June 7, 2010

Mpiganaji Athumani Hamis atoa shukurani

Mpiganaji Athman Hamis akitoa shukurani zake leo kwenye ukumbi wa Idara ya habari Maelezo kwa watu mbalimbali waliomsaidia na wanaoendelea kumsaidia katika matatizo yake mara baada ya kupata ajali mwaka juzi.
Athman akiongozana na muuguzi wake toka Netcare Rehabilitation hospital ya afrika kusini Faith Nhlapo, amemshukuru Rais Jakaya Kikwete, serikali, madaktari wa Muhimbiri na Afrika Kusinipamoja na watu mbalimbali kwa misaada ya khali na mali toka kupata ajali.
kwa hisani ya Full Shangwe

Under 17 waendeleza kichapo Copa Cocacola.

Timu ya Tanzania inayoshiriki michuano ya Kopa Cocacola kwa nchi za Afrika chini ya Miaka 17 imeendelea kuwa tishio baada ya kuwachapa maboingwa watetezi Nigeria bao 2, iliendeleza kichapo kwa Malawi na Zimbabwe kwa mabao 11 na 15 katika fainali zinazoendelea huko Africa Kusini zinazishirikisha timu 14.

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...