February 11, 2009

Jongwe, MWANZO MPYA???

Hatimaye Mugabe amwapisha mpinzani wake mkuu Tsvangirai kuwa Waziri Mkuu, JE HUU NI MWANZO WA MWISHO WA UHASAMA WA SIKU NYINGI AU NIAJE???

Ningali najiuliza jamani!!!!

Nina uhakika kuwa walioamua kufanza mchezo huu kwa waheshimiwa watakuwa wanavijua vyooooote hivi na wangeweza kuvitumia kwa kazi yao popote pale na si KITANDANI na wakapata walichokuwa wakitafuta tena vingine ni viduchu ka senti hamsini ya enzi zile, SWALI KWANINI WAKACHAGUA VILE NA KWANINI WAKACHAGUA CHUMBANI,KITANDANI TENA UVUNGUNI KUNASA SAUTI (SAUTI ZA NINI?) HUKO CHINI??????????

Characteristics: • Case: black plastic / silver or golden metallic

• Sizes: 44x28x6.5 mm

• Weight: not more than 7 gram (without a battery)

• Record mode: mono

• Battery life in record mode, with sampling rate 8 K Hz, without compression, from fully-charged battery is up to 67 hours

Battery life in record mode with VAS and audio signal below a threshold) : up to 190 hours

• Power supply: one 3V battery (d=20mm, h=3.2 mm- CR2032)

• Operation time in a stand-by mode: up to 8.5 months You are welcome to find more detailed description of B33 here.

KWANINI KITANDANI?????????

Baada ya DCI na jeshi la polisi kwa ujumla kukiri kuwa vifaa walivyowekewa wabunge wa upinzani yaani Wilbrod Slaa na Dr Ali Tarib Ali kwamba ni vinasa sauti vya kisasa swali kuu sasa ni kwanini CHUMBANI TENA KITANDANI?

hawa waheshimiwa wanamaofisi bila shaka, wana simu, wana magari N.K lakini yeyote aliyelenga au kuchagua kuweka vinasa sauti chumbani tena kitandani alikuwa anataka nini?????

Sote twafahamu (hasa watu wazima) ni nini huwa kinaendelea chumbani na hasa baada ya kuzima taa, Je waalifu hawa ndo walichokuwa wakitafuta????????? au waliambiwa kuwa hawa WAHESHIMIWA huwa wana vikao vyumbani????????? sielewi, sijui, naomba kueleweshwa wadau.

Google+ Followers

There was an error in this gadget
There was an error in this gadget

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...