIS,

IKULU.

12 Machi, 2010

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...