August 13, 2008

BOMOA X2 KURASINI

Posted by Picasa mmoja wa wakazi wa eneo la kurasini zamkago bw maiko karume akilalama mbele ya waandishi baada ya nyumba yake kubomolewa,
anadai amepunjwa malipo kwa kupewa pesa milion 8.5) isiyolingana na thamani halisi ya nyumba zake (zaidi ya million 45) na kuwa walifungua kesi mahakamani kupinga uvunjaji hadi hapo malipo halisi yamefanyika,

BOMOA X2 KURASINI

Posted by Picasadogo Maiko Jackson, hapanshaka jana alilala usingizi mnono ndani ya waliokuwa wakiita nyumba yao na ambayo ndo nyumba pekee aliokuwa akiijua toka kuzaliwa kwake, lakini kwa leo ni kitendawili pa ni wapi ataweka ubavu wake baada ya bomoa bomoa ya kupisha upanuzi wa bandari salama kuikumba nyumba yao.

BOMOAx2 KURASINI

Posted by Picasa zoezi la bomoa lilitekelezwa na greda hili la jiji na kulindwa na polisi na mgambo wasio pungua hamsa pamoja na wenye bobi.

MWAKYUSA ATEMBELEA MAJERUHI

Posted by Picasa WAZIRI WA AFYA PROF MWAKYUSA AKIMJULIA HALI MMOJA WA MAJERUHI KTK WADI YA WAGONJWA WA AKILI BAADA YA MGONJWA MMOJA WADINI HUMO KUWAUA WENZIE WAWILI NA KUJERUI SABA JUZI.

PONA HARAKA MAYALLA

MDAU PASCAL MAYALLA ANAENDELEA VIZURI MOI, BLOGU YAKUTAKIA AFYA NJEMA NA PONA HARAKA PASCAL.
Posted by Picasa

MGONJWA WA AKILI AUA WENZIE MNH

Posted by Picasa

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...